Kwanini CHADEMA wanataka Tanzania inyimwe misaada?

CHADEMA ndio bunge la Ulaya au Senate ya US wewe zezeta?

Miswada ya kuwatandika bakora iko huko na sio CHADEMA waliyoipeleka.

Majuzi hapa hata dada yake kada wa CCM , Humphrey Polepole mliyemuua alikuwepo huko kuelezea madhila ya kaka yake.

Waliouwawa October 29 hawakua CHADEMA na wala CHADEMA haikuua hata sisimizi tarehe hiyo.

Sasa pambaneni wenyewe msimtafute wa kuanguka nae.
 
Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?

Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.

Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?

Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
kwani wanaotoa misaada wanasemaje?
 
Shibe ndo inafanya muue wananchi Oct 29.
Acha watunyime tuu maana haisaidii kwenye uhai wa watanganyika.
 
Mwingine akiwa chawa wa mbuzi mwingine anakuwa chawa wa mbwa. Mwingine akiwa chawa wa CCM mwingine ni chawa wa Chadema; chawa wa Samia na chawa wa Lisu wana tofauti?
Chadema hakuna chawa kwa sababu Chadema hailipi watu hela bali wanachadema ndiyo wanaichangia Chadema yao. CCM kuna hela ya bure bure ndiyo maana kuna chawa.
 
Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?

Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.

Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?

Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
Heche piga Hawa nguruwe wa kizimkazi bado wanatoa vichwa mapangoni.
 
Gentleman,
Tanazania tumejipanga vizuri sana,
na hao vibaraka wanaoshinikiza hali hiyo kwa mabwenyenye, wapiga kura wa Tanzania wanawaona na kwakweli watashughulika nao vizuri sana oct.2030 kwenye sanduku la kura.

ukibaraka wao sasa utakua rasmi umewakosesha sababu au kisingizio chao cha kilasiku cha kuibiwa kura, kumbe walikua na nia ovu ambayo wanaidhihirisha waziwazi hivi sasa kwa waTanzania.

Wapiga kura waTanzania,
watawakataa wazi wazi kabisa uso kwa macho, hasa waomba uongozi wa kisiasa kutoka chama hicho kinachowafadhili na kuwahifadhi hao vibaraka :1Head:
Heche piga vichwa hawa nguruwe bado wanapumua
 
Ukiona chama hakijashika dola ila kinaouwezo wa kusababisha kweli ukose misaada ujue hicho chama ni Cha ukweli na haki, kimeonyesha ubaya uliothibitishwa pasi na shaka...na km utateteleka nawe unapaswa kukifuata kukiuliza ili kikusaidie namna ya kuishi bila misaada maana kwa hakika kitakuwa kinayo njia mbadala ya kusonga mbele...wewe nenda kaombe ushauri wakupe usione aibu utaishia kukandamiza wananchi wako kwa kuwarundikia Kodi wakati kuna njia nyingi nzuri za kupata pesa. Pia mnasaidia kuthibitisha ukubwa wa hicho chama...kwamba hawaongozi dola ila wakiamua jambo lao linafanikiwa..mnapaswa kuwaheshimu na kuwatumia kwa ustawi wa nchi yenu ..ila ndio hivyo mnafanya kinyume na akili hamnazo🙁
 
Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?

Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.

Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?

Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
Kwa sababu ccm ilipora uchaguzi na kumtangaza mgombea fake kupata kura fake
Kwasababu Samia aliamuru wanajeshi wetu wavalishwe nguo za polisi na kuingiza mitaani hata majumbani kuua watu wengine kwenye vibanda umiza
Tume ya chande ripoti yake Ili haririwa sana hata kuja na idadi ya watu 318 tu.
Huku bibi kikongwe muaji Samia akiitangazia dunia kwamba wale walikuwa vijana Toka nje hakuna popote ripoti ya chande inaposema hivyo. Hata mzanzinar hakuwepo
Hili ukamwambie mwaipopo alijuwe
 
Kama
Kulikuwa na watu wengi sana ambao walikuwa hawalipi kodi na kulikuwa na misamaha mingi sana ya kodi hasa kwenye taasisi za dini. Sasa wote tutalipa kodi na misamaha yako iwe basi ili tujitegemee. Hata hivyo, misaada sio lazima itoke Ulaya na Marekani. Tutakwenda Asia (china, urusi, oman, iran, Korea, Japan, Singapore, nk) kutafuta misaada pale itakapohitajika
Kama mlivyoanza na Iraq😁😁😁
 
Ukiona chama hakijashika dola ila kinaouwezo wa kusababisha kweli ukose misaada ujue hicho chama ni Cha ukweli na haki, kimeonyesha ubaya uliothibitishwa pasi na shaka...na km utateteleka nawe unapaswa kukifuata kukiuliza ili kikusaidie namna ya kuishi bila misaada maana kwa hakika kitakuwa kinayo njia mbadala ya kusonga mbele...wewe nenda kaombe ushauri wakupe usione aibu utaishia kukandamiza wananchi wako kwa kuwarundikia Kodi wakati kuna njia nyingi nzuri za kupata pesa. Pia mnasaidia kuthibitisha ukubwa wa hicho chama...kwamba hawaongozi dola ila wakiamua jambo lao linafanikiwa..mnapaswa kuwaheshimu na kuwatumia kwa ustawi wa nchi yenu ..ila ndio hivyo mnafanya kinyume na akili hamnazo🙁
Hawana hata soni wameenda kukopa mpaka IRAQ
 
Chadema ni wasaliti na ni vibaraka wa kuharibu hii nchi. Nashauri Chama kifutwe na viongozi wao wote wenye viashiria vya usaliti wafungwa kwa uhaini.
 
Gentleman,
Tanazania tumejipanga vizuri sana,
na hao vibaraka wanaoshinikiza hali hiyo kwa mabwenyenye, wapiga kura wa Tanzania wanawaona na kwakweli watashughulika nao vizuri sana oct.2030 kwenye sanduku la kura.

ukibaraka wao sasa utakua rasmi umewakosesha sababu au kisingizio chao cha kilasiku cha kuibiwa kura, kumbe walikua na nia ovu ambayo wanaidhihirisha waziwazi hivi sasa kwa waTanzania.

Wapiga kura waTanzania,
watawakataa wazi wazi kabisa uso kwa macho, hasa waomba uongozi wa kisiasa kutoka chama hicho kinachowafadhili na kuwahifadhi hao vibaraka :1Head:
Ni lini kura ziliwahi kuwa na nguvu nchi hii?
 
Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?

Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.

Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?

Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
Kunyimwa misaada hakuwaumizi wananchi kwa sababu haiwasaidii. Ingekuwa inawasaidia wasingekuwa wanapiga kelele za kukosa maji safi ya kunywa au dawa hospitalini. Inawaumiza viongozi kwasababu hela za kuiba zinapungua.
 
Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?

Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.

Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?

Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
Mwigulu 'kutegemea misaada kumepitwa na wakati '.....
Kabla hsmjaleta mada fuatilieni kwanza kauli za viongozi wenu.
 
Back
Top Bottom