Kwanini hakuna ugaidi China?

Kwanini hakuna ugaidi China?

China mwaka 2010 karibia na olimpik ya beijing kulitokea mlipuko by then nilikuwa shangai walikufa nafikir watu wawili. Kingine ni kuwa hiz nchi za kikomunist hasa china mambo yao mengi ni siri mbaya kabisa. Ni vigum yawe waz. Mfano ukitoa ile miji ambayo iko ki international zaid ukienda miji mingi hakuna chanel za kiingereza ni kichina tena kile cha mandarin so wale ni wazee wa kufukia sana mambo yao.
Ukija nje ya china ni kuwa serikali ya china nje ya nchi yao hawajishulishi na mambo ya nchi nyingine kama kukemea tawala katili au haki za binadam au mambo kama hayo wao wanadeal na maslah yao tu. Wewe kama ni mtawala flan katika nchi flan hata kama unaua watu wako lakin kwao maadam wanaweza kukusainisha mikataba yao ya kukupiga hayo mengine kwao sio kipaumbele. Sasa ukija wazungu sivyo pamoja na kwamba nao wanatupiga lakin ukikiuka haki zaid wanakugeuka. Kingine usisahau wazungu na waarabu wana vita yao ya kidini waliopigana miaka mingi na waislam walishindwa so huu ulimwengu unaendeshwa katika mfumo ambao ni kama wakizungu flan ambao kwa waislam wanauona kama mfumo kristo so kila nyakat kunaibuka vikundi vikiwa na ndoto ya kuurudisha ule mfumo wao wanaamin ni mfumo kiislam na wanawaona wazungu kama ndio kikwazo kwao so ndio kunatokea mambo hayo ya ugaid wa kulazimisha wao wasikilizwe nk.so kwa kifupi ugaid haitaisha utaendelea kuwepo maadam bado wanaamin mfumo uliopo sio unawakilisha dini au jamii zao.

Jibu ni simple tu.
Muislaam mwarabu ndio mwenye thamani kuliko wengine. Ua mwarabu mmoja (hata kama sio muislam), kelele zitakuwa dunia nzima. Ua maustaadhi 100 wa kiafrika, kelele zitaishia hapo hapo africa. Ua waislam wa kichina, kelele zitaishia hapo hapo uchina.Mwarabu akiwa matatizoni, anataka kufanya ni matatizo ya waislamu wote dunia nzima. Waislam wengine wasio waarabu wakiwa matatizoni, hayo hayamhusu mwarabu.
 
Habari za jioni wana JF, kama kichwa cha habari kinavyosomeka nimekuwa nikijiuliza sana kwamba pamoja na China kuwa ni taifa ambalo limenyanyasa sana waislamu ambao wengi wao wanatokea jimbo la magharibi mwa nchi Tianjeng, ambapo ripoti kadhaa za umoja wa mataifa 2016 ziliripoti kuwa waislam zaidi ya million 1 wamehamishiwa kwenye makambi huku wakiitwa magaidi na wakipata mateso mazito pamoja na ukatili mwingine wa kinyama sasa najiuliza kwanini sijasikia nchi za kiarabu zikipiga kelele au makundi ya kigaidi kama ISIS au Al qaeda kufanya mashambulizi huko china au hata balozi za china maeneo mengine duniani?? Ambapo ni tofauti kabisa kama tulivyozoea kwamba nchi zinazokandamiza waislam hasa mataifa makubwa lazima yakumbane na mashambulio ya kigaidi!!! Najua humu kuna wataalam wa siasa za kimataifa ningeomba mnisaidie na hili swali.

SOURCE:BBC
UN alarmed at China 'detention camps'

Cc Malcom Lumumba chige JokaKuu Richard Wick
Ongezea na Cc: Jestkilla
 
Mkuu nimeweka hapo link kuna ripoti ya UN yenye ushahidi kwamba huko China kuna waislam million 1 wanateswa kwenye makambi. China haijakana hyo ripoti bali imesema "imewabadilishia makazi wenye misimamo mikali"..... Ikimaanisha tukio ni la kweli sasa basi cha kujiuliza mbona sioni nchi za kiislam kama Iran zikipiga kelele na mbona makundi ya kigaidi sijasikia yakilipua makazi ya wachina huko uarabuni au hata balozi zao ama hata ndani ya uchina yenyewe???

Hapo ndipo pananitatiza
mkuu china ni nchi kubwa sana sasa haiingiliki kirahisi hivyo kama ni misheni ilifeli,halafu ugaidi ni sera maalum ya wazungu ya kutafutia gia ya kuanzisha ugomvi ili kupata rasilimali fulani katika eneo walipangalo au kuanzisha vituo vya kijeshi.sasa wale waislam walio china chini ya makambi ni wale waislam magharibi waliopandikizwa kuanzisha chokochoko sasa mchina kamkoma nyani giladi.kawapa za mwana ukome hebu fikiri kama ameweza kilicontrol kanisa katoliki atashindwa kuvibana viislam uchwara milioni moja.yale wanayowafanya wale waislam ni funzo kwamba kama kuna wengine watajaribu basi watakiona cha mtema kuni. UGAIDI NI WIZI NA UNYANG'ANYI WA KIZUNGU.
 
Zitto jr

Waarabu na watutsi hawa ni jamii moja yenye visasi. Mimi nimekaa na waarabu ni watu wa visasi sana na hawasamehe kabisa. Kama unakumbuka kipindi che Medieval period baada ya vita vya jihad tunaona wazungu na waarabu walipatana na mapatano ya amani. Lakini miaka 100 iliyofuata aliibuka Sultan Saladin unakumbuka kule Uturuki(Attin) alifyeka wakristu wote kwa kuwachinja. Kila waarabu wakitulia wakakaa bila vita basi jiandae kukutana na janga jingine la dunia. Nchi kama Afganistan mpaka leo haijatulia kuanzia kipindi cha Alexanda Mkubwa.

Hawa watu dawa yao ni kuwapiga na vita mpaka waishe wote tena wakiwa na dini yao uislam inayehubiri kisasi basi tena inakuwa janga maana unataka kulipiza kisasi tu alafu wengine wakuangalie. Kama waislam wakiwa na emipire yao basi jiandaeni na watu kuchinjwa chinjwa.

Kwa wabantu wao hawanaga visasi ni watu wa upendo. Ila nilipendaga ile argument yako kwa uzi wa the bold wa kule Rwanda
 
Watu wanaoamini ktk kitabu kinachohubiri kisasi badala ya upendo na maridhiano popote pale walipo lazima amani haitakuwepo.

Mchina analifahamu hilo ndio maana hawezi kuwapa nafasi. Wao waislam wanaamini kuwa wazungu ndio kikwazo kwa ufaulu wa "The Global Jihad" na sio Mchina.
 
Wachina ni smart wayegoo hawa watu aiseee hapanaa wako kama machine yaani imebidii niandike hivi baada ya kusoma huu uzi umetulia sanaa nipo nawaona namna walivyo nadhani wanakitu kinaitwa au unaweza kukiita open secret yaani sio kila kitu kijulikane na watu watakaojua ni ambao wako kwenye system over.
晚安 jamii 论坛
 
Sababu ni kwamba wachina "hawapo siriyasi" sana kama wazungu. Yani wapo ki utani utani tu ..ndo maana waarabu hawasumbuki nao.

Alafu China haijihusishi sana na "mambo za demokrasia" ..wani wapo tu ili maslahi yao yatimie. Halafu wasiri sana
 
Watu wanaoamini ktk kitabu kinachohubiri kisasi badala ya upendo na maridhiano popote pale walipo lazima amani haitakuwepo.

Mchina analifahamu hilo ndio maana hawezi kuwapa nafasi. Wao waislam wanaamini kuwa wazungu ndio kikwazo kwa ufaulu wa "The Global Jihad" na sio Mchina.
Kuna dini na imani,imani ni sehemu katika dini,dini kwa tafsri ya mfumo wa maisha hivyo si ajabu kuhubiri amani na jinsi ya kuilinda hiyo amani.

Tofauti na wenye imani tu na hawana dini,hivyo wao wanashughlika na masuala ya kiimani tu na ndiyo maana huwezikuta wakieleza jinsi ya kulinda amani.
 
Habari za jioni wana JF, kama kichwa cha habari kinavyosomeka nimekuwa nikijiuliza sana kwamba pamoja na China kuwa ni taifa ambalo limenyanyasa sana waislamu ambao wengi wao wanatokea jimbo la magharibi mwa nchi Tianjeng, ambapo ripoti kadhaa za umoja wa mataifa 2016 ziliripoti kuwa waislam zaidi ya million 1 wamehamishiwa kwenye makambi huku wakiitwa magaidi na wakipata mateso mazito pamoja na ukatili mwingine wa kinyama sasa najiuliza kwanini sijasikia nchi za kiarabu zikipiga kelele au makundi ya kigaidi kama ISIS au Al qaeda kufanya mashambulizi huko china au hata balozi za china maeneo mengine duniani?? Ambapo ni tofauti kabisa kama tulivyozoea kwamba nchi zinazokandamiza waislam hasa mataifa makubwa lazima yakumbane na mashambulio ya kigaidi!!! Najua humu kuna wataalam wa siasa za kimataifa ningeomba mnisaidie na hili swali.

SOURCE:BBC
UN alarmed at China 'detention camps'

Cc Malcom Lumumba chige JokaKuu Richard Wick
Actually nmekua nikufutilia Sana kuhusu Hilo #zito junior

Nimekuja kugundua kua China n nchi ya kibabe zaidi ya Russian hasa kwene kudeal na ugaid au vuguvugu za kujitenga hawajamaa hawana salia mtume aisee

Miaka ya Nyuma miaka 2000s' China imesumbuliwa Sana na ugaidi na wanaotaka kujitenga hasa Xianjian regions waishio kabila la uighur ambao wanna asili ya uturuki (Turkish descent)

Wachina wakampeleka afisa mmoja wa serikali ambae aliweza kuituliza TIBETI ( ilikua inataka kujitenga ) ...
Huyu jamaa ndo ameweza kutuliza Sana Jimbo Hilo ambalo linapakana na Pakistan , Afghanistan, Kazakhstan ambako wanaamini vugu vugu la ugaidi ndo linaanzia huko kwa shinikizo la nchi hizo za kiislam...

So CHINA ikaanza mkakati kwa kutight control mipakani no one out no one in....inasadikika Zaid ya watu 2000 kwa kipindi waliuliwa huko wakat China ilitoa takwimu kama iliua magaidi 90 na kitu hivi....
Hiyo n mikakani

HAN CHINESE
Kwa kuhofia eneo Hilo kujitenga ilianza mkakati wakupeleka wananchi wake wengine ambao n wachina dominant (han Chinese) katka Jimbo Hilo la xianjian nakufanya hao HAN CHINESE kuwa wengi 38% zaidi ya wa- uighur ambao ndo wenye asili wa eneo Hilo.....Sasa Apo Kuna kujitenga hapo wakat mmpo outnumbered!

Wanajeshi na police
Kiasi kikubwa Cha wanajeshi wamepelekwa huko...Na wengine wanawekwa kufanya Kaz kama za raia kikinuka wanachukua mtutu....Polisi au wanajeshi Doria mtaan ni kama kawaida

TECHNOLOGIA OF utambuzi
Hapa ndyo majaribio yote ya technilogia tambuzi ,sura,DNA,Giand Data analysis,...na wamehakikisha Kuna camera Kila sehem supermarket,barabaran,kwene mabasi,misikitini ,na mitaani majumbani.....
Kila mkazi huko Yuko kwene database

Kiasi kwamba hao wachina wakiturkish wakienda hata kununua kisu kinaandikwa namba na kuambatanishwa kwenye taarifa za mtu huyo....
Kifupi technologia yote ya ulinzi ipo Jimbo Hilo...

MASPY, CHECKPOINT
Pamoja na yote bado wameweka zaidi ya 1million maspy ambao wanazunguka kwenye nyumba za wachina waturuki hao,na kutoa taarifa kwa wanaemuhisia na itikadi
Checkpoint mbalimbali wanakagua simu ,picha na video za itikadi Kali,na silaha yyte ile

KUUA MISIMAMO MIKALI YA KIDINI
kuvaa baibui,kufuga ndevu nyingi kwa kijana,KUFUNGA,au kuhubiri itikadi unashikwa....shehe lazma achaguliwe na serikal ya China..

DETENTION CENTERS
wamewadetein Zaid ya million 2 according to Western media kwa makosa tofauti au kushukiwa kuwa na silaha,itikadi,unapnga au kuwepo kwa ndugu nje ya nchi...

So kwa hali Hii huyo gaidi ataingilia wapi mipakani wanajeshi,na MASPY,macamera

Kuna jaribio moja lilifanywa kutest surveillance ya beijin....akaingia reporter mmoja wa BBC akapigwa picha alafu akaambiwa atawanyike mtaani aende anakokujua yy aone n muda gan watatumia kumkamata.....

N masaa matatu tu wakamnasa!! Sasa unaeza ona security zao zilivo na nguvu.....n makamera tu dk cfuri wanae
 
Aiseé kwa mtiririko huu sioni wapi gaidi akipita!!
 
Wanayoyafanya huko xinjian unayajua
mtoa mada kuna kitu ujajifunza jirani asiyekufanyia visa huna haja ya kumchukia je umewahi sikia china kuna magaidi kadhaa wamefanya shambulio kama hujawahi sikia sasa inakuaje ukamuhukum mtu dhambi asiyokufanyia
 
Kwani kuna waislam million 1 ambao wamewekwa kwenye makambi ya mateso?? Hapa nakumbuka wakati inadaiwa mahakama ya Kadhi yaliibuka makundi huko zanzibar na bara kuanza kusbambulia viongozi wa kidini wote tuliona tension ilivyokuwa kubwa lakini cha kushangaza china ambako jimbo la kiislam linateswa na UN ishapiga kelele sana kwa miongo mingi ila sioni nchi za kiarabu/kiislam zikija juu au hata al qaeda kulipiza kisasi

Hapo ndipo najiuliza nakosa majibu
Wataanzia wap wakat mchina kateka dunia kwa miradi ya uchumi mikubwa, miradi ya umeme kwene hizo nchi....ni sawa ukapewa billion afu uanze kumkosoa mfumo wa tajiri yake ....huwezi
 
Mkuu nimeweka hapo link kuna ripoti ya UN yenye ushahidi kwamba huko China kuna waislam million 1 wanateswa kwenye makambi. China haijakana hyo ripoti bali imesema "imewabadilishia makazi wenye misimamo mikali"..... Ikimaanisha tukio ni la kweli sasa basi cha kujiuliza mbona sioni nchi za kiislam kama Iran zikipiga kelele na mbona makundi ya kigaidi sijasikia yakilipua makazi ya wachina huko uarabuni au hata balozi zao ama hata ndani ya uchina yenyewe???

Hapo ndipo pananitatiza
Kulikua na ISIS ilishawai kusema itaishambulia China kusomesha Hilo na ikarecruit vijana wengi wachina wenye asili ya kituruki.....lakin Hadi leo....hawajaweza .....haswa haswa ndo wameipatia China sababu ya kuwasweka watu ndan wenye ndugu zao nje za nchi.....
 
Actually nmekua nikufutilia Sana kuhusu Hilo #zito junior

Nimekuja kugundua kua China n nchi ya kibabe zaidi ya Russian hasa kwene kudeal na ugaid au vuguvugu za kujitenga hawajamaa hawana salia mtume aisee

Miaka ya Nyuma miaka 2000s' China imesumbuliwa Sana na ugaidi na wanaotaka kujitenga hasa Xianjian regions waishio kabila la uighur ambao wanna asili ya uturuki (Turkish descent)

Wachina wakampeleka afisa mmoja wa serikali ambae aliweza kuituliza TIBETI ( ilikua inataka kujitenga ) ...
Huyu jamaa ndo ameweza kutuliza Sana Jimbo Hilo ambalo linapakana na Pakistan , Afghanistan, Kazakhstan ambako wanaamini vugu vugu la ugaidi ndo linaanzia huko kwa shinikizo la nchi hizo za kiislam...

So CHINA ikaanza mkakati kwa kutight control mipakani no one out no one in....inasadikika Zaid ya watu 2000 kwa kipindi waliuliwa huko wakat China ilitoa takwimu kama iliua magaidi 90 na kitu hivi....
Hiyo n mikakani

HAN CHINESE
Kwa kuhofia eneo Hilo kujitenga ilianza mkakati wakupeleka wananchi wake wengine ambao n wachina dominant (han Chinese) katka Jimbo Hilo la xianjian nakufanya hao HAN CHINESE kuwa wengi 38% zaidi ya wa- uighur ambao ndo wenye asili wa eneo Hilo.....Sasa Apo Kuna kujitenga hapo wakat mmpo outnumbered!

Wanajeshi na police
Kiasi kikubwa Cha wanajeshi wamepelekwa huko...Na wengine wanawekwa kufanya Kaz kama za raia kikinuka wanachukua mtutu....Polisi au wanajeshi Doria mtaan ni kama kawaida

TECHNOLOGIA OF utambuzi
Hapa ndyo majaribio yote ya technilogia tambuzi ,sura,DNA,Giand Data analysis,...na wamehakikisha Kuna camera Kila sehem supermarket,barabaran,kwene mabasi,misikitini ,na mitaani majumbani.....
Kila mkazi huko Yuko kwene database

Kiasi kwamba hao wachina wakiturkish wakienda hata kununua kisu kinaandikwa namba na kuambatanishwa kwenye taarifa za mtu huyo....
Kifupi technologia yote ya ulinzi ipo Jimbo Hilo...

MASPY, CHECKPOINT
Pamoja na yote bado wameweka zaidi ya 1million maspy ambao wanazunguka kwenye nyumba za wachina waturuki hao,na kutoa taarifa kwa wanaemuhisia na itikadi
Checkpoint mbalimbali wanakagua simu ,picha na video za itikadi Kali,na silaha yyte ile

KUUA MISIMAMO MIKALI YA KIDINI
kuvaa baibui,kufuga ndevu nyingi kwa kijana,KUFUNGA,au kuhubiri itikadi unashikwa....shehe lazma achaguliwe na serikal ya China..

DETENTION CENTERS
wamewadetein Zaid ya million 2 according to Western media kwa makosa tofauti au kushukiwa kuwa na silaha,itikadi,unapnga au kuwepo kwa ndugu nje ya nchi...

So kwa hali Hii huyo gaidi ataingilia wapi mipakani wanajeshi,na MASPY,macamera

Kuna jaribio moja lilifanywa kutest surveillance ya beijin....akaingia reporter mmoja wa BBC akapigwa picha alafu akaambiwa atawanyike mtaani aende anakokujua yy aone n muda gan watatumia kumkamata.....

N masaa matatu tu wakamnasa!! Sasa unaeza ona security zao zilivo na nguvu.....n makamera tu dk cfuri wanae
Spy milion 1 kwenye jimbo moja ??
 
mkuu ugaidi ni mtaji wa wazungu kuingiza wizi na uzandiki wao,china hakuna ugaidi sababu china hufuata mkataba tu akishapata anafanya kilichomleta.lakini ugaidi au vita ya wenyewe kwa wenyewe ni kitongozeo cha kuanzisha pakuibia.
kama hajaelewa hap basi
 
Back
Top Bottom