Kichaafulani
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 1,295
- 1,275
Wewe kama sijakutolea mahari mwezi huu utaparua asee
Wewe kama sijakutolea mahari mwezi huu utaparua asee
Ahahahahahaha kweli wabongo mnaua tasnia zenu wenyewe alafu Kenya na DSTV wanazikubali sanaVya mapenzi wasome wapiga kura tu kwakweli....
Acha wao watanue fikra.
Doh mahari tena? !Wewe kama sijakutolea mahari mwezi huu utaparua asee
Tatizo kila mtu anaigiza mapenzi.......tunajifunza nn kwenye kila movie mapenzi mapenzi.....ona kaa kanumba alikuwa anachanganya.....katoa ya mapenzi itakayo fata kitu kingine na mazingira tofauti na watu tofauti ili kuketa hamasa........... sasa wew mtu anatoa movie kwenye mazingira Yale Yale. ........na story zinazo fanana............kazi kukenua majukwaan kina nyerere na group lake.....badiliken.....na wew kaa unataka kutoa movie ukibezi kwenye mapenzi....ndo mwisho wako.....utakuja kufanya promo hapa na huto pewa sapoti......................afu nasikia waigizaji watz ni wazuri kuangalia movie za NAIJA..............eti wanatafuta uzoefuuAhahahahah mnawashauri lkn akina wema Na ray Na jb?!
Bora kucheka kuliko kudanganywa liveHahahahaha yule ndio simwelewi kabisaa
Nje meaning south africa , hollywood,naigeria rwanda ,kenya sio nje ya nchi bado wapo east africa unamuona diamond muziki wake upo juu ameimba mpaka na rick ross huyo ndio sasa kavuma na kaonekana hiyo ndio bidii ya kituMbona producer wao kapewa kule rwabda yule nani sijui jina lanitoka
Haya kuna Hamisa nae kachukua
Wema kachukua Kenya acheni dharau jaman
HahahahahahBora kucheka kuliko kudanganywa live
Nigeria ni West Africa nawe doh!Nje meaning south africa , hollywood,naigeria rwanda ,kenya sio nje ya nchi bado wapo east africa unamuona diamond muziki wake upo juu ameimba mpaka na rick ross huyo ndio sasa kavuma na kaonekana hiyo ndio bidii ya kitu
Wale wanazitumia kwa lengo la kujifunza kiswahili waje kututawala ila sio kwa uzuri/ubora.Ahahahahahaha kweli wabongo mnaua tasnia zenu wenyewe alafu Kenya na DSTV wanazikubali sana
Naomba uje home tuangalie wote pleaseDoh mahari tena? !
Acha kuwaza ngono leta suluhu buana
Ahahahahahha ni balaaaTatizo kila mtu anaigiza mapenzi.......tunajifunza nn kwenye kila movie mapenzi mapenzi.....ona kaa kanumba alikuwa anachanganya.....katoa ya mapenzi itakayo fata kitu kingine na mazingira tofauti na watu tofauti ili kuketa hamasa........... sasa wew mtu anatoa movie kwenye mazingira Yale Yale. ........na story zinazo fanana............kazi kukenua majukwaan kina nyerere na group lake.....badiliken.....na wew kaa unataka kutoa movie ukibezi kwenye mapenzi....ndo mwisho wako.....utakuja kufanya promo hapa na huto pewa sapoti......................afu nasikia waigizaji watz ni wazuri kuangalia movie za NAIJA..............eti wanatafuta uzoefuu
Nimefichwa zenji kisiwani na mume narudi j5 kwa ajili ya kwaresma na kupaka majibuNaomba uje home tuangalie wote please
Doh majangaWale wanazitumia kwa lengo la kujifunza kiswahili waje kututawala ila sio kwa uzuri/ubora.
Mambo, Bongo movie tunaangalia, japo nyingine zinaboa, kazi zao zinahitaji kuboreka sana, sio kila mtu anaweza kuwa Director. Wako vijana wazuri wenye vipaji vikiendelezwa kazi zao zitakuwa juu. Waache kurefusharefusha stori bila sababu, scene ziwe informative lakini in descriptive way. Tukio dogo lisipewe coverage ndeeeefu. Mengine nikipata muda nitasema sema.
Kwa hiyo unaposti ukiwa umefichwa Zenji na Mume? kweli anatuangusha saana Wanaume wa Kisukuma. Ningekuwa mimi usinge hata comment achilia mbali kuanzisha uzi hapaNimefichwa zenji kisiwani na mume narudi j5 kwa ajili ya kwaresma na kupaka majibu
Ifikishie hizi salaam crew nzima ya bongo instAhahahahahha ni balaaa