MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,950
- 26,050
Ni wanaume wachache sana wanaokubali kuamshwa na ke wale vitu!
Mara nyingi hudai wamechoka sana waachwe wapumzike!
Yaani unakuta umewaka kinoma umejiandaaa
Jamaa hataki kuguswa amechoka!
Hata ukimwambie niachie mie ntajipakulia mwenyewe wewe lala, hakubali anakwambia wewe msumbufu sana,hebu lala!
Muwe manakubali basi ke tukitaka,sio kila siku mechi zenu tuuu khaaa
hahha mie hata niwake vipi jaman simsumbui mtu !argh kero tu