Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

mkuu kumbe umenielewa. sababu ya mbowe kuwa ameenda kuwekwa sawa kisaikolojia ni nyepesi mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hilo lipo wazi kabisa..walijisahau kwa huyo Dereva(Adam)lkn wangelijua tangia mwanzo nae angeambatana nao ktk hio safari..
Siku zote Mungu hua anabainisha na atazidi kubainisha.
Na hivi jamii yoote inaishutumu serikali ya awamu ya 5 ndio husika mkuu!!!!
Ona sasa opereshen inayofanyika watahakikisha hadi wakamatwe na wataje.
Kwa makusudi ZAIDI wamewaita mpaka FBI (Shirika LA Upelelezi Marekani)..kuwaomba watoe ushirikiano juu ya huu unyama uliofanywa ili tu,,iwabainishe hao wanaowashutumu

Sent from Calculator Phone vesion007
 
alaf kama ni maswala y saikolojia, kwa nini asingefanyiwa hapa hapa tu. kwa nini waondoke na mtuhumiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
muheshimiwa mbowe anasema eti dereva ameenda nairobi kwa ajili ya kuwekwa sawa kisaikolojia. kwa nini asingeojiwa kwanza ndio akaenda huko nairobi. kulikuwa kuna uharaka gani wakat yeye alikuwa mzima kabisa? je hao wanasaikolojia hapa hawapo mpaka nairobi? au kwa usalama wake nae kama lissu? najaribu kuwaza tu wadau.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajaribu kuwaza upumbavu!
 
kuwekwa sawa kisaikolojia mtu anapelekwa nairobi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Of course angekuwa anakupumulia angekuja kwako umuweke sawa, lakini kwa vile resource zipo kaenda kwa the best psychologists

By the way sio jukumu la dereva kuwatafuta Polisi, tukio limetokea alihamisi then Polisi wamemtafuta Jumamosi kwa hiyo ulitaka akae anawasubiri Polisi?
 
sasa ugonjwa wake dereva unapona lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom