aidha watu waingie mtaani kuvuruga amani ili kIELEWEKE ka wanavosema wenyewe ghoosh sorry:tape:crap... Dr Slaa hawezi kushindwa labda NEC waendelee kuchakachua...
crap... Dr slaa hawezi kushindwa labda nec waendelee kuchakachua...
Hoja ulizotoa Shaycas hazina mantiki.
1." Hofu ya kuibiwa kura."
Hofu haina uhusiano na mtu kutoshinda. Kama ungesema wizi wa kura kuwa ndiyo sababu ya kutoshinda hilo lingekubalika kimantiki.
2."Kuchelewa kutangaza nia." Kuchelewa kutangaza nia haina uhusiano na mtu kushinda au kutoshinda bali mwelekeo wa kampeni na uungwaji mkono ndo kungeweza kuonyesha mtu kushinda au la.
3. "Hamasa ya vijana kabla ya slaa kutangaza nia ili kuwa ndogo". Hili lina uhusiano gani na kushindwa au kushinda katika uchaguzi ambao umekwisha fanyika? Tunaweza kusema kuwa mwanzoni hapakuwa na hamasa lakini je baadaye kulikuwa na hamasa? na kama hamasa ilikuja baadaye na uchaguzi ulifanyika baadaye wakati ukosefu wa hamasa ulikuwa kabla, je maana yake siyo kwamba ndiyo angeshinda? kwani hamasa ya kabla ndiyo inayosababisha ushindi au hamasa ya baadaye? Mimi nadhani kama mwanzoni wangekuwa na hamasa lakini wakati wa upigaji kura wakakosa hamasa Dr. Slaa ndo angeshindwa.
Dr. Slaa hatoshinda ktk uchaguzi huu kutokana na sababu zifuatazo..
Hofu ya kuibiwa kura.
Kuchelewa kutangaza nia.
Hamasa ya vijana kabla ya slaa kutangaza nia ili kuwa ndogo. Nk.
Na nchi haiwezi kutawaliwa na wajnga wachache wnao weka ushabiki wakipumbavu kwenye masirahi ya nchi...Mtu hauwezi kushinda urais kwa sababu ya wahariri wa magazeti ya Mwananchi, Majira, Nipashe, na MwanaHalisi wanataka hivyo. Wanaopiga kura ni wananchi, siyo wahariri wa magazeti! Full stop!
Ushindi ni ndoto tena za mchana.
Hoja ulizotoa Shaycas hazina mantiki.
1." Hofu ya kuibiwa kura."
Hofu haina uhusiano na mtu kutoshinda. Kama ungesema wizi wa kura kuwa ndiyo sababu ya kutoshinda hilo lingekubalika kimantiki.
2."Kuchelewa kutangaza nia." Kuchelewa kutangaza nia haina uhusiano na mtu kushinda au kutoshinda bali mwelekeo wa kampeni na uungwaji mkono ndo kungeweza kuonyesha mtu kushinda au la.
3. "Hamasa ya vijana kabla ya slaa kutangaza nia ili kuwa ndogo". Hili lina uhusiano gani na kushindwa au kushinda katika uchaguzi ambao umekwisha fanyika? Tunaweza kusema kuwa mwanzoni hapakuwa na hamasa lakini je baadaye kulikuwa na hamasa? na kama hamasa ilikuja baadaye na uchaguzi ulifanyika baadaye wakati ukosefu wa hamasa ulikuwa kabla, je maana yake siyo kwamba ndiyo angeshinda? kwani hamasa ya kabla ndiyo inayosababisha ushindi au hamasa ya baadaye? Mimi nadhani kama mwanzoni wangekuwa na hamasa lakini wakati wa upigaji kura wakakosa hamasa Dr. Slaa ndo angeshindwa.
naomba nifafanue kidogo..
Hofu ya kuibiwa ilifanya watu wengi wasipige kura kwa kuamini kuwa hata wapige kura haitasaidia,zingeibiwa.
Kuchelewa kutangaza nia kulifanya watu wasijiandikishe kwa kujua wagombea ni wale wale ambao hawana mchango wowote..hadi mwisho hawakupiga kura kwa kukosa sifa.
Vijana walihamasika kupiga kura wakati tayari hawakuwa na sifa kwani wengi ama hawakujiandikisha au hawakurekebisha taarifa zao za mahali pa kupigia kura. Dr anaungwa mkono na vijana zaidi*tathmini yangu*
nashukuru kwa kuchangia
Dr. Slaa hatoshinda ktk uchaguzi huu kutokana na sababu zifuatazo..
Hofu ya kuibiwa kura. - Wanaendelea kuchakachua kura ambazo tumepiga hilo halina mjadalaKuchelewa kutangaza nia. - :nono::nono::nono::nono::nono::nono:Nk.Hamasa ya vijana kabla ya slaa kutangaza nia ili kuwa ndogo. - Can you prove this to me
Thenks-I agree with u, ubaya wa baadhi ya WanaJF ni kama Makamba vile! hata statement ya ukweli wataipinga simply-inatofauitiana na wanachofikiri!
Na nchi haiwezi kutawaliwa na wajnga wachache wnao weka ushabiki wakipumbavu kwenye masirahi ya nchi...
kuna njia nyingi za kufikia malengo wewe tulia hapo Barclays uchakachue na kutuma hate messages!