Kwanini imezoeleka kuwa katika couple nyingi mwanaume kuwa mrefu kwa kimo kuliko mwanamke?

Kwahyo kwa ufupi wangu huu,inatakiwa mpenzi wangu awe mfupi zaidi yangu.....
 
Sababu ni nyingi

Maumbile by nature wanaume wengi ni warefu kuliko wanawake

Adamu aliumbwa kabla ya Hawa...assumption kamzidi umri hence kamzidi urefu..possibility kubwa

Psychologically unategemea mwanaume wako awe kiongozi na mlinzi kwako ss mtu tu mfupi kwako inakuja kweli.?
Ni rahisi kumkubali mrefu

Urefu na ufupi anagawa Mungu hivyo tusilaumiane

Mwisho mnapendezeana zaidi mwanaume akiwa mrefu kuliko mwanamke
 
Wanaume warefu huwa wanapenda wanawake wafupi ili ku-balance uzao wao wawe warefu wastani.
Mf. Chukulia Peter Clouch (mchezaji ) amuoe binti Kagame, huo uzao wao utakuwa mangongoti.

Pia kwa wafupi ni hivyo.
Nimewahi mwanaume mfupi alioa mke mfupi, Yaani watoto wao ni wafupi wafupi mno.
Kwani hiyo balansi unayoisema, haiwezi kutokea mwanamke akiwa mrefu??!
 
Umeniwahi Mkuu I was about to write the same thing. 👊🏽👊🏽👊🏽

Kwa wastani, wanaume huwa warefu kuliko wanawake...

Hivyo tarajia hata couples kuwa na the same effect...
 
Ninavyojua mimi hamtakiwi wote kuwa mangongoti au wafupi mmoja wapo itapendeza awe mrefu na mfupi mfano Mimi binafsi mfupi kiasi lakini mpenzi wangu kapanda juu yani mrefu
 
Habari za asubuhi wakuu!

Kama heading inavyojieleza hapo juu, katika tathmini yangu ya muda mrefu kila couple/wapenzi nnaokutana nao au nnaowafahamu ni nadra sana tena sana kukuta mwanamke ni mrefu zaidi kumzidi mwanaume.
Swali langu ni kwa nini wanaume hatupendi wanawake waliotuzidi kimo na wanawake hawapendi wanaume waliowazidi kimo ? View attachment 1114910
Kwa niaba ya wanaume wafupi tunatangaza kuwasusia wanawake warefu wote hadi huu uzi utakapotoa. Mrejesho kwa nn wanatukataa.
 
Back
Top Bottom