Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,955
Situmii wa social networks[emoji276]Mimi nimeshakufuata pm!
Njoo huku!!
Situmii wa social networks[emoji276]Mimi nimeshakufuata pm!
Njoo huku!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mradi maisha yaende sioKujilipua unakokujua wewe
Wivu = mapenzi. Yaani nikiwa na mtu asiye n wivu najua hanipendi. Kuwa na mtu mwenyewivu kunaraha yake bhana. Mtu unaji feal uko securedYani wanang'ang'ania sana,mawivu wivu...sa nani anataka hivo.
Ndo hivyo[emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] mradi maisha yaende sio
TunatofautianaWivu = mapenzi. Yaani nikiwa na mtu asiye n wivu najua hanipendi. Kuwa na mtu mwenyewivu kunaraha yake bhana. Mtu unaji feal uko secured
Uje ulipukie geto kwangu kabisa kama vp [emoji2]Ndo hivyo[emoji1]
Msome sasa!Vumilia tu tunamaliza.
[emoji28] nataka nilipukie kune li 'mansion' la maana sio ghetto.Uje ulipukie geto kwangu kabisa kama vp [emoji2]
Tunasoma tena sisi ndo wale wa first class G.P.AMsome sasa!
[emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125][emoji28] nataka nilipukie kune li 'mansion' la maana sio ghetto.
Hanioni labda nitembee kwa mguu mpaka Chato ndo atanielewa.
HahaJilipue careful...maana unawezagraduate with A of Hiv+
Duhhh... jilipue kwangu.....hahahaha...Acha tu rafiki yangu sikubali kuacha chuo kisa tu boom halijatoka,ni mwendo wa kujilipua tu ili mradi nimalize.
Kila la kheri!Tunasoma tena sisi ndo wale wa first class G.P.A
Bod ya mikopo wanatakiwa watoe majina mapema kwa wanafunzi wanaoendelea kwenye vigezo na waliopata mkopo kwan wapi vyuoni tayar.nn kukalishana mpana first year wote wapangiwe
Ntakulipa na mshahara na marupurupuChai tu??? Huna kingine?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hanioni labda nitembee kwa mguu mpaka Chato ndo atanielewa.
Eeh ole wako ujileteHao vijana hawana tofauti na sisi...na wao wanaisoma kimya kimya
Utanifanyaje[emoji276]Eeh ole wako ujilete