Kwanini CHADEMA wanataka Tanzania inyimwe misaada?

Si yo chadema tu, haha Mimi nataka hivyo. Hatuwezi kuongozwa na watu wanaotegemea misaada kwa ajili ya maendeleo. CCM na serikali yake hawafikirii nje ya box. Wakishughulikiwa na westeners wanakimbilia kwa Putin, ovyo sana. Hawana capacity ya innovation ya kutatua matatizo zaidi ya kuuwa na kuteka na kubaka
Kulikuwa na watu wengi sana ambao walikuwa hawalipi kodi na kulikuwa na misamaha mingi sana ya kodi hasa kwenye taasisi za dini. Sasa wote tutalipa kodi na misamaha yako iwe basi ili tujitegemee. Hata hivyo, misaada sio lazima itoke Ulaya na Marekani. Tutakwenda Asia (china, urusi, oman, iran, Korea, Japan, Singapore, nk) kutafuta misaada pale itakapohitajika
 
Yaani kubwa zima ndevu hadi mkunduni linaleta utopolo kama huu.
Huwezi kumuachia mhalifu eti kwasababu utanyimwa msaada mbuzi kutoka Jumuiya ya Ulaya. Kwataarifa yako nchi za ulaya ndio wawekezaji wakubwa hapa tz; zina maslahi makubwa hapa nchini, hiyo ya kunyima msaada ni danganyatoto (tema tumpige)
 
Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?

Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.

Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?

Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
Swali unalopaswa kuuliza ni hili:

Kuna ubaya gani kwa Serikali kufuata the rule of law na kuendesha free and fair elections ili kila raia atumie haki yake ya kikatiba ya kuchagua (au kuomba kuchaguliwa kuwa) kiongozi?
 
Huwezi kumuachia mhalifu eti kwasababu utanyimwa msaada mbuzi kutoka Jumuiya ya Ulaya. Kwataarifa yako nchi za ulaya ndio wawekezaji wakubwa hapa tz; zina maslahi makubwa hapa nchini, hiyo ya kunyima msaada ni danganyatoto (tema tumpige)
Wahalifu ni wale wezi wa kura na ndiyo chanzo cha matatizo yote, laiti kungekuwa na uchaguzi huru na wa haki hata sisimizi asingekufa ile tarehe 29.10.2025 kama unashindwa kuona chanzo cha fujo zile basi utakuwa na matatizo katika ubongo wako.
 
Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?

Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.

Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?

Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
Serikali ya Samia yatenga Tzs trillion 1 kwa ajili ya safari
 
Sentensi ya kwanza ni kama vile misaada haina maana. Sentensi ya pili inalalamika kunyimwa misaada. Tukuelewe kwa lipi?
Msaada ni kama baiskeli kwenye mteremko, huhitaji kupiga pedali (pedaling). Nani hapendi hiyo?

Lakini hakuna serikali makini itaondoka madarakani eti kwasaabu imenyimwa msaada na wakoloni wao.
 
Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?

Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.

Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?

Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
Kwanini raia Wengi walipotea ? Uhai na msaada kipi kianze
 
Umeelewa swali? Kwanini tuishi kwa hisani badala ya sisi kujituma na kujitegemea

Unajua nyinyi chawa mpo tayari mfanywe chochote ilimradi mpate chakula 🤔
Mifumo ya dunia hairuhusi nchi ya Afrika kuishi bila kupatiwa misaada. Rwanda inaisumbua sana DR Congo kwasababu Rwanda inapewa misaada mingi ya silaha bora na mafunzo. Israel lazima ipwe misaada ili iweze kukaa pale Middle East. Inaonekana wewe huna uelewa mpana wa mada hii.
 
Kusema kweli kuna mstari mwembamba saaana kati ya uchawa na ushoga.
Mwingine akiwa chawa wa mbuzi mwingine anakuwa chawa wa mbwa. Mwingine akiwa chawa wa CCM mwingine ni chawa wa Chadema; chawa wa Samia na chawa wa Lisu wana tofauti?
 
Kwanini raia Wengi walipotea ? Uhai na msaada kipi kianze
Asilimia kubwa ya waliopotea walipotezwa na chadema ili kuisingizia serikali. Walifanya hivyo kama mbinu (justification) ya kupata msaada kutoka kwa mabeberu. Wakishamteka wanakimbilia BBC, DW au CNN haraharaka na majawabu ya nani kamteka hata kabla ya vyombo vya upelelezi havijanza kazi ya kupeleleza. Mbinu hiyo tunaifahamu A-Z.

Hata kwenye vurugu za Oct29 zao lao kuu lilikuwa idadi ya waliokufa ili waipeleke kwa wahisani wao. Walipora silaha za polisi na kuvaa sare za polisi na kuanza kuua watu wengi kadili walivyoweza wakiwa ndani ya sare za polisi ili ionekane polisi imeua watu. Mbinu hii tunaijua.

Actually walikuwa wanalenga kupata msaada kutoka ICC na Jumuiya ya Ulaya. Ndiyo maana walikuwa wanataja namba kubwa sana ya waliokufa kuliko uhalisia ili ICC watoe machozi na kuchua hatua. Wamekwama vyote hivyo.
 
mauji yapi? wananchi wameridhia mauaji yale. Waliouliwa hawakufuatwa majumbani mwao wakauliwa bali walikuwa wanavunja, kuiba na kuchoma moto TRA, Bank, sheli, vituo vya polisi, ofisi za serikali, miundombinu, nk.

Hakuna mwananchi analalamika kwanini waliuliwa kwakuwa sababu ya kuuliwa wanaifahamu.

Sasa ukishindwa kuipindua nchi ndio unakasirika? Yaani ukishindwa kuniroga mimi mchawi?
Kwa hiyo tume ya Chande ilidanganya kuhusu watu waliouliwa wakiwa majumbani mwao? Hii ni mpya na itabidi uielezee ile tume jinai kuwa Chande aliongopa!
 
Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?

Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.

Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?

Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
Wewe huoni shida wanavyo zichakata?
 
mauji yapi? wananchi wameridhia mauaji yale. Waliouliwa hawakufuatwa majumbani mwao wakauliwa bali walikuwa wanavunja, kuiba na kuchoma moto TRA, Bank, sheli, vituo vya polisi, ofisi za serikali, miundombinu, nk.

Hakuna mwananchi analalamika kwanini waliuliwa kwakuwa sababu ya kuuliwa wanaifahamu.

Sasa ukishindwa kuipindua nchi ndio unakasirika? Yaani ukishindwa kuniroga mimi mchawi?
Kuna kipindi nilidhani upo timamu kimwili na kiakili.Narudia upya kusoma mafaili yako.Itoshe kwa sasa.
 
Back
Top Bottom