Kwanini hawa maaskofu hawakuwepo Ikulu?

Kwanini hawa maaskofu hawakuwepo Ikulu?

Hawa ambao hawakuwepo wao wamekuwa wanasiasa kwa hiyo walijidisqulify wenyewe kwa MATAMKO yao
Kama walitaka muumini wao atubu kanuni ya biblia ktk Mat 18 inasema wangemuona faragaha ili atubu. Sijawahi kuona kitubio cha hadhara au jukwaani.
Wasubiri kikao cha chama wataitwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU NAONA UMEAMBATANISHA NA SABABU KABISA SASA MBONA WATUULIZA SIE!!?
 

SHEIKH PONDA SIJAMUONA SHEIKH KILEMILE WA TANDIKA SIJAMUONA SHEIKH KISHKI SIJAMUONA MASHEIKH WA MIKOANI SIJAWAONA WALIKUJA NI WAO BAKWATA KATIBU MWEKA FEDHA NA MASHEKHE NJAA WALIOKOTWA BUNGONI


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
NILITAMANI MZEE LUSEKELO UPAKO AONGEE SIJUI KWA NINI ALIKAA KIMYA HUWA ANA MANENO YA HEKMA SANA


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umewapigia simu ukawauliza kwanini hawakuwepo?. Muwe waangalifu sana katika kila mnachoamua kukifanya.

Mnatengeneza mazingira ya kipuuzi ya kuhalalisha ugomvi na viongozi wa dini, wakati kesho au kesho kutwa watu hawa hawa mtawahitaji kisiasa au kijamii.

Mnahitaji uwepo wa mtu au watu wachache wenye hekima inayoyaongoza maamuzi, vinginevyo mwisho wenu haupo mbali.
Hakuna sababu ya kuungwa mkono na viongozi wa dini wanafiki. Viongozi wa dini wanatakiwa na kauli zinazosimamia ukweli na siyo kumfurahisha mtu.

Bila ya kujali anayefanya ni nani, ni lazima wasimame karika ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

wote ulio wataja kitambulisho cha taifa wamepata toka uhamiaji.maana hiyo ndo silahaa kubwa ya magogoni
 
Back
Top Bottom