Kuna mngine inasemekana "kagoma", :confused2:
nae sijui anahusianaje na huyu wa kukuna nazi...
Mkuu "Kukuna" nazi kuna maana nyingi. Maana, nazi ukunwa halafu inatoa tuwi la maziwa ziwa, nategemea umenielewa. @ geophysics
Kwahiyo, sharti lako naligopa, ikiwa ninavyo fikiria ndivyo unavyo fikiria.
Mnajua vitu vingapi vinaitwa PAA?
- Kupaa kwa kuruka
- Kupaa samaki
- PAA la nyumba
- PAA kama mnyama