Kijitonyama
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 250
- 130
Na mpenda amani ni JK na Said Mwema?alishasema nchi haitotawalika...........lazma damu imwagike.......so no woder at all.....!!!!!!!!!!! slaa ni mchukia amani namba moja tanzania:bored:
Na mpenda amani ni JK na Said Mwema?alishasema nchi haitotawalika...........lazma damu imwagike.......so no woder at all.....!!!!!!!!!!! slaa ni mchukia amani namba moja tanzania:bored:
So what??? Hata kama wangekuwa nyani, who cares at this point? Unatutega tuogope christians? CCM has to go...hata kwa fimbo.chromium, kwa nini unapata kigugumizi kutaja hicho chama!? kama hukijui kinaitwa Christian Democratic Union (CDU). hicho chama ndiyo mfadhili mkuu wa chadema
So what??? Hata kama wangekuwa nyani, who cares at this point? Unatutega tuogope christians? CCM has to go...hata kwa fimbo.
usizunguke mbuyu. jibu hoja dogo tafadhali!Huyu jamaa ana Njaa kali sana.Tusimlaumu.Kwa maongezi yake ukiangalia kwa makini ndio wale waliopewa laptop za bure na air time za bure kuja hapa JF.kuongea pumba ambazo ni vichekesho.Sasa makamanda naomba mwenye kujua wapi kuna kazi apewe huyu jamaa.kwa kweli atakufa njaa.kwani anajitahidi ili mabosi wake waone kama anafanya kitu.sasa kibaya anachoandika hakina amashiko pole sana.msaada makamanda.tulianza na mungu na tunamalizia na mungu.
Bila maneno ya chuki na uchochezi dr slaa na cdm hawawezi kuwa na ushawishi ki siasa.
Hawa vijana wa Green Guards hawajui kuchambua hoja na mitazamo tofauti, alichokisema Dr.Slaa ni kumtaka Mhe.Nchimbi asichukulie tuhuma zote zile kama jambo dogo kwa hatima ya taifa na kama hataweza kuzibeba ajiuzulu.Kutoka nje ya ukumbi siyo kwenda nje ya ukumbi kushangaa majengo bali kutangaza kujiuzulu, na kinyume chake ni kubaki ndani, kuzingatia yanayozungumzwa na kukiri udhaifu.Mhe.Nchimbi amekiri udhaifu wa serikali,chama chake na vyombo vya dola kisha ameomba msaada na ushirikiano.Kama akili yako ndogo, si ajabu hujaelewa hata mantiki ya ile hadithi ya mtego wa panya.
Hakuna hoja hapa.Ni moja kwa moja hakuna kitu unachoongea kuanzia kichwa cha Habari na yaliyomo ndani babu.Sitaki kuongelea kila kitu hapa.kila mtanzania anajua ni nani ana haribu amani ya hii nchi .Ndio maana nsema kuwa akili ndogo haiwezi tawala akili kubwa kamwe.mambo yapo wazi wewe unajifanya hujui.ndio maana nimekuja moja kwa moja na kukuambia una njaa upo hapa kazini ili wajukuu wako waende chooni.
Na mimi nasema azomewe tu maana sasa TUMECHOKA.kwanza napenda kuwapongeza UDASA kwa kuandaa kongamano leo katika ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam! Lengo kuu lilikua kujadili amani hapa nchini. Pili nawapongeza wote waliohudhuria ktk kongamano hilo.
Miongoni mwa walio hudhuria ni katibu mkuu wa chadema Dkt. Slaa na Waziri wa Mambo ya ndani Muh. Emanuel Nchimbi. Miongoni mwa waliowasilisha mada ni Dkt. Ayoub Rioba na Prof. Killian. Dkt. Slaa alipopata wasaa wa kuchangia alionesha ukandamizaji wa vyombo vya dola kwa raia. Alimgeukia waziri Nchimbi na kumshambulia kuwa vile anasimamia polisi, hafai kuemo ukumbini. Ni heri akatoka nje. Slaa alifanya hivyo ili kuharibu amani iliyokua inaendelea.
Alitaka kuishawishi hadhira ili ipoteze imani kwa Nchimbi. Slaa alilenga kuishawishi hadhira kumzomea Nchimbi pindi atakapo hutubia. Tofauti na matarajio ya Slaa, Nchimbi alishangiliwa kwa ushirikiano alioutoa kwa kuahidi kufanyia kazi changamoto na matatizo alio yasikia.
Hivyo najiuliza: Je Slaa alichukizwa na uwepo wa Nchimbi? Je Slaa alitaka Ncchimbi azomewe ili apate nini? Je Slaa anapenda viongozi wa serikali wanavyo kwepa kuhudhuria midahalo na makongamano mbambali? hadhani kuwa Nchimbi anastahiki pongezi angalau kwa kuhudhuria? Namalizia kwa kuuliza: kwa kujaribu kuchafua hali ya hewa ukumbini, je Slaa kweli anapenda amani?
josephine ndio nani tena?Dr. Slaa tamaa ya pesa ya Josephine ndiyo inayompeleka peleka lakini alikuwa mtu mzuri kabla hajaanza kujihusisha na Josephine.
Aisee! Unaweza kukuta mleta mada ana digrii ya Chuo kikuu! Maskini Tanzania yangu
Haya haya ndo yaliyomfanya LUPUMBA apige kampeni MSIKITINI ili tu Mwislamu mwenzangu apite kwa kuendekeza Udini tutapotea simamieni haki si kuchafua watu kwa maneno ambayo hayana Mshiko.Slaa ndipo anapatia ulaji panapo kosekana amani, ni karata pekee anayoitumia kwenda kuombea pesa kwa Wakristo wa Ujerumani na Italia, kuwa wenzao wananyanyaswa na Rais Muislaam. Hiyo ndio turufu yake, ana kipi kingine?
kwanza napenda kuwapongeza UDASA kwa kuandaa kongamano leo katika ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam! Lengo kuu lilikua kujadili amani hapa nchini. Pili nawapongeza wote waliohudhuria ktk kongamano hilo.
Miongoni mwa walio hudhuria ni katibu mkuu wa chadema Dkt. Slaa na Waziri wa Mambo ya ndani Muh. Emanuel Nchimbi. Miongoni mwa waliowasilisha mada ni Dkt. Ayoub Rioba na Prof. Killian. Dkt. Slaa alipopata wasaa wa kuchangia alionesha ukandamizaji wa vyombo vya dola kwa raia. Alimgeukia waziri Nchimbi na kumshambulia kuwa vile anasimamia polisi, hafai kuemo ukumbini. Ni heri akatoka nje. Slaa alifanya hivyo ili kuharibu amani iliyokua inaendelea.
Alitaka kuishawishi hadhira ili ipoteze imani kwa Nchimbi. Slaa alilenga kuishawishi hadhira kumzomea Nchimbi pindi atakapo hutubia. Tofauti na matarajio ya Slaa, Nchimbi alishangiliwa kwa ushirikiano alioutoa kwa kuahidi kufanyia kazi changamoto na matatizo alio yasikia.
Hivyo najiuliza: Je Slaa alichukizwa na uwepo wa Nchimbi? Je Slaa alitaka Ncchimbi azomewe ili apate nini? Je Slaa anapenda viongozi wa serikali wanavyo kwepa kuhudhuria midahalo na makongamano mbambali? hadhani kuwa Nchimbi anastahiki pongezi angalau kwa kuhudhuria? Namalizia kwa kuuliza: kwa kujaribu kuchafua hali ya hewa ukumbini, je Slaa kweli anapenda amani?
Haya haya ndo yaliyomfanya LUPUMBA apige kampeni MSIKITINI ili tu Mwislamu mwenzangu apite kwa kuendekeza Udini tutapotea simamieni haki si kuchafua watu kwa maneno ambayo hayana Mshiko.