Kwanini hakuna ugaidi China?

Kwanini hakuna ugaidi China?

Mkuu nimeweka hapo link kuna ripoti ya UN yenye ushahidi kwamba huko China kuna waislam million 1 wanateswa kwenye makambi. China haijakana hyo ripoti bali imesema "imewabadilishia makazi wenye misimamo mikali"..... Ikimaanisha tukio ni la kweli sasa basi cha kujiuliza mbona sioni nchi za kiislam kama Iran zikipiga kelele na mbona makundi ya kigaidi sijasikia yakilipua makazi ya wachina huko uarabuni au hata balozi zao ama hata ndani ya uchina yenyewe???

Hapo ndipo pananitatiza
hakuna muislam mpuuzi akapigane sehemu kisa kuona muislam mwenzake ananyanyasika.Ugaidi ni mambo yanayotengenezwa kwa manufaa yao binafsi ili kuvuruga tu amani za watu na kugombanisha pia.

So haiwezekani muislam wa tanzania akaenda kulipua Congo sababu kaona muislam wa Congo ananyanyasika hakunaga mpuuzi huyo.

UGAIDI UNATENGENEZWA,WATU WANAWEKEZA KWA MANUFAA YA KWAO ILI KUVURUGA SEHEMU HISIKA KISHA WAO KUPOTEA NA KUWAACHIA SEKESEKE WENYEWE
 
Ok mkuu sasa kma ni miradi ya wahuni tu kwanini wasimtengenezee na China sasa hao magaidi feki?
 
Inawezekana Ugaidi upo pia huko China sema hauripotiwi na vyombo vyao vya habari sababu ya udhibiti mkubwa wa serikali.
Nilishangaa issue ya westgate ama Garissa ziliwekwa front page na Kenya media ili magazeti yauze bila kujua yalichafua taswira ya Kenya kma nchi isiyo salama!!

Nakumbuka kipindi cha corona CGTN ya wachina ilikua inaweka vipindi vya propaganda kuonyesha wagonjwa maelfu waliopona, miundombinu, maliasili n.k ili kudivert watu kutofikiria kma Covid 19 bado ipo china!!

Kwa hili nawapongeza, hizi media usipocontrol zinaweza chafua CV ya nchi kabisa.
 
Dah
Actually nmekua nikufutilia Sana kuhusu Hilo #zito junior

Nimekuja kugundua kua China n nchi ya kibabe zaidi ya Russian hasa kwene kudeal na ugaid au vuguvugu za kujitenga hawajamaa hawana salia mtume aisee

Miaka ya Nyuma miaka 2000s' China imesumbuliwa Sana na ugaidi na wanaotaka kujitenga hasa Xianjian regions waishio kabila la uighur ambao wanna asili ya uturuki (Turkish descent)

Wachina wakampeleka afisa mmoja wa serikali ambae aliweza kuituliza TIBETI ( ilikua inataka kujitenga ) ...
Huyu jamaa ndo ameweza kutuliza Sana Jimbo Hilo ambalo linapakana na Pakistan , Afghanistan, Kazakhstan ambako wanaamini vugu vugu la ugaidi ndo linaanzia huko kwa shinikizo la nchi hizo za kiislam...

So CHINA ikaanza mkakati kwa kutight control mipakani no one out no one in....inasadikika Zaid ya watu 2000 kwa kipindi waliuliwa huko wakat China ilitoa takwimu kama iliua magaidi 90 na kitu hivi....
Hiyo n mikakani

HAN CHINESE
Kwa kuhofia eneo Hilo kujitenga ilianza mkakati wakupeleka wananchi wake wengine ambao n wachina dominant (han Chinese) katka Jimbo Hilo la xianjian nakufanya hao HAN CHINESE kuwa wengi 38% zaidi ya wa- uighur ambao ndo wenye asili wa eneo Hilo.....Sasa Apo Kuna kujitenga hapo wakat mmpo outnumbered!

Wanajeshi na police
Kiasi kikubwa Cha wanajeshi wamepelekwa huko...Na wengine wanawekwa kufanya Kaz kama za raia kikinuka wanachukua mtutu....Polisi au wanajeshi Doria mtaan ni kama kawaida

TECHNOLOGIA OF utambuzi
Hapa ndyo majaribio yote ya technilogia tambuzi ,sura,DNA,Giand Data analysis,...na wamehakikisha Kuna camera Kila sehem supermarket,barabaran,kwene mabasi,misikitini ,na mitaani majumbani.....
Kila mkazi huko Yuko kwene database

Kiasi kwamba hao wachina wakiturkish wakienda hata kununua kisu kinaandikwa namba na kuambatanishwa kwenye taarifa za mtu huyo....
Kifupi technologia yote ya ulinzi ipo Jimbo Hilo...

MASPY, CHECKPOINT
Pamoja na yote bado wameweka zaidi ya 1million maspy ambao wanazunguka kwenye nyumba za wachina waturuki hao,na kutoa taarifa kwa wanaemuhisia na itikadi
Checkpoint mbalimbali wanakagua simu ,picha na video za itikadi Kali,na silaha yyte ile

KUUA MISIMAMO MIKALI YA KIDINI
kuvaa baibui,kufuga ndevu nyingi kwa kijana,KUFUNGA,au kuhubiri itikadi unashikwa....shehe lazma achaguliwe na serikal ya China..

DETENTION CENTERS
wamewadetein Zaid ya million 2 according to Western media kwa makosa tofauti au kushukiwa kuwa na silaha,itikadi,unapnga au kuwepo kwa ndugu nje ya nchi...

So kwa hali Hii huyo gaidi ataingilia wapi mipakani wanajeshi,na MASPY,macamera

Kuna jaribio moja lilifanywa kutest surveillance ya beijin....akaingia reporter mmoja wa BBC akapigwa picha alafu akaambiwa atawanyike mtaani aende anakokujua yy aone n muda gan watatumia kumkamata.....

N masaa matatu tu wakamnasa!! Sasa unaeza ona security zao zilivo na nguvu.....n makamera tu dk cfuri wanae
Dah
Hatare
 
Habari za jioni wana JF, kama kichwa cha habari kinavyosomeka nimekuwa nikijiuliza sana kwamba pamoja na China kuwa ni taifa ambalo limenyanyasa sana waislamu ambao wengi wao wanatokea jimbo la magharibi mwa nchi Tianjeng, ambapo ripoti kadhaa za umoja wa mataifa 2016 ziliripoti kuwa waislam zaidi ya million 1 wamehamishiwa kwenye makambi huku wakiitwa magaidi na wakipata mateso mazito pamoja na ukatili mwingine wa kinyama sasa najiuliza kwanini sijasikia nchi za kiarabu zikipiga kelele au makundi ya kigaidi kama ISIS au Al qaeda kufanya mashambulizi huko china au hata balozi za china maeneo mengine duniani?? Ambapo ni tofauti kabisa kama tulivyozoea kwamba nchi zinazokandamiza waislam hasa mataifa makubwa lazima yakumbane na mashambulio ya kigaidi!!! Najua humu kuna wataalam wa siasa za kimataifa ningeomba mnisaidie na hili swali.

SOURCE:BBC
UN alarmed at China 'detention camps'

Cc Malcom Lumumba chige JokaKuu Richard Wick

Mkuu yuor not informed, Fuatilia kuhus waislam wanawekwa kizuizini.
 
mkuu china ni nchi kubwa sana sasa haiingiliki kirahisi hivyo kama ni misheni ilifeli,halafu ugaidi ni sera maalum ya wazungu ya kutafutia gia ya kuanzisha ugomvi ili kupata rasilimali fulani katika eneo walipangalo au kuanzisha vituo vya kijeshi.sasa wale waislam walio china chini ya makambi ni wale waislam magharibi waliopandikizwa kuanzisha chokochoko sasa mchina kamkoma nyani giladi.kawapa za mwana ukome hebu fikiri kama ameweza kilicontrol kanisa katoliki atashindwa kuvibana viislam uchwara milioni moja.yale wanayowafanya wale waislam ni funzo kwamba kama kuna wengine watajaribu basi watakiona cha mtema kuni. UGAIDI NI WIZI NA UNYANG'ANYI WA KIZUNGU.
Aisee!
China inamuhitaji Mungu!
Kumbe ndo maana China iko vileduh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Actually nmekua nikufutilia Sana kuhusu Hilo #zito junior

Nimekuja kugundua kua China n nchi ya kibabe zaidi ya Russian hasa kwene kudeal na ugaid au vuguvugu za kujitenga hawajamaa hawana salia mtume aisee

Miaka ya Nyuma miaka 2000s' China imesumbuliwa Sana na ugaidi na wanaotaka kujitenga hasa Xianjian regions waishio kabila la uighur ambao wanna asili ya uturuki (Turkish descent)

Wachina wakampeleka afisa mmoja wa serikali ambae aliweza kuituliza TIBETI ( ilikua inataka kujitenga ) ...
Huyu jamaa ndo ameweza kutuliza Sana Jimbo Hilo ambalo linapakana na Pakistan , Afghanistan, Kazakhstan ambako wanaamini vugu vugu la ugaidi ndo linaanzia huko kwa shinikizo la nchi hizo za kiislam...

So CHINA ikaanza mkakati kwa kutight control mipakani no one out no one in....inasadikika Zaid ya watu 2000 kwa kipindi waliuliwa huko wakat China ilitoa takwimu kama iliua magaidi 90 na kitu hivi....
Hiyo n mikakani

HAN CHINESE
Kwa kuhofia eneo Hilo kujitenga ilianza mkakati wakupeleka wananchi wake wengine ambao n wachina dominant (han Chinese) katka Jimbo Hilo la xianjian nakufanya hao HAN CHINESE kuwa wengi 38% zaidi ya wa- uighur ambao ndo wenye asili wa eneo Hilo.....Sasa Apo Kuna kujitenga hapo wakat mmpo outnumbered!

Wanajeshi na police
Kiasi kikubwa Cha wanajeshi wamepelekwa huko...Na wengine wanawekwa kufanya Kaz kama za raia kikinuka wanachukua mtutu....Polisi au wanajeshi Doria mtaan ni kama kawaida

TECHNOLOGIA OF utambuzi
Hapa ndyo majaribio yote ya technilogia tambuzi ,sura,DNA,Giand Data analysis,...na wamehakikisha Kuna camera Kila sehem supermarket,barabaran,kwene mabasi,misikitini ,na mitaani majumbani.....
Kila mkazi huko Yuko kwene database

Kiasi kwamba hao wachina wakiturkish wakienda hata kununua kisu kinaandikwa namba na kuambatanishwa kwenye taarifa za mtu huyo....
Kifupi technologia yote ya ulinzi ipo Jimbo Hilo...

MASPY, CHECKPOINT
Pamoja na yote bado wameweka zaidi ya 1million maspy ambao wanazunguka kwenye nyumba za wachina waturuki hao,na kutoa taarifa kwa wanaemuhisia na itikadi
Checkpoint mbalimbali wanakagua simu ,picha na video za itikadi Kali,na silaha yyte ile

KUUA MISIMAMO MIKALI YA KIDINI
kuvaa baibui,kufuga ndevu nyingi kwa kijana,KUFUNGA,au kuhubiri itikadi unashikwa....shehe lazma achaguliwe na serikal ya China..

DETENTION CENTERS
wamewadetein Zaid ya million 2 according to Western media kwa makosa tofauti au kushukiwa kuwa na silaha,itikadi,unapnga au kuwepo kwa ndugu nje ya nchi...

So kwa hali Hii huyo gaidi ataingilia wapi mipakani wanajeshi,na MASPY,macamera

Kuna jaribio moja lilifanywa kutest surveillance ya beijin....akaingia reporter mmoja wa BBC akapigwa picha alafu akaambiwa atawanyike mtaani aende anakokujua yy aone n muda gan watatumia kumkamata.....

N masaa matatu tu wakamnasa!! Sasa unaeza ona security zao zilivo na nguvu.....n makamera tu dk cfuri wanae
Duhsio mchezo!
Nimeipenda kwakweli!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana Ugaidi upo pia huko China sema hauripotiwi na vyombo vyao vya habari sababu ya udhibiti mkubwa wa serikali.
Ninachoamini ungekuepo dunia ingeuona kumbuka hata izo detention camp zmeoneshwa na media za marekan,Western kama BBC,sky news.....wanaminya vyombo vyao lakin wanashindwa vya nje kwasababu nawawo media za China zipo nchi za magharibi....KUKATAZA NISAWA NA KUSEMA KILA MTU ARIPORT HABARI ZAKE.....
 
Back
Top Bottom