Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,598
yaani wee ukishasahihisha mtihani wangu nikafaulu basi mwingine habadili msimamo.
Kweli kuna haja ya kufunza mabinti zetu kujiamini kwa vyovyote walivyo.
Mdogo wangu Kongosho,
Kila mtu ana vigezo vyake na ni muhimu kumpa taarifa zote nyeti ili afanye maamuzi...
Sasa huyu dada kaamua kukaa na siri za mtoto wake 5 yrs eti anakuja kusema leo? Labda alidhani kwamba, kwa vile uhusiano umeshafika mbali basi mwanamume keshauvaa mkenge....Weweee.....Sasa amekiona cha moto...Acha kuchezea mwanamume anayejua analolitaka!!
Pamoja na mabinti kujiamini, waache kuzaa zaa hovyo...siyo sifa hata kidogo. Badala yake wanajifungia njia!! Kwa hali ya technology sasa, siwezi kumuelewa binti anayezaa tu bila malengo, kwani kwa upande mmoja ni uzembe wake. Ila wale walioamua kuzaa nawashauri wawe na ujasiri wa kutoficha siri!!
Laiti hawa watoto wangekuwa wananielewa...Ndo maana huyu M natamani kumchapa viboko!
Babu DC!!
Last edited by a moderator: