Kwanini haileti shida wanawake wazungu kuvaa nguo fupi mtaani bongo tofauti na wanawake weusi wabongo

Wazungu wametoka mbali sana
Screenshot_20240107_111836_com.android.chrome.jpg
 
Nimekaa Nairobi kwa muda, wanawake wanavaa nguo fupi sana, yani kama chini kidogo tu ya kiuno lakin hakuna mtu mwenye habari nao kila mtu yuko busy ku mind mambo yake!
Yes,sasa ukienda kule kwenye Campas zao kama Nairbi university,au Jomo Kenyata kule ndio balaa tupu na hakuna anaye shangaa,

Wabongo Exposure zinatutesa sana, shida ni Exposure,na tunashindwa pia kujua nguo wameleta wazungu,kabla yao hakukuwa na kitu kinaitwa nguo,na wanawake walikuwa wanatembea matiti wazi hakuna anaye shangaa.
 
Kwanini wanawake wa kizungu wanaweza kuvaa vikaptula au nguo fupi sana zinazoacha sehemu kubwa ya maungo yao wazi na wakatembea mitaa kama ya Kariakoo bila shida yoyote au kusumbuliwa na Wanaume wa kibongo tofauti na Wanawake weusi wa kibongo ambao wakivaa hivyo wanapata kila aina ya usumbufu kutoka kwa Wabongo wenzao weusi.

Yani Mwanamke wa kizungu anaweza kupita hata amavaa boxer Kariakoo na hakuna atakayempigia miluzi, kelele, kumsonga au kumvuta tofauti kabisa na mwanamke wa kibongo ambaye akipita hivyo lazima mtaa mzima uvurugike kama wehu, wendawazimu au watu wenye mapepo na clips za huyo mwanamke zitapandishwa mitandaoni kujadiliwa!
Towa "z" kwenye mzungu, sema inabaki nini?
 
Sina TV mkuu , kuna wazungu ni chuma za hatari ,wana maumbo yakuvutia , na ni asili yao , kama tu ilivyo Africa wapo wenye maumbo mabaya na wapo wenye mashep mazuri pia.
Hapo sawa

Kila jamii (race) kuna wanawake warembo na wabovu.

Mwanamke mweusi ana thamani kubwa sana na ni warembo sana.(My opinion)

Japokuwa ni preference ya mtu na mtu.
 
Kuna hawa latin America mkuu, ni hatari sana.
Walatin wanafabya sana plastic surgery
Kuongeza matako, matiti, shaping na hawa ni wale wenye uwezo kidogo, malaya, escort n.k

Wale maskini kana mimi walio wengi ni obesity hawajawezi kwa lolote, sasa kila race wanajua wanafanya plastic surgery hata kina mobeto wanafanya, umaarufu wa latina umeshuka sana tofauti na mwazno
 
💯
 
Wazungu kutembea uchi ni utamaduni wao,so vijana hawataki kuona Dada zao waige tamaduni za kishenzi,ndio wanawaweka sawa ili waone kua hayo mavazi hayakubaliki,

Hao wadada ndio walezi wa familia na maadili huanzia ndani ya familia,familia zenye maadili mazuri hujenga taifa bora,mzungu ni mtu wa kupita tu hana impact kwa jamii inayoishi kwenye eneo hilo japo uvaaji wao unaweza kuathiri watu kuwaiga.
Mkuu maadili hayaanzii kwenye malezi ya watoto bali kwenye mahusiano ya wazazi kwa jinsi waafrika wanavyozaazaa tu watoto hovyo bila mahusiano ya kueleweka wakijifanya kukimbia majukumu kwa kukataa ndoa, hatuwezi kuwa na maadili hata hao wanawake wangekuwa wanajitandaza sanda mwili mzima mtawalaumu wanawake bure tu ila malezi hayamhusishi mama pekee watoto wanahitaji malezi ya wazazi wote wawili, na siyo wanalelewa na mzazi mmoja huku mwingine wakimsikia kwa simu na kuonana naye kwa misimu na baadhi kuishia kutuma pesa za matumizi huku wengi wao wakitelekeza kabisa hao watoto sasa kwa hali hiyo maadili yatatoka wapi
 
Kwanini wanawake wa kizungu wanaweza kuvaa vikaptula au nguo fupi sana zinazoacha sehemu kubwa ya maungo yao wazi na wakatembea mitaa kama ya Kariakoo bila shida yoyote au kusumbuliwa na Wanaume wa kibongo tofauti na Wanawake weusi wa kibongo ambao wakivaa hivyo wanapata kila aina ya usumbufu kutoka kwa Wabongo wenzao weusi.

Yani Mwanamke wa kizungu anaweza kupita hata amavaa boxer Kariakoo na hakuna atakayempigia miluzi, kelele, kumsonga au kumvuta tofauti kabisa na mwanamke wa kibongo ambaye akipita hivyo lazima mtaa mzima uvurugike kama wehu, wendawazimu au watu wenye mapepo na clips za huyo mwanamke zitapandishwa mitandaoni kujadiliwa!
Jiulize hivi, wewe unaweza kumvuwa nguo mama'ko? Lakini mama wa mwenzako akikuvulia nguo si unachekelea?
 
Hivi Muafrika utamaduni wake ni upii? Nataka kujibiwa ili nitathimini km kweli au laah.

UNAFIKIII.
Hoja kuntu.
Mara wengine wanashabikia uvaaji wa kimaasai wakidai ni utamaduni wetu.
Wakiona wale akina Makhirikhiri wanasema wanatuwakilisha Waafrika.
Saida akicheza mchenkure jukwaani wanapandwa mzuka wakidai ni uafrika.
Akivaa hivyo mtaani anaambiwa ni umagharibi.
Utmaduni wetu ni upi sisi ambao tumefunzwa.kuvaa hivi karibuni.
Bado wapo ndugu zetu hadi.leo hawajajua kuvaa - wanatembea uchi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom