kwanini dr. Slaa hatashinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwanini dr. Slaa hatashinda

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shaycas, Nov 2, 2010.

 1. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Dr. Slaa hatoshinda ktk uchaguzi huu kutokana na sababu zifuatazo..
  Hofu ya kuibiwa kura.
  Kuchelewa kutangaza nia.
  Hamasa ya vijana kabla ya slaa kutangaza nia ili kuwa ndogo. Nk.
   
 2. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hoja ulizotoa Shaycas hazina mantiki.
  1." Hofu ya kuibiwa kura."
  Hofu haina uhusiano na mtu kutoshinda. Kama ungesema wizi wa kura kuwa ndiyo sababu ya kutoshinda hilo lingekubalika kimantiki.
  2."Kuchelewa kutangaza nia." Kuchelewa kutangaza nia haina uhusiano na mtu kushinda au kutoshinda bali mwelekeo wa kampeni na uungwaji mkono ndo kungeweza kuonyesha mtu kushinda au la.
  3. "Hamasa ya vijana kabla ya slaa kutangaza nia ili kuwa ndogo". Hili lina uhusiano gani na kushindwa au kushinda katika uchaguzi ambao umekwisha fanyika? Tunaweza kusema kuwa mwanzoni hapakuwa na hamasa lakini je baadaye kulikuwa na hamasa? na kama hamasa ilikuja baadaye na uchaguzi ulifanyika baadaye wakati ukosefu wa hamasa ulikuwa kabla, je maana yake siyo kwamba ndiyo angeshinda? kwani hamasa ya kabla ndiyo inayosababisha ushindi au hamasa ya baadaye? Mimi nadhani kama mwanzoni wangekuwa na hamasa lakini wakati wa upigaji kura wakakosa hamasa Dr. Slaa ndo angeshindwa.
   
 3. i

  ilboru1995 JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,331
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  crap... Dr Slaa hawezi kushindwa labda NEC waendelee kuchakachua...
   
 4. Mwanamageuko

  Mwanamageuko JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,796
  Likes Received: 1,294
  Trophy Points: 280
  aidha watu waingie mtaani kuvuruga amani ili kIELEWEKE ka wanavosema wenyewe ghoosh sorry:tape:
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  mbona tayari wanachakachua ?
   
 6. Domo Kaya

  Domo Kaya JF-Expert Member

  #6
  Nov 3, 2010
  Joined: May 29, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ushindi ni ndoto tena za mchana.
   
 7. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #7
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  naomba nifafanue kidogo..
  Hofu ya kuibiwa ilifanya watu wengi wasipige kura kwa kuamini kuwa hata wapige kura haitasaidia,zingeibiwa.
  Kuchelewa kutangaza nia kulifanya watu wasijiandikishe kwa kujua wagombea ni wale wale ambao hawana mchango wowote..hadi mwisho hawakupiga kura kwa kukosa sifa.
  Vijana walihamasika kupiga kura wakati tayari hawakuwa na sifa kwani wengi ama hawakujiandikisha au hawakurekebisha taarifa zao za mahali pa kupigia kura. Dr anaungwa mkono na vijana zaidi*tathmini yangu*
  nashukuru kwa kuchangia
   
 8. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtu hauwezi kushinda urais kwa sababu ya wahariri wa magazeti ya Mwananchi, Majira, Nipashe, na MwanaHalisi wanataka hivyo. Wanaopiga kura ni wananchi, siyo wahariri wa magazeti! Full stop!
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Na nchi haiwezi kutawaliwa na wajnga wachache wnao weka ushabiki wakipumbavu kwenye masirahi ya nchi...
   
 10. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #10
  Nov 3, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna njia nyingi za kufikia malengo wewe tulia hapo Barclays uchakachue na kutuma hate messages!
   
 11. c

  chamajani JF-Expert Member

  #11
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huenda anamaanisha baadhi ya vijana walihamasika baada ya kuwa uandikishaji ulishakwisha, which is true! hizo nyingine waswahili husema hazina mashiko! Kazi tu 2015!
   
 12. c

  chamajani JF-Expert Member

  #12
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Thenks-I agree with u, ubaya wa baadhi ya WanaJF ni kama Makamba vile! hata statement ya ukweli wataipinga simply-inatofauitiana na wanachofikiri!
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Bado hakuna hoja ya msingi
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Nov 3, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wale wale

  Like blind hens, we are ignorant of our own self and the depths within us.
   
 15. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #15
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kajifunze kuandika vizuri kabla ya kuanza kuwaita watu "wajnga". Ujinga ulikuwa wenu wa kudhania kwa kuhonga wahariri wa habari na kupachika picha za Slaa ukurasa wa mbele kila siku ndiyo huyo Slaa atakuwa rais. Fedha zimeliwa na JK anatunda kama kawa!
   
 16. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #16
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na nyie mliokuwa mnarudnikana JF mlikuwa mnatuma "love messages" eh! Ama kweli nyani hupenda kucheka vikalio vya wengine! Teh teh teh!

  Pipoz pawa my rear!
   
 17. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #17
  Nov 3, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  KAAZ KWEL KWEL.......YAAANI SLAA HAWEZI KUSHINDA KUONGOZA NCHI HII?........saa ya ukombozi kweli ina betri za kichina
   
Loading...