Kwanini hawa maaskofu hawakuwepo Ikulu?

Kwanini hawa maaskofu hawakuwepo Ikulu?

Nadhan hata kwenye kikao hiki hawakualikwa ko sio ajabu
tapatalk_1548609736746.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Askofu Ngalalekumtwa
Askofu Frederick Shoo, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT).
Baganza
Niwemugizi

AU HAWAKUPATA MWALIKO?

AU wale walikuwa viongozi wa dini na hawa ni viongozi wa kiroho?
Wale ni viongozi wa kiroho bila kumsahau sheikh ponda wasema ukweli ukitoa bakwata wazee wa mapambio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umewapigia simu ukawauliza kwanini hawakuwepo?. Muwe waangalifu sana katika kila mnachoamua kukifanya.

Mnatengeneza mazingira ya kipuuzi ya kuhalalisha ugomvi na viongozi wa dini, wakati kesho au kesho kutwa watu hawa hawa mtawahitaji kisiasa au kijamii.

Mnahitaji uwepo wa mtu au watu wachache wenye hekima inayoyaongoza maamuzi, vinginevyo mwisho wenu haupo mbali.
 
Wangemchapa za uso dikteta na dhalimu hadharani bila woga wala aibu. Akaona isiwe tabu mie ni mungu mtu sikosolewi na yeyote yule hivyo hawa wakorofi ni bora wasiwepo kwani wanaweza kuniadhiri hadharani.

Hao Wangekuwepo wangechafua Hali ya hewa....wakati wa kutoa mawazo, ushauri pasingetosha

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa ni wasomi na ni watu wasiopindisha ukweli ...DIKTETA angenuna. Aliwaalika maINTAPRINTINUA tu....
 
Hao Wangekuwepo wangechafua Hali ya hewa....wakati wa kutoa mawazo, ushauri pasingetosha

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Wangekuwepo leo hii tungesikia Daud Arbaty Bashite kaenda na kikundi chake cha wanaojulikana alina Heri kisanduku cyprian Musiba na wasiojulikana kuwapiga Risasi, ujue Bashite hataki binadamu Mtanzania ampinge au kumkosoa mtukufu malaika toka chato.
 
Back
Top Bottom