Mjini vs kijijini

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,746
Hizi ni hasara za kukaa kijijini

Tukianza ukiwa kijijini Kuna vitu lazima utavikosa.

Akili yako inakuwa haipanuki yaani unakuwa ni kama umefungiwa kwenye kibubu

Ukinunua kitu hasa cha kuanzia m1 kwenda juu habari zinaenda mpaka mtaa wa sita

Utafanya kazi za serikali za kujenga sijui kupeleka mawe mchanga shuleni na michango kibao ambayo mamba hayo mjini hakunaga kabisa

Upatikanaji rahisi wa vitu mfano mm hapa naweza pata simu au tv ya laki moja kwa chap kutoka kwa mtu ila kijijini Hilo sahau

Hata ukiwa na pesa kijijini Kuna vitu tu utavikosa mfano kula unachokitaka,

Kila utakacho kiona na kukisikia kwenye tv au radio utakiamini

Usipoenda msibani au kutoa mchango unawekewa kikao hii ni tofauti na mjini

Kusaidiwa ni mpaka mtu awe anakujua hii ni tofauti na mjini

Mtu kukupa teni kama ngawira hata kama awe ni msela wako kiasi gani Hilo sahau,

Huna uchaguzi ni wapi mtoto wako akasome hasa msingi zaidi ya shule ya kijijini kwako,

Hasara za mjini

Moshi wa magari barabarani hasa kwa watembea kwa miguu

makelele kila Kona hasa kwa wapangaji,

Kama wewe ni day worker omba usiumwe maana ukizidiwa tunakurudisha kijijini

mjini akiba ya chakula ni pesa mfukoni hii ni tofauti na kijijini

Mjini akili haipumzukagi kila siku ni stress kila inapoanza jumatatu hasa kwa walioajiriwa,

Maradhi yote unayoyajua wewe yapo mjini

Wachafu wote wapo mjini

shetani pia yupo mjini
 
Inategemea ni kijiji cha wapi....Kuna mzee mmoja yupo kijiji fulani...ni mkulima na mfugaji...kijiji kina huduma zote...maisha ni raha kuliko stress za mjini.
 
i opine small town center has many advantages as dwelling place ,small town it has some decided advantages as a place to rear chidren, providing some of the opportunities of both city and country 7
 
Ukifka kijijini kama ni mgeni itakuchukua muda kupata mbususu ya kuichakata, tofauti na mjini utaipata ndani ya muda mfupi tu
 
Vijiji vya wapi hivyo vipo namna hiyo. Mimi naishi hapa Samunge mbona hayo mambo uliyoeleza hayapo.
 
Back
Top Bottom