elias gesabo
Member
- Jul 28, 2015
- 54
- 16
Kwani nyie kiawauma nini mbn taarifa mlipewa kabla ya tukio kwanini hamkumhitaji kuwaelezeni ni kwanini watu wanawafutilia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye red. Hiyo lugha shetani aliitumia vizuri sana katika harakati za kumpotosha Eva bustani ya Edeni.Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka wewe ama ni mmoja wa watu wasiojulikana AU halmashauri yako haina mikutano.
Vuta subira wenye uwezo wa kuelewesha vichwa vigumu kuelewa na vyepesi kusahau waje kukusaidia.
Hapo hujamjibu mwenzako. Umehemka tu, hakuna maneno ya msingi uliyoyaandika. Tukio limetokea, na shuhuda aliyekuwepo ni dereva wa Lissu. Alipaswa aende polisi na kueleza namna tukio lilivyotokea. Tatizo watu mnajifanya mnajua wakati hamjui chochote. Itoshe kusema dereva anapaswa aende polisi. Na viongozi wa CHADEMA, kama wana busara wanapaswa wamruhusu aende akatoe ushirikiano, na waache kuropoka ovyo.
Kupta janga kma ilo kama huna uzoefu lazma kisaiklojia upte tatzo au kwa lugha nyepesi kiwewe kwa kunataritbu za kiafya zinaitajka kwanza a we sawa zen ndo umhojii.kwani kina mbowe hawakujua kama dereva wa lissu lazima atatakiwa kuhojiwa? je huyu dereva atawah kurudi au atarudi na mgonjwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu kumbe umenielewa. sababu ya mbowe kuwa ameenda kuwekwa sawa kisaikolojia ni nyepesi mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Big up mkuuTatizo la mapimbi wa Lumumba ni elimu ndogo. Kama polisi wangekuwa na nia ya kuchunguza lile tukio dakika ile ile baada ya kutokea wangegeuza nyumbani kwa Lissu ni crime scene na kuanza Forensic investigation. Zile nguo za Lissu tusingeziona na dereva zimejaa damu kule hospital, wangezichukua wapelelezi. Ukiona dereva anatafutwa siku ya tatu na ndio shahidi namba moja ujue hakuna upelelezi ni just Cover Up. Huenda polisi walimtafuta kumuua wakamkosa