Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

nijuavyo mimi dereva wa lissu ndio first suspect. yaani ndio angekuwa mtu wa kwanza kuhojiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ni kwa nini hawakufanya hivyo kabla?yaani mtu amekaa siku tatu ndio wanajifanya kuanza kumtafuta wakati siku ya tukio walikuwa nae?hapo huoni kama kuna magumashi yanafanyika?
 
Risasi 32 zimepigwa mbele ya macho yake, hata ungekuwa wewe ungekuwa ktk hali njema kweli? Tuwe na huruma.
 
Mheshimiwa Mbowe anasema eti dereva ameenda Nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. Kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko Nairobi. Kulikuwa kuna uharaka gani wakati yeye alikuwa mzima kabisa? Je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka Nairobi? Au kwa usalama wake nae kama Lissu? Najaribu kuwaza tu wadau.

​

Sent using Jamii Forums mobile app

Matibabu na check up,
 
Kwa polisi hawa walioelekezwa kupambana na wanasiasa wamhoji kwa kulazimishwa ameseme wanacho taka wao

RISASI ZA NINI TENA JAMANI!
 
Hahahaha wanaenda kumfundisha yakusema....

Baada ya kushindwa mission naona mmeanza kutafuta njia mbadala ya kuhamisha kesi kutoka kwa asiyejulikana kwenda kwa DEREVA wa muhanga.

Any way mtuambie RC Dar saa 11 Asubuhi alikuwa anafanya nini Morogoro??Na alikuwa wapi siku ya tukio??Maana hakwenda kuuza sura.
 
Hakuwekwa sawa wakati wa tukio lilipotokea kwa mida ile,,wameanza kumueka sawa baada yakua anahitajika atoe maelezo[emoji1]

Sent from Calculator Phone vesion007
Kwani walikaa Dodoma muda gani kabla ya kwenda Nairobi?wangekua wapo makini dereva wangemchukua muda ule ule sio baada ya siku tatu ndio wanataka kumuhoji!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wange mhoji siku hiyo hiyo au kesho yake. Walikuwa wamepigwa butwaa baada ya kusikia jamaa hajafa. Walipo shtuka wakajikuta wameisha pigwa bao la kitambwe tambwe

RISASI ZA NINI TENA JAMANI!
 
kuwa suspect sio eti yey ndio amempga bunduki. suspect maana yake ni kuhusika kwa namna moja au nyingine. hata ukituma message tu na kusema tumefika umehusika

Sent using Jamii Forums mobile app

Nyamaza wala hujui unachoongea wewe , niambie maana ya haya maneno mawili "suspect", "witness" unajichanganya tu.
 
nijuavyo mimi dereva wa lissu ndio first suspect. yaani ndio angekuwa mtu wa kwanza kuhojiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba yeye ndo kamshuti Boss wake? Yeye ni shahidi namba moja, sio mshukiwa namba moja. Kwamaana watu waliotaka kumuua Lisu ni watu wasiojulikana lazima kiusalama huyu dereva afichwe kwa muda, kama usalama wa Lisu uko hatarini basi hata usalama wa dereva utakuwa mashakani.
 
Tatizo la mapimbi wa Lumumba ni elimu ndogo. Kama polisi wangekuwa na nia ya kuchunguza lile tukio dakika ile ile baada ya kutokea wangegeuza nyumbani kwa Lissu ni crime scene na kuanza Forensic investigation. Zile nguo za Lissu tusingeziona na dereva zimejaa damu kule hospital, wangezichukua wapelelezi. Ukiona dereva anatafutwa siku ya tatu na ndio shahidi namba moja ujue hakuna upelelezi ni just Cover Up. Huenda polisi walimtafuta kumuua wakamkosa
Hii forum yetu ingekuwa na watu kama kumi hivi wanaofikiri kama wewe kweli tungekuwa ni greater thinkers but waliowengi wamesoma ila hawajaelimika;hapo juu umeongea yote muhimu mno lile eneo lilitakiwa kuwa ni crime scene,sasa tuna polisi ambao hawana hata police tape za kuzuia wasiohusika kuingia kwenye eneo lile,ndio maana nchi yetu ni ya wateule wachache wanaopata sehemu kubwa ya pie ya taifa,huyu dereva kama yupo Nairobi lazima alipita through immigrations and customs kwa hiyo wahusika wanajua ila tuna watu hapa wanaropoka ovyo na kutia hasira,elewa kabla ya mtu kuvuka mpaka regardless of situation lazima uhamiaji na customs wahusike.
 
Kwamba yeye ndo kamshuti Boss wake? Yeye ni shahidi namba moja, sio mshukiwa namba moja. Kwamaana watu waliotaka kumuua Lisu ni watu wasiojulikana lazima kiusalama huyu dereva afichwe kwa muda, kama usalama wa Lisu uko hatarini basi hata usalama wa dereva utakuwa mashakani.
yey sio shahid yey ni suspect, alimpeleka lissu eneo la tukio. witness ni wale walinzi pale getini kwa lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la mapimbi wa Lumumba ni elimu ndogo. Kama polisi wangekuwa na nia ya kuchunguza lile tukio dakika ile ile baada ya kutokea wangegeuza nyumbani kwa Lissu ni crime scene na kuanza Forensic investigation. Zile nguo za Lissu tusingeziona na dereva zimejaa damu kule hospital, wangezichukua wapelelezi. Ukiona dereva anatafutwa siku ya tatu na ndio shahidi namba moja ujue hakuna upelelezi ni just Cover Up. Huenda polisi walimtafuta kumuua wakamkosa
kabisa mkuu
 
mtu anakaa kabisa anatujaza ujinga eti dereva ameenda kuwekwa sawa kisaikolojia. kwanini asiwekwe sawa kisaikolojia mkewe tundu. dereva na mkewe tundu nani ameathirika zaidi? fools carry themselves. watu wa ndio mzee. mambo ya kitoto kabisa mnaleta

Sent using Jamii Forums mobile app
Ona aibu basi ficha upumbavu wako, kwa hiyo una uhakika huyo mke wa lisu hajawekwa sawa kisaikolojia akiwa hapa na huko alipo sasa? Dereva na mkewe lisu nani alikiona kifo?
 
Jiulize kwa nini hizo nguo hazijaenda hospitali?
Toka lini mgonjwa mahututi wa kupelekwa theata akavaa nguo zake.

Naungana na mdau hapo juu aliyehoji polisi walikuwa wapi mpaka siku tatu kupita ndio eti wanamtafuta!! Hakika huo sio upelelezi bali cover up/kuzuga tu
 
Bila shaka wewe ama ni mmoja wa watu wasiojulikana AU halmashauri yako haina mikutano.

Vuta subira wenye uwezo wa kuelewesha vichwa vigumu kuelewa na vyepesi kusahau waje kukusaidia.
mkuu kama siyo aliyevuta bangi za kulewa ni vgum kukuelewa maana unaongea kinyumenyume kisha kimbele mbele,[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom