Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,560
- Thread starter
- #101
Ahahahaha nimecheka hujui tuKweli ivoo,ilinichefua nikasema sasa sumu mtu unaonjaje kwa mfano?
Ahahahaha nimecheka hujui tuKweli ivoo,ilinichefua nikasema sasa sumu mtu unaonjaje kwa mfano?
Ni kweli shemelaNikwambie kitu,Bongo movie watu bado kuwekeza pesa vizuri,kwa mfano muandishi wa script hawezi kuwa mtu mmoja lazima awe ni mtu mwenye firm na timu ya wataalam ambo wanweza kutengeneza multiple versions za scene moja.Subtitles lazima kuwa na wataalam wa lugha waliosomea lugha za watu sio makanjanja wa mtaani.Watu wa kutengeneza story lazima iwe ni timu ya watu sio mmoja ambao wanaangalia flow ya story mpaka ikamilike na kuwa na version kadhaa.Bongo movie wao ni kamera basas wanatoa movie kumbi movie kwanza lazima uistage kwenye jukwaa kwanza ikiweza kumvutia mtazamaji kwenye jukwa basi ndio mnaenda kutafuta locations zitazovaa ila image anayopata msikilizaji.
Bongo movie inahitaji uwekezaji mkubwa nagharama wanzatumia kutengeneza hivi vimuvi vya mwendo kasi wangewekeza kutengeneza Movie zenye stori nzito na kuweka hesabu zao sawa wangefika mbali sana.Sasa unatengeneza movie yenye bajeti ya milioni chache halafu unataka ikuingizie milioni nyingi.
Hata me nataka kujuaHahahaaa...to digi medicine" ilikuwa movie gani hiyo mkuu nami nikacheke niongeze siku
Sa si wanaigiza maisha halisi mtaani jamaaUhuni mtupu!
Mmomonyoko wa maadili!
Waigizaji unakuta wanavaa vichupi, wanaume milegezezo, kuvaa heleni, kujichubua , n.k
Ile wanayoigiza wasukuma,acacia SGR na sigilaaa gejiTupo busy na ikulu-movie








sipo huko hata ukiota haitakaa itokeeNaona waigizaji wa bongo movie mmeamua kujipigia promo, poleni
Na vichwa vya gusiIle wanayoigiza wasukuma,acacia SGR na sigilaaa geji
ahahahaha unajua sijawahi kuelewa kwanini walinzi wa bongo movie kama zimefyatu?!YAANI KILA MLINZI WA GETINI LAZIMA AWE TAHIRA KIDOGO.... KUNA USALAMA HAPO???
hahahaha pole bestTv ,deki, sofa ,meza ninunue kwashidaaaa alaf napo movie initese kuangalia nakusoma substitutes MAF DJ lainisha mkuu nikumeza tuu ata ukisinzia unaelewa bongo makelele tuu mekap zenyewe zamaji![]()
doh majanga!Bongo Movie Aliondoka Nayo The Great,Kanumba
ahahahahhahaha nimecheeekaaa kweli kwelisasa jini au mchawi anataka kuvuka barabara anaogopa magari.. anapisha yapite ndipo anavuka
unaona kabisa mtu anapigwa kibao mlangoni anatafuta kochi lilipo ndio anadondokea na kujifanya kazirai
yaabi mlimbwende anaamka asubuhi akiwa na make up usoni, kajipaka lipustiki usingizini??
sasa hizo bunduki/risasi zinavyotoa mlio paaa kama fundi akiwa anagonga msumari kwenye ubao yaani...
R.I.P BONGO MUVI