Wanawake ndio viumbe vyenye mambo ya ajabu zaidi duniani. Kama naongea uongo naomba unithibitishie vinginevyo

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
2,157
10,718
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane!.

Viumbe wanaoongoza kuvaa vibaya(Ki malaya malaya) duniani ni wanawake.

Nenda Hospital ukaone namna manesi wa kike wanavyo wanyanyasa wanawake wenzao hadi huruma, wanawake mmejaa ukatili sana, Manesi wa Hospitali zote za serikali na binafsi ni manyang'au hamfai!, mwanamke mwenzio amekuja kujifungua lakini unavyo mfanyia kama siyo mwanamke.

Mwanamke ukimkuta kitengo ambacho anaona kayapatia maisha na ikiwa unashida basi andika maumivu.

Omba ukutane na Traffic mwanaume mwenye Njaa kuliko kukutana na Traffic mwanamke mwenye njaa, nakwambia utajuta kwanini ulinunua kigari chako mkweche.

Ingia Taasisi zote za serikali ambazo receptionist ni mwanamke, nakwambia utajuta kuzaliwa!.

Nenda masokoni huko ukaone wanavyopigana vita wao kwa wao!.

Mwanamke anakopa vikoba na anadaiwa wakati huo huo hela haijulikani kafanyia nini, mwanaume usipokuwa makini utashangaa unauziwa vitu vyote vya ndani!

Ingia kwenye daladala ukute mwanamke amekaa halafu ameingia mwanamke mwenzie mjamzito, ndipo utagundua hii jinsia ina laana ya milele.

Mwanamke ndiye kiumbe duniani asiyependa ukweli daima, ukimwambia mwanamke ukweli kama unania ya kumpata tambua ya kwamba umeshampoteza kwa silimia 99%,lakini ukimwambia uongo tambua utakuwa umempata kwa asilimia 100%.

Wanawake asilimia 99.9% duniani ni Malaya,kwasababu wanaume wengi tunakutana na wanawake ambao tayari wameshabikiriwa!

Wanawake wengi duaniani ni wauaji, kama anao uwezo wa kutoa mimba kwenye tumbo lake wewe ni nani umsumbue? Wanawake wa Tanzania asilimia 90% wametoa mimba.

Nenda pale TRA halafu ukakutane na afisa mwanamke nakwambia utajuta kwanini unafanya biashara,nadhani wafanya biashara mnalijua hilo.

Nenda Uhamiaji halafu umkute mwanamke ndiye kashika mpini wa wewe kupewa Pasipoti,usipotoa rushwa hutapata ng'ooo hiyo pasipoti.

HAKUNA TAASISI ILIYO IMARA NCHI HII INAYOONGOZWA NA MWANAMKE,VINGINEVYO LABDA NYUMA YAKE AWEPO MWANAUME WA KUMSAIDIA LAKINI TOFAUTI NA HAPO NI MAUMIVU.

SIYO KWAMBA NAWACHUKIA ILA NACHUKIA TABIA ZENU MBAYA.

TAFADHALI BADILIKENI

Ni hayo tu kwa leo
 
Back
Top Bottom