Kwanini Hii inaitwa MBUZI?

Kwanini Hii inaitwa MBUZI?

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
DSCN3065.JPG




sel+de+pili+2+titr%25C3%25A9.jpg
 
kwa kuwa inamemena nazi kama mbuzi amemenavyo nafaka...
 
Hii ndiyo mbuzi ya awali. Swali la kuuliza ni kwa nini yule mnyama anaitwa mbuzi, ndiye kaiba jina.
 
Mimi naona kama hiyo sehemu ya kukunia nazi imefanana na mdomo wa mbuzi mnyama!!
 
Ni lugha mgongano tu, kule kwetu huyu mnyama anaitwa goat siyo mbuzi
 
Bora ingeitwa farasi maana mdomo imefanana nayo halafu vile vile ukitaka kuitumia kukuna nazi lazima ukae juu yake. Maana kina uwezo wa kubeba hata mtu mwenye kilo mia moja na nazi inakunwa.
 
Mnajua vitu vingapi vinaitwa PAA?
  1. Kupaa kwa kuruka
  2. Kupaa samaki
  3. PAA la nyumba
  4. PAA kama mnyama


Kupaa samaki ndio kufanya nini?

Kama ni kile kitendo cha kumtoa magamba, basi samaki hapaiwi bali huparwa
 
Back
Top Bottom