Kwanini hakuna ugaidi China?

Kwanini hakuna ugaidi China?

Mbona hata marekani "ile dini" haipo sana ila bado inashambuliwa balozi zake na muda mwingine hata ndani ya marekani yenyewe??

Sababu ile dini ina amini na kuaminisha wafuasi wake kuwa matatizo yao yamesababishwa na USA
 
Ugaidi ni kampuni au ni taasis Ama mashirika kama yalivyo mashirika mengine Duniani kama WHO, UN na nyingine nyingi kuyaendesha zina tumika pesa nyingi sana Anacho fanya Russia hapo Syria ana balance shirika lisije filisika!
Kama huwezi juwa kwa nini mtoa laana yupo mezani adi sasa pia ugaidi huwezi kuujuwa!
 
Habari za jioni wana JF, kama kichwa cha habari kinavyosomeka nimekuwa nikijiuliza sana kwamba pamoja na China kuwa ni taifa ambalo limenyanyasa sana waislamu ambao wengi wao wanatokea jimbo la magharibi mwa nchi Tianjeng, ambapo ripoti kadhaa za umoja wa mataifa 2016 ziliripoti kuwa waislam zaidi ya million 1 wamehamishiwa kwenye makambi huku wakiitwa magaidi na wakipata mateso mazito pamoja na ukatili mwingine wa kinyama sasa najiuliza kwanini sijasikia nchi za kiarabu zikipiga kelele au makundi ya kigaidi kama ISIS au Al qaeda kufanya mashambulizi huko china au hata balozi za china maeneo mengine duniani?? Ambapo ni tofauti kabisa kama tulivyozoea kwamba nchi zinazokandamiza waislam hasa mataifa makubwa lazima yakumbane na mashambulio ya kigaidi!!! Najua humu kuna wataalam wa siasa za kimataifa ningeomba mnisaidie na hili swali.

SOURCE:BBC
UN alarmed at China 'detention camps'

Cc Malcom Lumumba chige JokaKuu Richard Wick
Kwa sababu akili iliyotengeneza hiyo ideology ya Ugaidi anaijua. Mathlani yanayoendelea "Idlib" nchini Syria, yanakuja mataifa ya nje yanasema hapana mkitumia chemical weapon kwenye kupigana na magaidi(ISIS) tutawashambulia na sisi.

Swali la kujiuliza kwa nini wanawatetea magaidi? Wao magaidi si wanawaua watu kwa kuwachoma moto na kuwachinja, wanaua halaiki ya watu kama yaliyotokea Ufaransa. Kuna tatizo gani kama wao wakishambuliwa kwa silaha za kikemikali?

Kwa hiyo aliyeunda hiyo Ideology wanamjua. Wakithubutu, China itajibu kwa mbwa na kwa mwenye mbwa.
 
Mbona hata marekani "ile dini" haipo sana ila bado inashambuliwa balozi zake na muda mwingine hata ndani ya marekani yenyewe??
Amerika ina msemo wao unasema" kama unataka kumuua mbwa, mpe jina baya" na huu ni msemo unaotamkwa na wenye mamlaka ndani ya Amerika.

Hebu subiri kidogo bhana Zitto, Amerika mambo yake huwa yanaenda kwa historia.

Vipi kuhusiana na 9/11? Twin towers zinashambuliwa kwa kugongwa na ndege tena kwa juu, its okay pengine ilitokea kweli. Lakini vipi kuhusiana na jengo kuporomoka kuanzia chini? Mti unateketea kwa moto kwenye matawi ya juu lakini unaporomoka kwa kuanzia kwenye mizizi. Unapata taswira gani Bwana Zitto?

Baada ya hapo, Bwana Zitto umeshambulia majengo yetu. Aisee! Wameshakutafutia sababu ujue jiandae hapo.
 
China Declares Islam An ‘incurable Tumour’ And A ‘poisonous Medicine’

China sees Islam as a growing problem and has increased its actions against Uighur Muslims in the country. According to UN and U.S. officials, around one million Muslims have been put in Chinese internment camps until now.

Inmates told that in the camps Muslims are forced to reject Islam and learn Communist Party songs every day. Other reports say that inmates are forced to eat pork and drink alcohol.​
While the camps were at first created to battle extremism of Uighur Muslims, now even a long beard – as part of a Muslim identity – can result in being sent to a re-education camp. The consequence is that almost every Uighur Muslim risks to be sent away for ‘re-education’.​
The official radio of China’s official Communist Party broadcasted :​
“Members of the public who have been chosen for re-education have been infected by an ideological illness. They have been infected with religious extremism and violent terrorist ideology, and therefore they must seek treatment from a hospital as an inpatient.”​
“The religious extremist ideology is a type of poisonous medicine, which confuses the mind of the people. … If we do not eradicate religious extremism at its roots, the violent terrorist incidents will grow and spread all over like an incurable malignant tumour,” the radio statement broadcast via WeChat to Uighurs last year, said.​
After being confronted by a UN panel a Chinese official says there are “no such things as re-education centres”.​
According to James Millward, a professor of Chinese history at Georgetown University, “Religious belief is seen as pathology”.​
“So now they’re calling re-education camps ‘hospitals’ meant to cure thinking. It’s like an inoculation, a search-and-destroy medical procedure that they want to apply to the whole Uighur population, to kill the germs of extremism,” Millward adds.​
The professor could be right as a later excerpt of the audio broadcast shows that it’s not necessary to commit a crime, but the Islamic ideology itself is already considered extremist:​
“Although a certain number of people who have been indoctrinated with extremist ideology have not committed any crimes, they are already infected by the disease. There is always a risk that the illness will manifest itself at any moment, which would cause serious harm to the public.​
That is why they must be admitted to a re-education hospital in time to treat and cleanse the virus from their brain and restore their normal mind.”​
China declares Islam an ‘incurable tumour’ and a ‘poisonous medicine’
 
Duuuh mambo ni serious hivi
chabuso kahtaan hydroxo
 
China mwaka 2010 karibia na olimpik ya beijing kulitokea mlipuko by then nilikuwa shangai walikufa nafikir watu wawili. Kingine ni kuwa hiz nchi za kikomunist hasa china mambo yao mengi ni siri mbaya kabisa. Ni vigum yawe waz. Mfano ukitoa ile miji ambayo iko ki international zaid ukienda miji mingi hakuna chanel za kiingereza ni kichina tena kile cha mandarin so wale ni wazee wa kufukia sana mambo yao.
Ukija nje ya china ni kuwa serikali ya china nje ya nchi yao hawajishulishi na mambo ya nchi nyingine kama kukemea tawala katili au haki za binadam au mambo kama hayo wao wanadeal na maslah yao tu. Wewe kama ni mtawala flan katika nchi flan hata kama unaua watu wako lakin kwao maadam wanaweza kukusainisha mikataba yao ya kukupiga hayo mengine kwao sio kipaumbele. Sasa ukija wazungu sivyo pamoja na kwamba nao wanatupiga lakin ukikiuka haki zaid wanakugeuka. Kingine usisahau wazungu na waarabu wana vita yao ya kidini waliopigana miaka mingi na waislam walishindwa so huu ulimwengu unaendeshwa katika mfumo ambao ni kama wakizungu flan ambao kwa waislam wanauona kama mfumo kristo so kila nyakat kunaibuka vikundi vikiwa na ndoto ya kuurudisha ule mfumo wao wanaamin ni mfumo kiislam na wanawaona wazungu kama ndio kikwazo kwao so ndio kunatokea mambo hayo ya ugaid wa kulazimisha wao wasikilizwe nk.so kwa kifupi ugaid haitaisha utaendelea kuwepo maadam bado wanaamin mfumo uliopo sio unawakilisha dini au jamii zao.
Nkuuunga mkono, jamii yote ya ulghul - (sijui kama nimepatia spelling) ambao huishi mashariki mwa china huchukuliwa kama magaidi, ni extrimist wa iman ya kiislam na imeonesha kuwa wamekuwa wakitekeleza matukio ya kigaidi, hayaripotiwi bali wengi wao wako kizuizini
 
ugaidi unatokana na nchi kubwa kuvamia nchi ndogo na kusimika viongozi wake (kwa njia yoyote) ambao hutawala kwa matakwa na nchi hiyo na siyo kwa matakwa au tamaduni za nchi yake. kwa mfano Marekani yuko Iraq na serikali ya pale inaongoza kwa matakwa ya Markani na sio ya wanairaq wenyewe hivyomakundi huzaliwa ili kuiondoa serikali hiyo na mshirika wake.
kukitokea hali hii mshirika ie Marekani hutumia nguvu kubwa kuilinda serikali.
 
Kama ni hivyo kwanini Ugadi asilimia kubwa ufanyike kwenye nchi ambazo tayari zina utawala wa kiislam.
1.Somalia kulikuwa kuna serikali ya umoja wa mahakama za kiislam Al-Shabab wakaupindua
2.ISIS, AL-QAIDA Wamejazana Syria Saudia na Iraq ambazo ni nchi za kiislam
3.Boko Haram wanateka wanafunzi kutoka shule ambazo majority ni muslims.
Ukitazama Al Jazeera utaona kila siku Ugadi unatokea nchi ambazo ni za kiislam je ni mfumo kristo upi wanaotaka kuutoa ilhali tayari wapo katika mfumo Islam.
Kuhusu kurudisha Empire za Kiislam utawezekana vipi ikiwa Saudia(muislam) Anampiga Yemen(muislam)?
hoja fikirishi mnooo hizi
 
Kuna vitu ni vigumu sana kuvitatua hasa vinapotofautiana na sehemu nyingine za nchi kwa mfano dini ikitawala maeneo fulani basi wahusika watataka waishi kivyao hiyo ndiyo tunayoiona ikisababisha nchi kumeguka au kuwa na vita vya mara kwa mara.
China ni wapuuzi pengine wanachotaka ni kufuta kabisa "kuwauwa" waislamu... thats so bad hiyo haina tofauti na genocide tulizoshuhudia ulimwenguni na kwa bahati mbaya hili huwa halifanikiwi milele. Damu ya mtu nzito sana... pengine hawaangalii yanayookea Myanmar...

Chakufanya walitenge hilo eneo liwe na "autonomous power" kama ilivyo Tibet, Chechen ya urusi n.k
Historia ipo ila nashangaa watu hawajifunzi mfano Pakistan from India, Ireland na UK etc.
Binadamu ni wabishi sana as nimeishi nao na kwa bahati mbaya hawakubali mpaka waone outcomes...
 
Kama ni hivyo kwanini Ugadi asilimia kubwa ufanyike kwenye nchi ambazo tayari zina utawala wa kiislam.
1.Somalia kulikuwa kuna serikali ya umoja wa mahakama za kiislam Al-Shabab wakaupindua
2.ISIS, AL-QAIDA Wamejazana Syria Saudia na Iraq ambazo ni nchi za kiislam
3.Boko Haram wanateka wanafunzi kutoka shule ambazo majority ni muslims.
Ukitazama Al Jazeera utaona kila siku Ugadi unatokea nchi ambazo ni za kiislam je ni mfumo kristo upi wanaotaka kuutoa ilhali tayari wapo katika mfumo Islam.
Kuhusu kurudisha Empire za Kiislam utawezekana vipi ikiwa Saudia(muislam) Anampiga Yemen(muislam)?
Mzee huijui sera ya marekan ili mshindwe kuwa kitu kimoja mnaanzishiwa ugomvi utakaowaweka bize ili msahahau lengo lenu.
Kama ni hivyo kwanini Ugadi asilimia kubwa ufanyike kwenye nchi ambazo tayari zina utawala wa kiislam.
1.Somalia kulikuwa kuna serikali ya umoja wa mahakama za kiislam Al-Shabab wakaupindua
2.ISIS, AL-QAIDA Wamejazana Syria Saudia na Iraq ambazo ni nchi za kiislam
3.Boko Haram wanateka wanafunzi kutoka shule ambazo majority ni muslims.
Ukitazama Al Jazeera utaona kila siku Ugadi unatokea nchi ambazo ni za kiislam je ni mfumo kristo upi wanaotaka kuutoa ilhali tayari wapo katika mfumo Islam.
Kuhusu kurudisha Empire za Kiislam utawezekana vipi ikiwa Saudia(muislam) Anampiga Yemen(muislam)?
Mkuu nadhan hukunielewa.
Mzungu shida yake nyie mgombane muuane kwa kuwafitin then anajitokeza kuwapatanisha ili achukue fursa. Ukiangalia nchi nyingi za kiislam wanapigana wenyewe coz mzungu ataka wabaki bize kupigana wasahau kutafuta kuungana. Yaan msipopigana mtaanza kufikiria kuwa taifa kubwa then muanzishe ukalifa so ili msifike huko mnatengenezewa fitina za kuwatenganisha na kuwapiganisha. Mbona simpo mzee.
Nikama unavyoona Africa haitakaa iungane so wanachofanya wazungu ni kutuweka bize tupigane au kuibua kati yetu ubaguz wa wenyewe kwa wenyewe mwisho wa cku mzungu anazid kubaki juu. Na kwa taarifa yako mzungu tofauti ya china na rusia hata kubali mshindan mwingine aibuke dunian coz anaona anavyopata tabu na china hiv sasa. So mzee ukiyaangalia haya mambo kwa jicho la karibu hutapata majibu halis.
Ni kweli kuwa hawa waasi wengi wanatengenezwa na wazungu lakin ukweli mwingine mchungu ni kuwa hawa magaid ni makundi ya watu yanayodai haki flan flan au kutaka kusimamia mawazo yako so mzungu akipata huo mwanya ndio anaingila hapo.
 
Hilo ni kabila
Sawa mkuu, maana naona kuna baadhi ya movements zao zimekuwa labelled kama movements za kigaidi.

na kuna mashambulizi ya kigaidi ambayo wamekuwa wakiyafanya huko china. Mfano shambulizi la kigaidi lililofanywa May,2014 na kuua watu zaidi ya 40. Fuatilia mkuu.
 
Ni kweli huo mkoa ni wa waislam lakin unaendeshwa kwa sheria za china. Usisahau china hakuna kupiga adhana kule kila mtu na dini yake kimya hakuna kengele wala adhana ni mwendo wa muumin anajua wajibu wake
 
China mwaka 2010 karibia na olimpik ya beijing kulitokea mlipuko by then nilikuwa shangai walikufa nafikir watu wawili. Kingine ni kuwa hiz nchi za kikomunist hasa china mambo yao mengi ni siri mbaya kabisa. Ni vigum yawe waz. Mfano ukitoa ile miji ambayo iko ki international zaid ukienda miji mingi hakuna chanel za kiingereza ni kichina tena kile cha mandarin so wale ni wazee wa kufukia sana mambo yao.
Ukija nje ya china ni kuwa serikali ya china nje ya nchi yao hawajishulishi na mambo ya nchi nyingine kama kukemea tawala katili au haki za binadam au mambo kama hayo wao wanadeal na maslah yao tu. Wewe kama ni mtawala flan katika nchi flan hata kama unaua watu wako lakin kwao maadam wanaweza kukusainisha mikataba yao ya kukupiga hayo mengine kwao sio kipaumbele. Sasa ukija wazungu sivyo pamoja na kwamba nao wanatupiga lakin ukikiuka haki zaid wanakugeuka. Kingine usisahau wazungu na waarabu wana vita yao ya kidini waliopigana miaka mingi na waislam walishindwa so huu ulimwengu unaendeshwa katika mfumo ambao ni kama wakizungu flan ambao kwa waislam wanauona kama mfumo kristo so kila nyakat kunaibuka vikundi vikiwa na ndoto ya kuurudisha ule mfumo wao wanaamin ni mfumo kiislam na wanawaona wazungu kama ndio kikwazo kwao so ndio kunatokea mambo hayo ya ugaid wa kulazimisha wao wasikilizwe nk.so kwa kifupi ugaid haitaisha utaendelea kuwepo maadam bado wanaamin mfumo uliopo sio unawakilisha dini au jamii zao.
UMENENA VYEMA KABISA NAKUBALIANA NA WW ASILIMIA MIAMOJA
 
Back
Top Bottom