Mkatavimeo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 2,150
- 868
Duh! Kaaaz kwel kwel.
Mna kazi kufuatilia wenzenu wanavyoti.na
kukosa kazi tu
Mimi ndio maana siendagi kwa wabongo na Hawaji Kwangu .my husband na watoto wangu off limit .Hata nilivyoolewa wazazi wangu walitaka ufahari harusi kubwa nikapiga chini.watanzania we need to respect people privacy ,tuache umbea kufuatiliana .kwa nini watu wasiwe private ? Duh yaani kazi mnayo
Nakumbuka km ni yule DR alishawahi kuwa Bingwa wa ugonjwa wa Matende (Mabusha)Ivi mwele malecela ni yule aliyepewa ujaji au ni yule daktari?
Nakumbuka km ni yule DR alishawahi kuwa Bingwa wa ugonjwa wa Matende (Mabusha)
Lakini km kampenda Kim kuna ubaya gani ? huyo Dada anayewachafua wenzake mngetutajia maana kamtaja mpaka Dada yangu Justina Shauri wa Bunge na kweli mmewe akiipata patachimbika au Batilda Buriani kmhata msukumia kesi km ya Arusha sijui? Huyo mwanamke aache wivu wa kufukunyua Siri za Kim huenda alimwagwa
Weka ya Mziray mi naitafuta mda mrefu, ilinipitaga!