Kwanini hamuangalii Bongo Movie?!

Kwanini hamuangalii Bongo Movie?!

mimi nilikuwa mpenzi wa movie za bongo ila kinachoboa hadithi nyingi ukiona robo ushajua itaishia vipi
hadhithi zinafanana
ukiona hutotamani kurudia
ukianza tajiri wa kunyanayasa watu utakuwa masikini na utalia juu ya kaburi
kwa kifupi hazina uhalisia ndio maana naendelea kuifuatilia the promiss mwezi wa 3 sasa haina mpango hata wa kufika katikati
 
Doh Mungu anakuona penda za kwenu jamaa
 
Mambo gani ya jini kuuliza njia,kuomba maji ya kunywa na kuvua viatu.....bora komedi tuuu....ntacheka sana..
 
Tatizo ni quality mbovu, movie zinatengenezwa kama maigizo....movie inahitaji investment na muda wa kutosha kuiandaa sio fasta fasta bila ubunifu ukiwaza kupata pesa tu, NO NO

Ukiikutana na bongo movie mtu anaeigiza jini ndio utaona utamu wake, anavuka barabara huku anaangalia kulia na kushoto asigongwe na gari, appetite kwamba huyo ni jini inakata gafla; wanachokiweza ni kukaa uchi, kujipaka marangi usoni na kuvaa wigi basi.....ngoja waongee kiingereza duh.

Kila kitu kina maandalizi yake ili kiwe bora, hao hao wanaoigiza wakiisomea hiyo saana vizuri na wakijifua vyema then wakafanya maandalizi ya kutosha watatoa vitu vya ukweli, sio kwa vile ni handsome boy au una sura ya kirembo basi ndio uwe muigizaji.
 
Hilo nalo neno
 
Acheni tu raha wanajipa wenyewe umewahi sikia nani kapewa tuzo nje ya nchi kwa kuigiza au kutengeneza filamu bora wanajichanganya tu. Tuwasamehe inaitwa wamejaribu ila bado havumi ila wamo
 
Mbona producer wao kapewa kule rwabda yule nani sijui jina lanitoka

Haya kuna Hamisa nae kachukua

Wema kachukua Kenya acheni dharau jaman
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom