Kwanini idadi kubwa ya wanawake wasomi hawaolewi?

Oohh sawa
Mkuu ndivyo hivyo. Usidhani nipo hapa kuwanyanyasa wanawake. Huenda hao unaowaona wanawatetea humu ndio wakwanza kuwaumiza huko.

Mimi nina mfumo dume lakini mke wangu anaamani kwa mfumo dume wangu.

Mfumo dume ni nini?

Mfumo dume ni kufuata misimamo na wajibu wa kiume. Kuyaongoza maisha kiume.

Huu ndio mfumo dume Mkuu,
1. Kutoa matumizi ya nyumbani wakati mke wangu hatoi pesa yoyote. Sio kama hana kazi. Anakazi lakini pesa yake ni kwa ajili ya matumizi yake binafsi. Huo ndio mfumo dume.

2. Mfumo dume ni kuilinda familia na kuifanya iwe salama. Kumfanya mke wako aheshimike mtaani sio akipita wahuni wampigia mlunzi na kumshika shika. Mwanaume akiwa na mfumo dume huwezi ona mke wake akitaniwa taniwa na wazembe wa mtaani.

Pia watoto wako watajiheshimu na kuheshimiwa kwani wanajua Baba yao sio mtu wa mchezo mchezo. Sio mtoto anapita mtaani vijana wanamng'ang'ania kama mpira wa kona. Mtoto wa kike anatakiwa akipita vijana wanahaha kuwa huyo ni mtoto wa fulani. Baba yake hana mchezo.

3. Mfumo dume ni ile hali mwanaume ndiye muamuzi wa mwisho. Na maamuzi yake hayapingwi na hayabadiliki. Ndivyo ninavyoishi na mke wangu.

Ndio maana kabla ya maamuzi ninapaswa kufikiri haswa ili nisije igharimu familia.

Sio mwanaume unaongea kama shoga. Leo unasema hili kesho lile. Huna msimamo. Mwishowe ndio unaendeshwa na Mke wako. Unaendeshwa na Mama yako au ndugu zako. Mimi huo upuuzi siuwezi. Ninachoamua ndicho kinachokuwa na kufanyika.

4. Mfumo dume ni kulinda na kupambana na wale wote wanaoharibu maadili bila kuwaonea huruma.
Mtoto wangu wa kike nitamuambia siku akitoa bikra yake atafute pakwenda. Usiniulize nitajuaje.
Siwezi mvumilia mke wangu ikiwa ataanza usaliti wa mapenzi na kujiingiza kwenye Ushirikina na uchawi. Wote hawa sitakuwa na mjadala.

5. Mfumo dume ni kuchapa kazi na kuitegemeza familia. Sio kuomba hela kwa mwanamke kama jianaume jinga.

Mfumo dume sio kudhalilisha jinsia au jamii nyingine.
Sio ukatili wa Kijinsia
Sio kuwanyima haki wanawake

Ndio maana nahitaji mwanamke mwenye akili ya kuelewa
 
Wake wanaobadilika badilika kama kinyonga😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣


Mwanamke anabadilika kwa uzembe wa Mwanaume.

Wanawake kuharibika ni matokeo ya sisi wanaume kutotimiza majukumu na wajibu wetu. Ati mwanamke hachungwi thubutu
 
Oneni ajabu hii sasa kama kila mwanaume akimjua mwanamke hao wanawake wasiowajua wanaume watatoka wapi? Mbona mnapenda kulazimisha vitu ambavyo haviwezekani? Khee


Hakuna jambo lisilowezekana.

Ni kwa vile tuu siku hizi wanaume wengi wamekuwa kama wanawake. Wanaume wakiamua wanawake muolewe na bikra ni wazi mtaolewa na bikra.

Kinachotokea sasa hivi ni tabia za kishoga walizonazo wanaume.

Watu wanawaponda Single mother wakati wao wameoa wasio na bikra. Huo ndio wendawazimu.

Kinachofanyika na kampen ya shetani na viberenge wake kuiharibu dunia.

Yaani mtu Aoe mwanamke asiye na bikra kama sio uchafu huo ni nini. Hapo hakuna tofauti ya mtu na mbwa. Yaani mpaka unahisi kutapika.
 
Ila wanaume walioingia kwenye ndoa wakiwa tayari wameshawahi kufanya ngono ndo siyo wachafu?
Hakuna jambo lisilowezekana.

Ni kwa vile tuu siku hizi wanaume wengi wamekuwa kama wanawake. Wanaume wakiamua wanawake muolewe na bikra ni wazi mtaolewa na bikra.

Kinachotokea sasa hivi ni tabia za kishoga walizonazo wanaume.

Watu wanawaponda Single mother wakati wao wameoa wasio na bikra. Huo ndio wendawazimu.

Kinachofanyika na kampen ya shetani na viberenge wake kuiharibu dunia.

Yaani mtu Aoe mwanamke asiye na bikra kama sio uchafu huo ni nini. Hapo hakuna tofauti ya mtu na mbwa. Yaani mpaka unahisi kutapika.
 
Ila wanaume walioingia kwenye ndoa wakiwa tayari wameshawahi kufanya ngono ndo siyo wachafu?


Tatizo akili yako inashindwa kuchambua mambo. Mwanamke anayejilinganisha na mwanaume ni dalili ya ushetani. Halikadhalika na mwanaume anayejilinganisha na Mwanamke.

Uchafu wa mwanaume nni tofauti na uchafu wa mwanamke ndio maana hata kwenye kutakasa kwenye Biblia ni kuwa mwanaume anajitakasa kwa siku saba wakati mwanamke ni siku kumi na nne.

Sasa unadhani kwa nini Mungu aone uchafu kwa mwanaume unaondoka kwa siku saba wakati mwanamke siku kumi na nne.
 

Similar Discussions

22 Reactions
Reply
Back
Top Bottom