Kwanini huyu dada anapenda kutuchafua wanaume wa hapa mjini kwenye mtandao wake?

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
138,271
2,000
Mbona hii habari ni ya kitambo sana? Kuna nini mpaka imekuja kama habari mpya?
 

baby s

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
435
250
Hata mimi nashangaa mkuu Habari hii imewataja wengi watu mashuhuri na viongoz lakini cha ajabu kichwa cha habari juu Kawekwa Mange Kimambi why!! Lemutuz aache ushankupe wake bwana ampumzishe mdada wa watu
Huyu Rachel Temu ana bifu na Mange kitambo. Mi mwenyewe nimeshangaa kichwa cha habari na habari yenyewe
 

kiliochangu

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
1,160
2,000
Kazi kweli kweli, hivi inakuwaje mtu anafuatilia maisha ya mtu kiasi hiki? Amefahamuje taarifa za KIM hizi zote? It means wako close, huu urafiki wa mashaka kwa kweli. Bora Kuishi kivyako kama ngozi nyeupe
 
Top Bottom