Kwanini hamuangalii Bongo Movie?!

Kwanini hamuangalii Bongo Movie?!

Hazieleweki wajipangee ila wewe unajuaje kama hatuziangalii kama 160 ya kiswahili startimes wanaonyesha etv ukiwa unawataka unawaona
 
Pole sana ndg... Tatizo sio sanaa nionavyo mimi tatizo ni wasanii kutokujua wanachokitaka... Huwezi ua njiwa wa2 kwa jiwe moja japo ipo 0.0000001%...
 
Doh ni sheedah

Sasa unawasaidiaje watunzi na watengenezaji wa bongo movie?!

sab Ngosha jr Ngosha Mashine Barn drugtest
Kina Plato na Aristotle waliweka sifa/vigezo vya kila fani kama mwanamuziki awe na sifa zipi, umri gani nk.

Hapa Bongo mtu akinywa supu ya kongoro na chapati mbili basi anaketi anaanza kutunga, nae ni mtunzi tayari.

Ndio maana hata novel za wazungu zinafungua akili kuliko za kibongo.
 
Tangu nione jini linamfukuza mtu lilipoona linaachwa likakodi bodaboda... nilikoma kabisa kuangalia hayo makitu ya bongo movie
 
Ndio nimeanza kuangalia mwezi uliopita my friend

Mbona nzuri tu jaman
Ni nzuri kwa sababu ndo umeanza kuangalia itafika kipindi zitaanza kukuboa maana maudhui yake yanafanana kiasi kwamba unajua mwisho wa movie kabla hujamaliza kuangalia movie nzima
 
Wanatudanganya mpaka wanapitiliza bhn

Eti jambazi kuvamia ndani hadi avue viatu...

Mala jini anavuka barabara huku anaogopa kugongwa na gari..
 
Hazieleweki wajipangee ila wewe unajuaje kama hatuziangalii kama 160 ya kiswahili startimes wanaonyesha etv ukiwa unawataka unawaona
Izo za zamani best wangu kuna mpya za akina Gabo na wema nomaaa
 
Kina Plato na Aristotle waliweka sifa/vigezo vya kila fani kama mwanamuziki awe na sifa zipi, umri gani nk.

Hapa Bongo mtu akinywa supu ya kongoro na chapati mbili basi anaketi anaanza kutunga, nae ni mtunzi tayari.

Ndio maana hata novel za wazungu zinafungua akili kuliko za kibongo.
Ahahahahaha uuuwi ngoja na me nitoe novel jamaa mnavilaani sana vyenu bila sababu
 
Jini akitaka kuvuka barabara anaangalia kushoto na kulia then anavuka,jambazi lazima avae miwani myeusi halafu awe anavuta sigara nilichoka kabisa baada ya kuona embe linadondoka chini ya mnazi
Ahahahahaha nimecheka mpaka naulizwa mama una nyege au
 
Title na content completely different! Title English lugha iliyotumika ni swahili hao ndo bongo movie bana
 
Sasa wema anavaa tu dira nakuongea basi ila zamani baadhi ya movie alijitahidi sikuhizi ni kuhema tu anajua
 
Ahahahahaha uuuwi ngoja na me nitoe novel jamaa mnavilaani sana vyenu bila sababu
Kizuri kisifie tu ndg yangu, Unajua ZZK alivyoenda kumsabahi Lissu kamwachia kitabu gani asome?
Jiulize kwann hakumpelekea cha Shigongo na wenzake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom