Kwanini hivi jamani...

Kwanini hivi jamani...

Sio kusitisha tu mdogo wangu na kutupa wasiwasi miaka inayokuja mbele jinsi tutakavyokosa wanaume wa kutushauri dada zao.
Kila akionacho kwa dada ake anaenda kusimulia maskani na mitandaoni na wajinga wenzake watasapoti.... uwiiiiii itabidi tuokoe haraka hiki kizazi kisipoteee jamani.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Kumbe nikweli watu wanakulana humu? Lakini watu buana, yani licha ya fake Id lakini bado watu wanajua kuwa huyu mwanamkee, hatariii

G.Don-Master.
 
Back
Top Bottom