Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 480
- 571
Demokrasia inakubalika kwa miktadha ifuatayo:
chaguzi huru, uhuru wa maisha ya mtu binafsi baasi hiyo imetosha.
mkishamaliza kuchaguana na haki ikatolewa.
washindwa wawe waungwana na kuacha w
ashindi watawale maana hao ndiyo wameshinda zabuni ya kuongoza nchi.
kuendelea na siasa za majukwaani ni kuwaletea vurugu.
na hiyo siyo demokrasia, bali ni fujo.
Kuhusu utashi wa watu kuhusu namna ipi nchi iendeshwe wapo wawakilishi wao kwny vikao vya maamuzi.
representative democracy hapo imetumika.