Falsafa ya CHADEMA ni ile ile, "Adui muombee njaa"... Siku zote fedha ndio chanzo cha jeuri ya watu wengi. Njaa na utu huwa havitengamani siku zote mtu mwenye njaa lazima afikirie kwa utulivu matendo anayoyafanya. Mboga mboga wanaogelea kwenye ukwasi wa kodi na mikopo mikubwa ya miradi. Wanaishi kama wako Paradiso ingali wapo duniani.
Sawa tu
Nanyinyi kwenu tumemwaga mboga❗️
hakuna tena tone tone tukose wote🤠🤠🤠 Dawa ya Moto moto👈