Kwanini Heche hapingi vita Mashariki ya kati?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
8,594
Reaction score
12,900
Kwanini CHADEMA hawapingi vita Mashariki ya kati ili mafuta yashuke bei?

Katika statement zao, sijaona wala kusikia angalau kuilamu USA kuivamia Iran.

Wao wanamlaumu Rais wa Tanzania tu badala angalau kutoa statement 1 ya kulaumu nchi zilizosababisha haya mambo
 
Kwanini chadema hawapingi vita Mashariki ya kati ili mafuta yashuke bei?
Ktk statement zao, sijaona wala kusikia angalau kuilamu USA kuivamia Iran.
Wao wanamlaumu Rais wa tz tu badala angalau kutoa statement 1 ya kulaumu nchi zilizosababisha haya mambo
Kama UN tu haisikilizwi atasikilizwa Heche kwenye mgogoro huo? Jaribu kuficha ujinga na udini wako.
 
Nilitaka kuandika comment kama hii. Umeniwahi. Cha kuongezea tu, mi nisingenuambia afiche ujinga wake bali ningemuambia "afiche uchi wa akili yake" kwani sisi tuliokuwa hatujawahi uona uchi wa akili yake, sasa tumeuona.
 
Kwanini chadema hawapingi vita Mashariki ya kati ili mafuta yashuke bei?
Ktk statement zao, sijaona wala kusikia angalau kuilamu USA kuivamia Iran.
Wao wanamlaumu Rais wa tz tu badala angalau kutoa statement 1 ya kulaumu nchi zilizosababisha haya mambo
Mafuta lita 1 ni Million 16 kweli sio kweli?
 
Yule ni mzalendo,anapambania ya nchi yake,ingali wewe ni mu iran na Islamic state kwahiyo hamuwezi kuwa na mtazamo mmoja kwa kila kitu.
 
Kwanini chadema hawapingi vita Mashariki ya kati ili mafuta yashuke bei?
Ktk statement zao, sijaona wala kusikia angalau kuilamu USA kuivamia Iran.
Wao wanamlaumu Rais wa tz tu badala angalau kutoa statement 1 ya kulaumu nchi zilizosababisha haya mambo
Iran aliua waandamanaji zaidi ya 30000, sawa na ccm iliyoua zaidi ya 10,000. Marekani alisema irani akiuwa waandamanaji atapigwa na ndicho kilicotokea.
 
Kwanini chadema hawapingi vita Mashariki ya kati ili mafuta yashuke bei?
Ktk statement zao, sijaona wala kusikia angalau kuilamu USA kuivamia Iran.
Wao wanamlaumu Rais wa tz tu badala angalau kutoa statement 1 ya kulaumu nchi zilizosababisha haya mambo
Kama wewe ni baba wa familia basi unatakiwa kujitafakari.
 
Kwanini chadema hawapingi vita Mashariki ya kati ili mafuta yashuke bei?
Ktk statement zao, sijaona wala kusikia angalau kuilamu USA kuivamia Iran.
Wao wanamlaumu Rais wa tz tu badala angalau kutoa statement 1 ya kulaumu nchi zilizosababisha haya mambo
Kwa sababu vita hivyo vinamfaidisha Israel, angekuwa anapigwa Israel angepinga fasta. Lakini pia, lofa kama huyo, apinge asipinge Kuna impact gani kwa wahusika. Kwanza nani atamsikiliza?!!!!
 
Sio lazima nikulaumu ila nakushauri usioge maji ya mvua kwa sasa upone pone
 
Back
Top Bottom