Kwanini huyu dada anapenda kutuchafua wanaume wa hapa mjini kwenye mtandao wake?

Biography ya Kim sio mchezo, jamaa lilijua kupiga nyapu zenye faida, kila nikimjengea taswira picha yake inakataa kukaa kwenye kichwa yangu, nimeenda kumgoogle nimeambulia patupu.
Jamaa ninaonekana nililikua smart sana kwenye kucheza na akili za wadada wenye senti zao.
Popote ulipo muheshimiwa Kim Jong Un agiza soda mi nitalipa, na sanamu lako tutalijenga kwenye daraja la Tanzanite.
 
Ndo nani huyo??
 
Back
Top Bottom