Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,024
- 59,686
Unataka ugawe papuchi hio nini? Khaaa !!! Afu baada ya mwaka mtu anavuta mke ndani mke msomi... Mawivu kibao .. Dahi ...Dah Mungu anawaona lakini.. Haya yote kayataka juma maharagwe na roho mbaya zake.Acha tu wengine tuko field hapa hela haijaingia na sijui kama tutapewa....
Na huko field hata chai bure hatupewi[emoji23]....
Na waume za watu wanatufukuzia
[emoji384] [emoji384] [emoji384] sijui nijilipue tu[emoji16]
Afu nilisahau kukuambia usisaha bado ngwengwe ipo