Kwanini idadi kubwa ya wanawake wasomi hawaolewi?

Oohh sawa
 
Wake wanaobadilika badilika kama kinyonga😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣


Mwanamke anabadilika kwa uzembe wa Mwanaume.

Wanawake kuharibika ni matokeo ya sisi wanaume kutotimiza majukumu na wajibu wetu. Ati mwanamke hachungwi thubutu
 
Oneni ajabu hii sasa kama kila mwanaume akimjua mwanamke hao wanawake wasiowajua wanaume watatoka wapi? Mbona mnapenda kulazimisha vitu ambavyo haviwezekani? Khee


Hakuna jambo lisilowezekana.

Ni kwa vile tuu siku hizi wanaume wengi wamekuwa kama wanawake. Wanaume wakiamua wanawake muolewe na bikra ni wazi mtaolewa na bikra.

Kinachotokea sasa hivi ni tabia za kishoga walizonazo wanaume.

Watu wanawaponda Single mother wakati wao wameoa wasio na bikra. Huo ndio wendawazimu.

Kinachofanyika na kampen ya shetani na viberenge wake kuiharibu dunia.

Yaani mtu Aoe mwanamke asiye na bikra kama sio uchafu huo ni nini. Hapo hakuna tofauti ya mtu na mbwa. Yaani mpaka unahisi kutapika.
 
Ila wanaume walioingia kwenye ndoa wakiwa tayari wameshawahi kufanya ngono ndo siyo wachafu?
 
Ila wanaume walioingia kwenye ndoa wakiwa tayari wameshawahi kufanya ngono ndo siyo wachafu?


Tatizo akili yako inashindwa kuchambua mambo. Mwanamke anayejilinganisha na mwanaume ni dalili ya ushetani. Halikadhalika na mwanaume anayejilinganisha na Mwanamke.

Uchafu wa mwanaume nni tofauti na uchafu wa mwanamke ndio maana hata kwenye kutakasa kwenye Biblia ni kuwa mwanaume anajitakasa kwa siku saba wakati mwanamke ni siku kumi na nne.

Sasa unadhani kwa nini Mungu aone uchafu kwa mwanaume unaondoka kwa siku saba wakati mwanamke siku kumi na nne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…