Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 26,054
- 33,906
Bora uoe darasa la 7 anayetambua nafasi yako na kukuheshimu KULIKO uoe Masters au PHD holder mwenye Ujuaji.Sasa napata wakati mgumu maana ninyetarajia kumuoa ana mpango wa kwenda masters md, je atathamini ndoa au ndo ataleta dharau au ujuaji na usuperiority?