Kwanini hivi jamani...

Una akili saana
Miss mchaga.
 
kweli lakini
cha msingi tuheshimiane tu kama tumevuana nguo tusidharauliane maana dharau ndo tatizo linaloamsha hasira

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Ni kweli mtu akikufuata pm amekuamini. Hivyo na wewe mfuatwa unapaswa utunze siri.
But ile siku wewe ulivujisha pm yangu.
Umenifanya nikafuatilie convs zetu kisha nirudi. Ni kweli nilivujisha. Hizo zilikuwa tuhuma and JF public talk. Ukaniahidi mtetewa atajitokeza umeshakubaliana naye ila kumbe hatokei.




Nashukuru Mungu kwamba sikuandika cha kutisha wala sikumsema mtu sijui ningeficha wapi sura yangu.
And I was not going to reveal that.


Hivi unakumbuka pia kuna vitu uliongea na wewe? Haukuviandika mbona.?
Niliongea vingi tu ikiwemo wanawake waliokuwa wananinafikia humu na ndicho kilichopelekea nikafungue uzi ili waje wathibitishe walichokuwa wanaongea kuhusu mimi.

Labda ndiyo hicho au kuna kingine maana sikutoka nje ya mada.

Hata hivyo nimeshindwa kujizuia kukuuliza hili.
sumbai unisamehe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unao uhuru wa kuuliza just go on
 
Another series.
Unafiki haujawahi kumwacha Mtu salama. Kwenye ule Uzi wa daby wa kujitetea niliona anajitetea kwa kutoa siri za watu za pm.
Halafu Leo anaandika upupu.
Ubuyu hahaha Leo naweka kijiwe hapa mtu anashikwa umbea.
Episode imeanza...
 
Hapa tatizo kila mtu ataziponda hizo tabia na kuweka taswira kuwa yeye hanazo ila wengine ndo wanazo.

It's life!
Ila Mimi mkuu nimeshindwa kuelewa kitu Fulani hivi.

Baada ya kuufatilia huu Uzi vizuri.

Mbona watu wanaichukia tabia ya Ku expose mambo ya pm Ila still wana expose wanayokutana nayo huko pm.

Aiseeee.....! Au kuna ya kuwa exposed na yasioyotakiwa kuwa exposed.???

Kama mtu anaweza kuexpose kusema anasalimiwa deile

Mwingine anaexpose Fulani ana pua nyeupe

Mbona hapa naona ngoma droo.

Anyway we can't solve problem by the same level of thinking.
 
Hahahaa....such is life.

It's always someone else's fault and not yours.
 
Another series.
Unafiki haujawahi kumwacha Mtu salama. Kwenye ule Uzi wa daby wa kujitetea niliona anajitetea kwa kutoa siri za watu za pm.
Halafu Leo anaandika upupu.
Ubuyu hahaha Leo naweka kijiwe hapa mtu anashikwa umbea.
Episode imeanza...
geniveros Shunie huyu muhenga hajawahi muacha mtu salama

dark angel hebu nitag huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…