Kwanini Dkt. Slaa anaichukia amani?

Kwanini Dkt. Slaa anaichukia amani?

good ,good chadema hawawezi kuwa na ushawishi wowote wa kupewa nchi

Ni kweli hawana ushawishi wa kisiasa kwa Wauza Unga,Kwanza mtampendaje muumini wa uzalendo,utawala wa sheriana na utawala bora kama Dr Slaa na CHADEMA kwa ujumla?Si yatakuwa maajabu hayo.
 
mambo ya digrii yangu hayakuhusu. jibu makala yangu kwa hoja dogo

Hahahaha Makala iko wapi hapa??? Nasita kukuita CCM, maana tunawasingizia, Nikikuita buku 7 nitakukosesha ujira. Unaweza uza utu wako kwa vitu vya kupita
 
Hivi ni kwanini hatutaki ukweli nimashambulizi gani aliyoyafanya Dr Slaa kumwambia ukweli waziri ndo kumshqmbulia mtu tuliite koreo kwa jina lake alichokizungumza Dr. sisi tunaoishi sehem zilizopata majanga tunayajua tusipotoshe maana mbona Mtatiro kaongea hatujasema kamshambulia mtu nini tatizo mtu kuongea ukweri nilikuwepo ukumbini na baada ya kikao alikua na nyaraka zinazoonyesha alichokiongelea tusiwadanganye watu hii ni nchi yetu sote ukweli pekee utatuweka huru
 
kwanza napenda kuwapongeza UDASA kwa kuandaa kongamano leo katika ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam! Lengo kuu lilikua kujadili amani hapa nchini. Pili nawapongeza wote waliohudhuria ktk kongamano hilo. Miongoni mwa walio hudhuria ni katibu mkuu wa chadema Dkt. Slaa na Waziri wa Mambo ya ndani Muh. Emanuel Nchimbi. Miongoni mwa waliowasilisha mada ni Dkt. Ayoub Rioba na Prof. Killian. Dkt. Slaa alipopata wasaa wa kuchangia alionesha ukandamizaji wa vyombo vya dola kwa raia. Alimgeukia waziri Nchimbi na kumshambulia kuwa vile anasimamia polisi, hafai kuemo ukumbini. Ni heri akatoka nje. Slaa alifanya hivyo ili kuharibu amani iliyokua inaendelea. Alitaka kuishawishi hadhira ili ipoteze imani kwa Nchimbi. Slaa alilenga kuishawishi hadhira kumzomea Nchimbi pindi atakapo hutubia. Tofauti na matarajio ya Slaa, Nchimbi alishangiliwa kwa ushirikiano alioutoa kwa kuahidi kufanyia kazi changamoto na matatizo alio yasikia. Hivyo najiuliza: Je Slaa alichukizwa na uwepo wa Nchimbi? Je Slaa alitaka Ncchimbi azomewe ili apate nini? Je Slaa anapenda viongozi wa serikali wanavyo kwepa kuhudhuria midahalo na makongamano mbambali? hadhani kuwa Nchimbi anastahiki pongezi angalau kwa kuhudhuria? Namalizia kwa kuuliza: kwa kujaribu kuchafua hali ya hewa ukumbini, je Slaa kweli anapenda amani?

Ni wapi aliposhangiliwa mchimbi?Slaa hapendi amani ama serikali haipendi changamoto na ukosoaji kisiasa na kiharakati?
 
Mzee nguvu yake ni vijana waliochoka na maisha. Bahati nzuri leo walikuwapo wasomi pale ukumbini.
 
That's just your interpretation. Si kila mtu ameelewa hivyo. You seem not to understand the meaning, you get lost in the morphology. Mbona Nchimbi mwenyewe anaunga michango ya wachangiaji wote kwa asilimia 100 na wala hakusema isipokuwa mchango wa Dr Slaa? Labda kama ungesema lugha anayoitumia iko juu ya uwezo wako, hapo ningekuelewa. Lakini kusema hataki amani na kila mara huwa anasema kuliko kusababisha mauaji ya raia ni heri hata asiwe kiongozi (anyimwe kura)!
 
Ni wapi aliposhangiliwa mchimbi?Slaa hapendi amani ama serikali haipendi changamoto na ukosoaji kisiasa na kiharakati?
nchimbi alianza kwa siasa ya kusema kuwa slaa ni rafiki yake kasha akatoa kisa cha mtego wa panya. kile kisa kiliwagusa watu sana. aliposema kuwa aliyoyasikia hata yeye yanamuumiza kama waziri wa mambo ya ndani alishangiliwa. Ben mimi ni mwalimu kitaaluma. katika kuhutubia kuna kitu kinaitwa AUDIENCE INSTIGATION. ndicho alicho kifanya slaa. Slaa alilenga mambo mawili: kwanza kumtisha na kumbabaisha nchimbi kabla hajaongea, na pili kuwashawishi watu wasiwe tayari kumsikiliza nchimbi kwa utulivu. kama inawezekana azomewe. hili ndiyo lilikua moyoni mwa slaa. lile lilkua kongamano la amani. mazungumzo yoyte yalikua yanalenga kueleza jinsi amani inavyovunjwa SIYO KUSEMA NCHIMBI HAFAI KUWA UKUMBINI. KAMA INAWEZEKANA AONDOKE. kama slaa anapenda amani, basi anipenda kinafiki.
 
kwanza napenda kuwapongeza UDASA kwa kuandaa kongamano leo katika ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam! Lengo kuu lilikua kujadili amani hapa nchini. Pili nawapongeza wote waliohudhuria ktk kongamano hilo. Miongoni mwa walio hudhuria ni katibu mkuu wa chadema Dkt. Slaa na Waziri wa Mambo ya ndani Muh. Emanuel Nchimbi. Miongoni mwa waliowasilisha mada ni Dkt. Ayoub Rioba na Prof. Killian. Dkt. Slaa alipopata wasaa wa kuchangia alionesha ukandamizaji wa vyombo vya dola kwa raia. Alimgeukia waziri Nchimbi na kumshambulia kuwa vile anasimamia polisi, hafai kuemo ukumbini. Ni heri akatoka nje. Slaa alifanya hivyo ili kuharibu amani iliyokua inaendelea. Alitaka kuishawishi hadhira ili ipoteze imani kwa Nchimbi. Slaa alilenga kuishawishi hadhira kumzomea Nchimbi pindi atakapo hutubia. Tofauti na matarajio ya Slaa, Nchimbi alishangiliwa kwa ushirikiano alioutoa kwa kuahidi kufanyia kazi changamoto na matatizo alio yasikia. Hivyo najiuliza: Je Slaa alichukizwa na uwepo wa Nchimbi? Je Slaa alitaka Ncchimbi azomewe ili apate nini? Je Slaa anapenda viongozi wa serikali wanavyo kwepa kuhudhuria midahalo na makongamano mbambali? hadhani kuwa Nchimbi anastahiki pongezi angalau kwa kuhudhuria? Namalizia kwa kuuliza: kwa kujaribu kuchafua hali ya hewa ukumbini, je Slaa kweli anapenda amani?

Slaa ndipo anapatia ulaji panapo kosekana amani, ni karata pekee anayoitumia kwenda kuombea pesa kwa Wakristo wa Ujerumani na Italia, kuwa wenzao wananyanyaswa na Rais Muislaam. Hiyo ndio turufu yake, ana kipi kingine?
 
Aisee! Unaweza kukuta mleta mada ana digrii ya Chuo kikuu! Maskini Tanzania yangu

Akili ndogo hujadili watu na akili kubwa hujadili mada. Na hii ndio hatari ya chadema. Utasikia nchimbi jiuzulu, mwema achia ngazi, kawambwa toka nje, tendwa hatukutambua. Hizi ni akili ndogo nafinyu kabisa. Let's address issues
 
Ni wapi aliposhangiliwa mchimbi?Slaa hapendi amani ama serikali haipendi changamoto na ukosoaji kisiasa na kiharakati?

nchimbi alianza kwa kusimulia kisa cha mtego wa panya. kile kisa kiliwagusa wengi. aliposema kuwa anaguswa sana na mambo yanayo hatarisha amani ya nchi na kuahidi kufanyia kazi yaliyo zungumzwa, hadhira ilimshangilia. katika kuhutubia kuna kitu kinaitwa AUDIENCE INSTIGATION. ndicho alichokifanya slaa. slaa baada ya kueleza malalamiko yake alimgeukia nchimbi na kusema kuwa hafai kuwemo ukumbini. na kama yumo ni bora atoke nje. slaa alilenga mambo mawili: kwanza kumbabaisha nchimbi ili asihutubie kwa utulivu, na pili ni kuishawishi hadhira kutokua tayari kumsikiliza nchimbi kwa utulivu. kwa jinsi nchimbi alivyopanga hotuba yake, fursa ya fujo haikuwezekana. slaa atofautishe kati ya jukwaa la siasa na kongamano tena LA AMANI. kama nchimbi asingekuepo, nani angepokea malalamikoya walio hudhuria? kama kweli slaa anapenda amani, basi anaipenda kinafiki
 
nchimbi alianza kwa siasa ya kusema kuwa slaa ni rafiki yake kasha akatoa kisa cha mtego wa panya. kile kisa kiliwagusa watu sana. aliposema kuwa aliyoyasikia hata yeye yanamuumiza kama waziri wa mambo ya ndani alishangiliwa. Ben mimi ni mwalimu kitaaluma. katika kuhutubia kuna kitu kinaitwa AUDIENCE INSTIGATION. ndicho alicho kifanya slaa. Slaa alilenga mambo mawili: kwanza kumtisha na kumbabaisha nchimbi kabla hajaongea, na pili kuwashawishi watu wasiwe tayari kumsikiliza nchimbi kwa utulivu. kama inawezekana azomewe. hili ndiyo lilikua moyoni mwa slaa. lile lilkua kongamano la amani. mazungumzo yoyte yalikua yanalenga kueleza jinsi amani inavyovunjwa SIYO KUSEMA NCHIMBI HAFAI KUWA UKUMBINI. KAMA INAWEZEKANA AONDOKE. kama slaa anapenda amani, basi anipenda kinafiki.

Sasa unafanya tafsiri yako kuwa tafsiri ya kila mtu? According to me, Dr Slaa anasukumwa na falsafa ya Plato aliyesema "to know the good is to do the good." Ili haki itendeke lazima ionekane ikitendeka. Kwa mazingira ya Tanzania, kama polisi au tuseme vyombo vya dola kwa ujumla vinalinda amani ya nchi havina budi kuonekana vikifanya hivyo. Kama havionekani vikifanya hivyo vinakuwa vimepoteza moral authority au legitimacy ya kuwa vyombo vya usalama. Kwa vile Dr Nchimbi ni Waziri wa Mambo ya Ndani na baadhi ya polisi wanahusishwa na mauji ya raia mara kwa mara, then yeye kama waziri alipaswa awe ameshajiuzuru (kama inavyoonekana ikitokea katika nchi zinazofuata utawala wa sheria). Lakini hapa kwetu utakuta unyama fulani na hakuna anayewajibika. This is what Dr Slaa was referring to kama umeshindwa kuelewa alichokuwa anamaanisha ingawa unadai kuwa wewe ni mwalimu. Read between the lines and don't get lost in the morphology of the words.
 
Scramble ww ndio ovyo kabisa na itakuchukua miaka 100 ufahamu anachosema Dr Slaa, unanadika utumbo kutetea mizigo ya serikali ya ccm?
HAKIKA HAKUNA AMANI PASIPO NA HAKI, NA KABURI LA CCM NI UONGO,RUSHWA NA UDHAIFU WA SERIKALI YAO.
SHAME UPON YOU SCRAMBLE RUDI SHULE JIFUNZA KUWA MUELEWA.
 
Akili ndogo hujadili watu na akili kubwa hujadili mada. Na hii ndio hatari ya chadema. Utasikia nchimbi jiuzulu, mwema achia ngazi, kawambwa toka nje, tendwa hatukutambua. Hizi ni akili ndogo nafinyu kabisa. Let's address issues

Actually, hilo ndilo tatizo kwa nchi ambazo hazifuati utawala wa sheria. Nchi zinazofuata utawala wa sheria, kama kitu kimeharibika kwenye wizara au department unayoingoza unawajibika. Unaonesha mfano, kwa kukubali kushidwa kuongoza hiyo wizara au department. Sisi hapa hata kama mtu atafanya blunder ya namna gani hatuna utamaduni huu wa kuwajibika na ndiyo maana tunakuwa na matatizo nyemelezi kwa vile kila kiongozi anajua yuko pale hadi muda wake uishe na siyo hadi ashindwe kuwajibika!
 
Slaa ndipo anapatia ulaji panapo kosekana amani, ni karata pekee anayoitumia kwenda kuombea pesa kwa Wakristo wa Ujerumani na Italia, kuwa wenzao wananyanyaswa na Rais Muislaam. Hiyo ndio turufu yake, ana kipi kingine?

"There is no peace without justice". Kama hakuna haki usitegemee kuwa tuna amani. Kama ipo ni feki. Amani ya kweli inapatikana pale ambapo raia wanatendewa haki na serikali na vyombo vyake.
 
Back
Top Bottom