Kwanini hamuangalii Bongo Movie?!

Kwanini hamuangalii Bongo Movie?!

eti ana tafsiri kichina kweli??, then wakiitwa wakalima wa kichina nchini haendi afadhali tuangalie hivi hivi tusidanganyane kabisa
Kama Mukandara alivyokuwa anazuga. Mimi siangalii ila niliipenda moja ya Chausiku ambayo niliiona nikiwa kwenye basi.
 
Kama uliangalia wewe ni wewe kwani kuna sheria inatulazimisha tuangaloe bongo muvi au ndo umezijua leo kwa shemeji yako!?
Kauliza tu,hajamlazimisha mtu, yy anasema mbona zipo vizuri, nunueni basi.
 
SABABU HIZI HAPA!!!!
- Jini Anaangalia Kulia Na Kushoto Ili Avuke Barabara
- Mlinzi Wa Geti Lazima Awe Chizi Au Mchekeshaji
- Jambazi Akivamia Anavua Viatu
- Jambazi Lazima Avae Koti Jeusi Na Miwani Ya Jua Muda Wote
- Kuweka Sumu Kwenye Chakula Na Kuonja
- Siku Zote Mtoto Wa Tajiri Anampenda Masikini
 
Baada ya kilio chanu cha muda mrefu nilichokisikia huku JF kuhusu watu kukataa kuangalia Bongo Movie nimeona niulize Swali hili:

Jamani watanzania wenzetu kwanini hamuangalii bongo movies?

January niliingia mtaa wa Kariakoo pale opposite na kanisa la Lutheran Kariakoo nikaona fremu kibao movie za kichina na bongo movies nikasogea nikaona nikusanye bongo movies zone za mapenzi kwasababu ndio field yangu.

Kuja kucheki mbona bongo movie nzuri jamani wasichana wanajitahidi mikiss kibao yani bongo kama Ulaya vile.

JB anajitahidi na Ray movie zao kwenye ma feelings wapo vizuri.

Akina kajala na Raima sijui Wolper sijui Sepenga yeleuwi watanzania kwanini hamuangalii bongo movie

Kusema ukweli movie za kichina ukishanitafsiria unanikata stimu kabisa nampa pongezi anayetafsiri movie za kichina kuwa kiswahili mimi nikiona tu natafsiriwa nalala au nahamia DSTV sasa sijawahi kuwaelewa wale wanaongia mtaani kulipia movie ya kutafsiri.

JAMANI KWANINI HAMUANGALII BONGO MOVIE HASA ZA MAPENZI?​

Bado, ulinunua au?
 
ad3faec10178c27d49cb79d4d6916669.jpg
bongo muvi pasua kichwa Mkuu si unaona hapo jini linapiga simu nani anakubali utoto huu maana hata watoto wenyewe hawaangalii wahisi wanaonekana kama mimba.
 
Tatizo kubwa la watanzania wengi wetu ni wajinga. Kushabikia bongo movie na hata hizi zakuelezewa mana sikutafsiriwa ni ujinga mkubwa.
Ila bongo movie tatizo la kwenza lipo kwenye camera, unashindwa hata na kuvutika na movie. Na film makers ni wabovu sana kiasi ambacho naamini mtu yoyote anaweza kutengeneza movie kama hizi wanazozitengeneza.
Wajitahidi kubadilika sana tena. Problem kubwa linalowasumbua ni hawapo kama ni ma Artist wapo kihuni na kishangwe zaidi. wanatumia kama ndio nafasi ya kupatia mademu na wengine ndio nafasi ya kupatia kujiuza (ukahaba) kwa standard nzuri.
 
Akuna kitu apo si bora ao wasanii wako waokote vyupa
hahahahaha
uuuwi

Unasemea hizi movies wanazo shoot na Camera utadhani ya Tecno W4?
ahahahahaha uuuwi jaman mwanzo mgumuuu

Tatizo kubwa la watanzania wengi wetu ni wajinga. Kushabikia bongo movie na hata hizi zakuelezewa mana sikutafsiriwa ni ujinga mkubwa.
Ila bongo movie tatizo la kwenza lipo kwenye camera, unashindwa hata na kuvutika na movie. Na film makers ni wabovu sana kiasi ambacho naamini mtu yoyote anaweza kutengeneza movie kama hizi wanazozitengeneza.
Wajitahidi kubadilika sana tena. Problem kubwa linalowasumbua ni hawapo kama ni ma Artist wapo kihuni na kishangwe zaidi. wanatumia kama ndio nafasi ya kupatia mademu na wengine ndio nafasi ya kupatia kujiuza (ukahaba) kwa standard nzuri.
mwanzo mgumu ndugu watajirekebishaaa
 
Bado, ulinunua au?
nimeku-ignore

haiwezekani ..mtu mmoja akawa director, producer, sterling , sijui nini.....haiwezekani
hahahaha mbona queen latifa alikuwa actor na producer acheni ujinga bwana yote yanawezekana

ad3faec10178c27d49cb79d4d6916669.jpg
bongo muvi pasua kichwa Mkuu si unaona hapo jini linapiga simu nani anakubali utoto huu maana hata watoto wenyewe hawaangalii wahisi wanaonekana kama mimba.
ahahahahaha uuuwi nimecheka mpaka mgonjwa kamwita nurse namsumbua aki nyie mtaniuuuaaa

yani huyo jini mbona ana ngozi ya binaadamu mkononi usoni kapaka chokaa?! uuuwi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom