Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.

​

Sent using Jamii Forums mobile app

Assume ni wewe ungekua katika hali gani kwa tukio uliloshuhudia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.

​

Sent using Jamii Forums mobile app

Uliza ****** wako kwanini inatoa mavi. Baada ya kupata jibu ndio urudi hapa
 
Dereva anajua kilichotokea na Mbowe kama kawa upo 4 steps ahead of CCM akahisi huyu akibaki wanaweza wakamuua au kumbambikia kesi,wamtese halafu aseme ni chadema wao ndo walitaka kumuua lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.

​

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa akili za kawaida tu, yule ni mtu wa karibu sana na Mh, Lissu na lile tukio aliliona vema kuliko mtu yeyote. Kwa hiyo wabaya wa Lissu wanaweza kummaliza Dereva wake ili kupunguza ushahidi, hivyo analindwa na kwa ajili ya usalama wake. Pia kutokana na mazingira tata ya vyombo vya usalama kambi ya upinzani haina imani na vyombo vya usalama, ndiyo maana wanajilinda wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niwaulize swali wadau kwani jeshi la polis lilitoa tamko la kumuitaji dereva wa lissu kwa ajili ya kuojiwa baada ya kwenda nairobi au kabla ya kwenda nairobi inasemekana walimficha lakini mbowe alitoa tamko na kusema wanae nairob na ukizingatia dereva yule ni boss wake na kama dugu yake hata kama unakua wewe lazima umsapot nduguyo na lingine kwaajili ya usalama wake kifo hatar sana hata angebaki hapa lazima angekua na wasiwasi maana wamepona kwa uwezo wa mungu hakuna mwenye kusudio baya kati ya mbowe na kamat au familia kwa ujumla tusipende sana kuwajadili watu walio pata matatizo

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Akili za darasa la saba hzo,umesahau kwamba hawa jamaa walitaka kumuua dereva na Lissu pia hvi baada ya lle tukio ulifkiri dereva angebaki mjin mpk leo angekuwa hai kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda anaogoapa [HASHTAG]#watuwasiojulikana[/HASHTAG] !
 
Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.

​

Sent using Jamii Forums mobile app

Haukuwa mchezo wa sinema ni tukio linaloweza kumfanya mtu Kuwa kichaa, kama unashindwa kuelewa hatari za usalama kwa shuhuda mkuu baada ya tukio la aina hiyo bora jikalie kimya tu.
 
Mbowe anacho moyoni anachojua najaribu kuwaza tu plz don arrest me
 
Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.

​

Sent using Jamii Forums mobile app

Dereva anatakiwa abaki Nairobi hadi Lissu atakapopona maana akibaki TZ anaweza kuuawa ushahidi ukapotea. Halafu hawezi kuhojiwa bila uwepo wa wanasheria wa CHADEMA. Kwanini polisi wanaharakisha kutaka kumhoji? Wanataka kuficha nn? Waambie hao poliCCM na hao waliwatuma wakae watulie? Lissu ndiye alikuwa target kubwa ya kuuliwa...sasa wanataka kumhoji dereva kwanza ili iweje? Waache ujinga wao mara moja.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom