Masquarrader
Member
- Aug 17, 2018
- 62
- 38
Na akina shekhe ponda mbona huwasemi? Pale wameenda viongozi wa taasisi flan za kidin
Sent using Jamii Forums mobile app
Askofu Frederick Shoo, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).
Askofu Fredrick Shoo: Wale wote wanaojaribu kupotosha ukweli wa waraka wa Maaskofu kwa kuupaka matope ni wajinga - JamiiForums
Askofu Bagonza:
Askofu Bagonza: Kusifiwa si kigezo kuwa unafanya vizuri. Ni upatikanaji wa fadhila zisizolipiwa bila kudaiwa - JamiiForums
Askofu Niwemugizi
Askofu Niwemugizi wa Kanisa Katoliki aitwa Uhamiaji kuhojiwa juu ya uraia wake - JamiiForums
Askofu Ngalalekumtwa
Askofu Ngalalekumtwa: Katiba isiyotokana na Rasimu ya Warioba ikataliwe - JamiiForums
AU HAWAKUPATA MWALIKO?
AU wale walikuwa viongozi wa dini na hawa ni viongozi wa kiroho? Nauliza tu.
Sent using Jamii Forums mobile app