TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,102
Mzee nguvu yake ni vijana waliochoka na maisha. Bahati nzuri leo walikuwapo wasomi pale ukumbini.
Acha kuongopea wajinga wenzio
Mzee nguvu yake ni vijana waliochoka na maisha. Bahati nzuri leo walikuwapo wasomi pale ukumbini.
"There is no peace without justice". Kama hakuna haki usitegemee kuwa tuna amani. Kama ipo ni feki. Amani ya kweli inapatikana pale ambapo raia wanatendewa haki na serikali na vyombo vyake.
Slaa ndipo anapatia ulaji panapo kosekana amani, ni karata pekee anayoitumia kwenda kuombea pesa kwa Wakristo wa Ujerumani na Italia, kuwa wenzao wananyanyaswa na Rais Muislaam. Hiyo ndio turufu yake, ana kipi kingine?
makala ya kuijibu iko wapi? naona umeandika upuuzi wako na kujisifu nao! na kama kweli unadegree, basi elimu yetu imekwisha!mambo ya digrii yangu hayakuhusu. jibu makala yangu kwa hoja dogo
Wewe mbona mdini hivi? Huwezi kujadili suala bila kupenyeza harufu ya udini? Mbona unaweza ukiamua? Si uamue?
hawawezi kuwa na ushawishi wa kisiasa wapi?Bila maneno ya chuki na uchochezi dr slaa na cdm hawawezi kuwa na ushawishi ki siasa.
Vipi yule afisa usalama kivuli bado anakuandama?slaa ni janga kama ameweza kuasi ndoa,familia na upadri atashindwa kuasi nn .
Sasa sema wewe chama kinachowasaidia chadema Ujerumani kinaitwaje? ukimaliza ukitaje na cha Italy.
Wewe mama acha kuhamasisha hisia za udini bila sababu. Matokeo yake ni mabaya kuliko faida ya muda mfupi unayoipata hapo. Rekodi ya Baba Ritz inaeleweka tukitaka kutazama mambo kwa jicho unalotumia wewe. Acha huo mchezo hatari.
jifunze kusoma kitu na kukielewa. slaa hajasema nchimbi azomewe. alitumia maneno ambayo yangepelekea nchimbi kuzomewa na kutosikilizwa
Nimekwambia sema wewe chama kinachoisaidia chadema cha Ujerumani kinaitwaje?
kama ulikua unaangalia na hukusikia hayo maneno, basi unahitaji kuombewa!Unataka watu wafuate unachotaka wewe coz umeanzisha uzi, who're U¿???? Huwezi kuforce. jisemee mwenyewe unyamaze mwenyewe. Wote tulikuwa tunaangalia
Ritz hebu tuambie alisema wapi huo usemi???