Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,511
- Thread starter
- #141
Yericko nyerere nimeamini sasa siasa zimekufumba macho umekuwa kipofu asiyetarajia kuona tena. Kila atakachosema raisi kikwete basi wewe kwako ni hoja. Historia ya nchi husika inaandikwa na wenye nchi wenyewe. Wenyewe wazanzibari wanasema karume ndiye aliyefanya mapinduzi, unataka kubishana nao? Heshimu historia ya wahusika huyo john okelo wakati anafanya mapinduzi ulikuwepo? Acha kuamini historia za kusimuliwa. Kuna wazee walioshiriki mapinduzi takatifu ya zanzibar mpaka leo wapo na hawamtaji john okelo kama kiongozi iweje wewe wa kutoka bara ushikilie issue isiyokuhusu. Sawa unatofautiana kiitikadi na aliyesema hayo lakini isiwe sababu ya kutuaminisha uongo na kuleta mada za kutugawa. Heshimu historia ya watu na kumbuka kuwa upinzani haimaniishi kupinga hata mazuri anayofanya mwenzio wa upande wa pili.
Hii mada umeijibu bila kutulia ndugu,
Unaposema nataka kuwagawa, hapa unamaanisha ugavi upi?
Hebu fafanua zaidi ndugu.