Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,299
- 4,701
Kama ambavyo Lowassa alikuwa mtakatifu was chademaLeo Kakobe na Gwajima wamekuwa malaika wa CCM, wonders shall never end.
Kama ambavyo Lowassa alikuwa mtakatifu was chademaLeo Kakobe na Gwajima wamekuwa malaika wa CCM, wonders shall never end.
We jamaa bhana! Na ukongwe wako wote humu, lakini bado unaonekana ni wale wale tu!Na nyie iteni maaskofu wenu hapo Ufipa
Misimamo ya Maaskofu hawa inajulikana, hivyo Jibu hoja iliyo mezani: Kwa Nini hawakuwepo kikaoni!!? Ni kwa sababu walikuwa isolated makusudi, au walialikwa ila wakatoa udhuru.Umewapigia simu ukawauliza kwanini hawakuwepo?. Muwe waangalifu sana katika kila mnachoamua kukifanya.
Mnatengeneza mazingira ya kipuuzi ya kuhalalisha ugomvi na viongozi wa dini, wakati kesho au kesho kutwa watu hawa hawa mtawahitaji kisiasa au kijamii.
Mnahitaji uwepo wa mtu au watu wachache wenye hekima inayoyaongoza maamuzi, vinginevyo mwisho wenu haupo mbali.
Baraza la Maaskofu katoliki Tanzania lina maaskofu wangapi? KKKT wana waaskofu wangapi? Kwanini hao tu na isiwe maaskofu wote?Askofu Frederick Shoo, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).
Askofu Fredrick Shoo: Wale wote wanaojaribu kupotosha ukweli wa waraka wa Maaskofu kwa kuupaka matope ni wajinga - JamiiForums
Askofu Bagonza:
Askofu Bagonza: Kusifiwa si kigezo kuwa unafanya vizuri. Ni upatikanaji wa fadhila zisizolipiwa bila kudaiwa - JamiiForums
Askofu Niwemugizi
Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake - JamiiForums
Askofu Ngalalekumtwa
Askofu Ngalalekumtwa: Katiba isiyotokana na Rasimu ya Warioba ikataliwe - JamiiForums
AU HAWAKUPATA MWALIKO?
AU wale walikuwa viongozi wa dini na hawa ni viongozi wa kiroho? Nauliza tu.
WaulizeAskofu Frederick Shoo, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).
Askofu Fredrick Shoo: Wale wote wanaojaribu kupotosha ukweli wa waraka wa Maaskofu kwa kuupaka matope ni wajinga - JamiiForums
Askofu Bagonza:
Askofu Bagonza: Kusifiwa si kigezo kuwa unafanya vizuri. Ni upatikanaji wa fadhila zisizolipiwa bila kudaiwa - JamiiForums
Askofu Niwemugizi
Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake - JamiiForums
Askofu Ngalalekumtwa
Askofu Ngalalekumtwa: Katiba isiyotokana na Rasimu ya Warioba ikataliwe - JamiiForums
AU HAWAKUPATA MWALIKO?
AU wale walikuwa viongozi wa dini na hawa ni viongozi wa kiroho? Nauliza tu.
Vipi kakobe na gwajima wamefuzu?Hawa ambao hawakuwepo wao wamekuwa wanasiasa kwa hiyo walijidisqulify wenyewe kwa MATAMKO yao
Kama walitaka muumini wao atubu kanuni ya biblia ktk Mat 18 inasema wangemuona faragaha ili atubu. Sijawahi kuona kitubio cha hadhara au jukwaani.
Wasubiri kikao cha chama wataitwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Walipoandika waraka hawakuwa wanafiki. Kakobe alipomwambia mkuu wa nchi atubu hakuwa mnafiki.Hakuna sababu ya kuungwa mkono na viongozi wa dini wanafiki. Viongozi wa dini wanatakiwa na kauli zinazosimamia ukweli na siyo kumfurahisha mtu.
Bila ya kujali anayefanya ni nani, ni lazima wasimame karika ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri jamaa kauliza tu, sidhani kama ana maana mbaya, yeyote mwenye majibu ya maswali yake anaweza tu kumjibu kwamba Fulani na Fulani hawakuwepo kwasababu ya ABCD!Umewapigia simu ukawauliza kwanini hawakuwepo?. Muwe waangalifu sana katika kila mnachoamua kukifanya.
Mnatengeneza mazingira ya kipuuzi ya kuhalalisha ugomvi na viongozi wa dini, wakati kesho au kesho kutwa watu hawa hawa mtawahitaji kisiasa au kijamii.
Mnahitaji uwepo wa mtu au watu wachache wenye hekima inayoyaongoza maamuzi, vinginevyo mwisho wenu haupo mbali.
Hao wachache kuwa isolated haipunguzi umuhimu wa kikao cha rais na maaskofu wengine waliobakia.Misimamo ya Maaskofu hawa inajulikana, hivyo Jibu hoja iliyo mezani: Kwa Nini hawakuwepo kikaoni!!? Ni kwa sababu walikuwa isolated makusudi, au walialikwa ila wakatoa udhuru.
Maana tunafahamu tabia ya mkulu kutoweza kuhold hoja zenye mashiko.
Tuliokulia ziwani tuna kitu kinaitwa maboya sasa sjui wengine wa baharini kamq nao wanamaboya!!!!Hawa ni wasomi na ni watu wasiopindisha ukweli ...DIKTETA angenuna. Aliwaalika maINTAPRINTINUA tu....
Kamanda tuliza ball. Iteni hao maaskofu wenu hapo Ufipa na nyie mtoe tamko lenuWe jamaa bhana! Na ukongwe wako wote humu, lakini bado unaonekana ni wale wale tu!
Mfano hiyo picha kwenye avatar yako unaona kama vile ndo ufahari wa mtanzania! Ndo maisha hayo mnayojisifia kuwaletea wananchi toka uhuru!
Swain kabisa.
Watetea matumboNadhan hata kwenye kikao hiki hawakualikwa ko sio ajabu View attachment 1006410
Sent using Jamii Forums mobile app
Kungekuwa na watoa sadaka angeongea.NILITAMANI MZEE LUSEKELO UPAKO AONGEE SIJUI KWA NINI ALIKAA KIMYA HUWA ANA MANENO YA HEKMA SANA
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mwisho wa nani hauko mbali.Umewapigia simu ukawauliza kwanini hawakuwepo?. Muwe waangalifu sana katika kila mnachoamua kukifanya.
Mnatengeneza mazingira ya kipuuzi ya kuhalalisha ugomvi na viongozi wa dini, wakati kesho au kesho kutwa watu hawa hawa mtawahitaji kisiasa au kijamii.
Mnahitaji uwepo wa mtu au watu wachache wenye hekima inayoyaongoza maamuzi, vinginevyo mwisho wenu haupo mbali.
Mwisho wa wanasiasa wanaofanya siasa za kinafiki.Mwisho wa nani hauko mbali.