Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,118
- 173,953
Tukopi katiba ya china basi kama ndio ilieta mafanikio! Kuzi akizingua ni kitanzi tuBila shaka majibu yatapatikana hapa,
Unadhani ni kwa nini Wengi huamini maendeleo makubwa hutokana na Ustawi mkubwa Democrasia
Kama ni ukweli, Ni kwa nini sasa Democrasia ilishindwa kuleta maendeleo China?
Mwingine atauliza, ni lini China imewahi kuwa na Demokrasia na hata ikaamua kuivunja, nami nitauliza, ni kwanini tunaojaribu kutembea kwenye Demokrasia ndio tunaendelea kuwa masikini wa kutupwa?
Natamani sana nchi zetu za Afrika na hasa Tanzania, tufunge ndoa na china katika kuendesha nchi yetu.
Ninauhakika, itakuwa ni miaka michache sana kufikia uchumi mkubwa na tutaondokana na umasikini.
Demokrasia ndiyo inayowafanya watu washinde kutwa nzima wamejifungia kwenye kumbi mbalimbali kuwasikiliza wanasiasa kwa mambo ya kipuuzi huku hawaingizi chochote na hawafanyi kazi.
Demkrasia, ndiyo hiyo inayowafanya watu waache shughuli zao wakandamane kwa faida ya wanasiasa siyo?
Ole, siku moja niwe Rais wa nchi hii, mabeberu wataninyonga mapema asubuhi nakwambia.
Ni mara tano ya JPM kwa mwendo wake
Mungu bariki Viongozi wote Jasiri