Kwanini CHADEMA wanataka Tanzania inyimwe misaada?

Huna data hata kidogo. Misaada ndiyo ilifanikisha kupatikana dawa za ukimwi, chanjo, reli, baadhi ya vifaa tiba, majengo ya shule, zahanati, mafunzo ya wataalam mbalimbali na hata vifaa yva ulinzi. Wewe unaposhadidia nchi kunyimwa misaada maana yake hupaswi kuwa miongoni mwetu hata kidogo. Misaada hii mingi inatokana na rasilimali zetu walizotuibia na wanazotuibia na wanazotudhulumu hata sasa, kupiga debe isiletwe ni kutokosea watanzania wote.
Haujui kusoma kwa ufahamu? Au haujaelewa swali?
 
Kulikuwa na watu wengi sana ambao walikuwa hawalipi kodi na kulikuwa na misamaha mingi sana ya kodi hasa kwenye taasisi za dini. Sasa wote tutalipa kodi na misamaha yako iwe basi ili tujitegemee. Hata hivyo, misaada sio lazima itoke Ulaya na Marekani. Tutakwenda Asia (china, urusi, oman, iran, Korea, Japan, Singapore, nk) kutafuta misaada pale itakapohitajika
Sasa kama ni hivi, Kwa nini mnalalamika na kuumia kiasi hiki. Tulieni kimya ili wananchi wake waiadhibu Chadema kama mnavyodhani, lakini pia wapeni wananchi katiba mpya ili tuone hiyo adhabu kwa chadema.

Watanzania wa sasa siyo wajinga wa propaganda za zamani.
 
Chadema wananchi kakudanganya nani

Uwezi kumtumikia BEBERU na bado ukaungwa mkono na Wananchi

Hangekuwa na mtagi wa Wananchi kwanini kakimbia Sanduku la kura🫎🫎‼️
Acheni kujidanganya sanduku lipi la kura unaloliongelea. uchaguzi uliokataliwa na dunia nzima? we hata kama ni chawa tumia data sahihi, rejea ripoti za UN, AU, EU SADC, Jumuiya ya madola, taasisi na mashirika mengine kama ya Thabo Mbeki yote hayo yaliukataa uchaguzi huo.
 
Mnataka misaada tena kwa hao wazungu wakati mnahadaa umma kila siku kuwa tuna raslimali kibao hado hao wazungu wanatuonea wivu? Au mnajicontradict na kila mnachosema kila siku majukwaani? Mnpora uchaguzi hadi kufanya mauaji, kumbe uwezo wa kuongoza hamna ila mnategemea misaada ya wanaotuonea wivu kwa raslimali tulizo nazo.
wacha waendelee kupora uchaguzi kwasasa, wapinzani nao bado hawana sera na mbinu mbadala za kutukwamua hapa tulipo. Unategemea nini kama wanaofadhili upinzani kushika dola ni walewale wakoloni tuliowafukuza. Wakoloni hawa walituweka daraja la tatu kwa ubora wakati wanatutawala na wanafanya hivyo hata sasa, hivyo ukiona sasa hivi wanakupenda ujue wanakutumia tu kama zuzu kwa maslahi yao.
 
Sasa kama ni hivi, Kwa nini mnalalamika na kuumia kiasi hiki. Tulieni kimya ili wananchi wake waiadhibu Chadema kama mnavyodhani, lakini pia wapeni wananchi katiba mpya ili tuone hiyo adhabu kwa chadema.

Watanzania wa sasa siyo wajinga wa propaganda za zamani.
vijana hawa wanarubuniwa kwa ahadi na matamanio ya maisha bora sana kama vile walivyorubuniwa wale wa Libya, sudani kusini, Somalia, DR Congo, Iraq na kwingineko ambako vijana walirubuniwa. Maisha yao yaliishia kubaya na wanakumbuka nyuma ambako hawawezi kurudi tena. Acheni dhambi hii
 
Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?

Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.

Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?

Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
Kwasababu hiyo misaada I itumika kuteka nakuja wananchi
 
vijana hawa wanarubuniwa kwa ahadi na matamanio ya maisha bora sana kama vile walivyorubuniwa wale wa Libya, sudani kusini, Somalia, DR Congo, Iraq na kwingineko ambako vijana walirubuniwa. Maisha yao yaliishia kubaya na wanakumbuka nyuma ambako hawawezi kurudi tena. Acheni dhambi hii
Acheni hizi hoja zilizopitwa na wakati mnazozifanya kama shamba la karanga kujificha. Hata huko kote unakosema machafuko bado haioondoei ukweli kuwa viongozi wao waliyasababisha wenyewe kwa kukumbatia udikteta.

Wananchi wameelimika hawako ktk zama za kulishwa propaganda, wanaweza kuchambua mambo kwa kuyaona ktk muktadha tofauti.

Kuna shida gani kuruhusu katiba mpya, kuacha kuteka watu, kuruhusu chaguzi huru. Mmebaki na wimbo zilipendwa tu na majibu ya uelewa mmeyaona kupitia mwitikio wa mikutano ya Chadema na leo mmeipiga marufuku mkasau na kelele za kutaka midaharo
 
Wanafiki kweli nyie..

Kumbe sio mabeberu tena ila ni wahisani wa kuwapa misaada?

Absolutely, Yes...

Mpaka hapa uko sahihi kabisa...

Kwamba inayokatwa miguu na mikono kwa kukatiwa misaada ni serikali na sio wananchi...

Kumbuka kuwa serikali ni kikundi kidogo tu cha watu chenye mamlaka ya kufanya maamuzi ya uendeshaji wa mambo ya nchi/taifa kwa niaba ya wananchi wote...

Kuna serikali halali zilizotwaa madaraka kwa ridhaa ya wananchi kupitia chaguzi huru, wazi na za haki...

Lakini pia zipo serikali dhalimu na za kidikteta zilizojiweka madarakani kwa nguvu ya mtutu wa bunduki, Mapinduzi ya kijeshi or through manipulated elections...

Serikali dhalimu zilizojiweka madarakani ndizo ambazo hupigwa vita ndani na nje ya nchi. Hizi ndizo huwekewa vikwazo vya kiuchumi kama njia ya kuzikata miguu na mikono Ili zikose uwezo wa kuendelea kuvunja haki za binadamu, kuteka, kutesa na kuua watu, kuiba na kufisadi rasrimali za umma ikiwemo misaada ya kifedha toka washirika wa maendeleo na udhalimu mwingine...

Itasaidia nini kuipacmisaada ya kifedha serikali dhalimu na ovu yenye viongozi wezi na mafisadi ambapo fedha badala ziende kwenye kuhudumia watu wapate barabara, maji, umeme, madawa nk wao wanaiba na kuzitumia kujilinda kwa kufadhili vikundi vya viongozi hawa vya utekaji, utesaji na mauaji ya raia wanaowakosoa..??

Ni kweli kwa kuwekewa vikwazo hivi, madhara yake yatatukuta sote kwa sababu:
👉 Serikali iliyoko madarakani itakosa uwezo wa kutoa huduma za kijamii kwa wananchi wake kama vile maji, madawa hospitalini, ujenzi wa barabara, miradi kama SGR kukwama kuendelea nk

Hii ikitokea, wananchi wataanza kuilalamikia na kuishutumu CCM na serikali na serikali yao na sio CHADEMA kwa sababu CHADEMA hawaongozi serikali...

Kwa hiyo ni ujinga uliopindukia kwako wewe kavulata kudhani kuwa wananchi ni wajinga kama ulivyo wewe na wenzako huko CCM kwamba mambo yanapokwenda mrama ktk nchi hawajui wamlaumu nani...!!

Hali hii mbaya ikizidi, ndipo hapo wananchi hukasirika na kufanya direct confrontation njia mbalimbali ikiwemo maandamano, migomo na sehemu zingine physical confrontation (mapigano) lengo likiwa ni kuifurusha serikali iliyoko madarakani kwa kushindwa kutekeleza wajibu wake kuhudumia wananchi wake...

Serikali yenye viongozi wenye akili huwa haisubiri hali hii itokee. Bali husikiliza wananchi wanasema nini, wanatoka nini kifanyike na Kisha kuchukua hatua before it's too late...

Lakini hii ya Samia Suluhu Hassan, akili ni kisoda. Ni serikali iliyo chini ya washenzi, wasioelewa kitu na wako tayari kufa kama inzi kufia kwenye kidonda...!
Umeongea bila uelewa huku ukijua kuwa ama hujui au unadanganya.

Paul Biya, Kagame na Museveni wako madarakani kwa miaka mingapi sasa? Ni yupi kati ya hao amenyimwa msaada na wakoloni kwa ukosefu wa demokrasia?. Acheni uhuni mnatumiwa tu.

View: https://youtu.be/rrBGvsYqzUw?si=84mHVxrEOAHMRy7N

View: https://youtu.be/TMRpzheraaA?si=_GTE-ngMfbImG_RY
 
Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?

Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.

Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?

Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
Hivi ni chadema au ni WAHUNI wachache waliopo SIRIKALINI?

Who are You(Wazungu) si wamesema ili tupate misaada inabidi kuna baadhi ya vitu kama nchi tufanye ,kwahiyo hivyo vitu ndiyo chadema wanazuia?
 
Wanafiki kweli nyie..

Kumbe sio mabeberu tena ila ni wahisani wa kuwapa misaada?

Absolutely, Yes...

Mpaka hapa uko sahihi kabisa...

Kwamba inayokatwa miguu na mikono kwa kukatiwa misaada ni serikali na sio wananchi...

Kumbuka kuwa serikali ni kikundi kidogo tu cha watu chenye mamlaka ya kufanya maamuzi ya uendeshaji wa mambo ya nchi/taifa kwa niaba ya wananchi wote...

Kuna serikali halali zilizotwaa madaraka kwa ridhaa ya wananchi kupitia chaguzi huru, wazi na za haki...

Lakini pia zipo serikali dhalimu na za kidikteta zilizojiweka madarakani kwa nguvu ya mtutu wa bunduki, Mapinduzi ya kijeshi or through manipulated elections...

Serikali dhalimu zilizojiweka madarakani ndizo ambazo hupigwa vita ndani na nje ya nchi. Hizi ndizo huwekewa vikwazo vya kiuchumi kama njia ya kuzikata miguu na mikono Ili zikose uwezo wa kuendelea kuvunja haki za binadamu, kuteka, kutesa na kuua watu, kuiba na kufisadi rasrimali za umma ikiwemo misaada ya kifedha toka washirika wa maendeleo na udhalimu mwingine...

Itasaidia nini kuipacmisaada ya kifedha serikali dhalimu na ovu yenye viongozi wezi na mafisadi ambapo fedha badala ziende kwenye kuhudumia watu wapate barabara, maji, umeme, madawa nk wao wanaiba na kuzitumia kujilinda kwa kufadhili vikundi vya viongozi hawa vya utekaji, utesaji na mauaji ya raia wanaowakosoa..??

Ni kweli kwa kuwekewa vikwazo hivi, madhara yake yatatukuta sote kwa sababu:
👉 Serikali iliyoko madarakani itakosa uwezo wa kutoa huduma za kijamii kwa wananchi wake kama vile maji, madawa hospitalini, ujenzi wa barabara, miradi kama SGR kukwama kuendelea nk

Hii ikitokea, wananchi wataanza kuilalamikia na kuishutumu CCM na serikali na serikali yao na sio CHADEMA kwa sababu CHADEMA hawaongozi serikali...

Kwa hiyo ni ujinga uliopindukia kwako wewe kavulata kudhani kuwa wananchi ni wajinga kama ulivyo wewe na wenzako huko CCM kwamba mambo yanapokwenda mrama ktk nchi hawajui wamlaumu nani...!!

Hali hii mbaya ikizidi, ndipo hapo wananchi hukasirika na kufanya direct confrontation njia mbalimbali ikiwemo maandamano, migomo na sehemu zingine physical confrontation (mapigano) lengo likiwa ni kuifurusha serikali iliyoko madarakani kwa kushindwa kutekeleza wajibu wake kuhudumia wananchi wake...

Serikali yenye viongozi wenye akili huwa haisubiri hali hii itokee. Bali husikiliza wananchi wanasema nini, wanatoka nini kifanyike na Kisha kuchukua hatua before it's too late...

Lakini hii ya Samia Suluhu Hassan, akili ni kisoda. Ni serikali iliyo chini ya washenzi, wasioelewa kitu na wako tayari kufa kama inzi kufia kwenye kidonda...!
Miscalculation!!! wananchi hawatailaumu CCM bali chadema. Kule Iran wananchi wanailaumu serikali au vikwazo vya Marekani?, Kule Zimbabwe wananchi wanailaumu ZANU-PF au vikwazo vya wazungu?. Wakati wa Nyerere vikwazo vilikuwa vingiiiiingi kiasi kwamba hata sabuni ya kufulia tulikosa, je watu walimlaumu nyerere na CCM yake?. Hatukuwa tunawabeza wazungu kwa kuwaita makupe, mabeberu, na mabwanyenye?

Tangu lini mzungu akamuonea huruma mwafrika? mnatumiwa tu, tunalijua hilo bila kupoepesa macho. Hii ndio maana huoni wananchi wanaoinamisha kichwa vyao chini eti kwakuwa Lissu amekamatwa au watu waliochoma moto barabara zao waliuliwa. Wako barabarani wanafanyakazi zao na mambo yao, kunywa bia na kuangalia mechi za kombe la dunia as if nothing happened.

Kaka watu waliokarikia jambo kwelikweli huhitaji kuzunguuka nchi nzima kuwahamasisha wagome au waandamane, inatokea tu spontaneously kuandamana mwenyewe kama vile mtu aliyefiwa na mpendwa wake anayotoa machozi bila kuhamasishwa na mtu.

Ngoma ikilia sana iko karibu na kupasuka.
 
Hivi ni chadema au ni WAHUNI wachache waliopo SIRIKALINI?

Who are You(Wazungu) si wamesema ili tupate misaada inabidi kuna baadhi ya vitu kama nchi tufanye ,kwahiyo hivyo vitu ndiyo chadema wanazuia?
Hata kama wakizuia misaada yao namna gani hatuwezi kumpa nchi yetu Heche. Nyerere wakati ulee wa akina Lyatonga alisemaga pale viwanja vya Jangwani Dar "I can't let my country go to the dogs" hivyo, akakunja juu mikono ya shati lake akaingia mitaani kumpigia debe Mkapa awe Rais badala ya NCCR-Mageuzi kushinda uchaguzi. Unadhani Nyerere hakuwa na akili?. Lissu, Kitima na... are the dogs kwa sasa.
 
Acheni kujidanganya sanduku lipi la kura unaloliongelea. uchaguzi uliokataliwa na dunia nzima? we hata kama ni chawa tumia data sahihi, rejea ripoti za UN, AU, EU SADC, Jumuiya ya madola, taasisi na mashirika mengine kama ya Thabo Mbeki yote hayo yaliukataa uchaguzi huo.
Uchaguzi uko Tz huko UN, AU, EU, SADC ndio wapi tena? Kama hao wangekuwa na msaada bila shaka wangeshamwambia Paul Biya, Kagame na Museveni ondokeni sasa imetosha. Wangeshatuliza vita huko Sudani, Somalia, DRC, Ukrane, Iran. Wangeshamlaumu na kumlaani na kumwamuru Trump amrejeshe Maduro Venezuellla.

Kakaaa, fisi hawezi kumsifia kondoo kutokana na namna maslahi yao na riziki zao zinavyopatikana. Siku ukiwasikia wanasifiana shituka. Tangu lini EU ikatupenda sisi waliotuweka daraja la tatu?

Hata kama hatuna akili wote ndio tumpe nchi Heche, are we serious? Kwa sera zipi? Mkakati upi?. Wako kwenye payroll za Ubelgiji na Canada.
 
Hata kama wakizuia misaada yao namna gani hatuwezi kumpa nchi yetu Heche. Nyerere wakati ulee wa akina Lyatonga alisemaga pale viwanja vya Jangwani Dar "I can't let my country go to the dogs" hivyo, akakunja juu mikono ya shati lake akaingia mitaani kumpigia debe Mkapa awe Rais badala ya NCCR-Mageuzi kushinda uchaguzi. Unadhani Nyerere hakuwa na akili?. Lissu, Kitima na... are the dogs kwa sasa.
Kwahiyo ni heri nchi iwe chini ya WAHUNI wachache ambao hawana uwezo wa kuongoza nchi?
 
Tanzania kama nchi nyingine za Afrika zinahitaji misaada ili kutoa huduma kwa wananchi. Unapozouia misaada maana yake unadhamiria kuwanyima watoto huduma za chanjo, matibabu na elimu. Unawanyima wananchi huduma za barabara, madaraja na pembejeo. Hasara kubwa sana kwa wananchi kuliko kwa viongozi. Je, Lisu ana thamani hiyo?

Nijuavyo mimi kuinyima serikali misaada kutoka kwa wahisani kunasababisha yafuaatayo:
1. Watanzania kuichukia chadema kwa shida zitakazojitokeza. Watanzania wana akili.
2. Huduma kwa wananchi zitapungua idadi, ukubwa na ubora.
3. Watanufaika zaidi majeshi kuliko watu wengine (kipaumbele kitakuwa hawa kwanza)
4. Kodi zinaongezeka ili kuziba pengo la ukosefu wa misaada
5. Miradi ya kimkakati ichachelewa kumalizika.

Jiulize, kwanini Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini bado serikali ipo? Je, Shivangilai na chama chake wapo vilevile?, Iran je? Urusi je?

Kifupi kupiga debe nchi inyimwe misaada haimsaidii mpiga debe na wala hawaumizi watawala, bali wananchi wenye vyama na wasiokuwa na vyama.
Falsafa ya CHADEMA ni ile ile, "Adui muombee njaa"... Siku zote fedha ndio chanzo cha jeuri ya watu wengi. Njaa na utu huwa havitengamani siku zote mtu mwenye njaa lazima afikirie kwa utulivu matendo anayoyafanya. Mboga mboga wanaogelea kwenye ukwasi wa kodi na mikopo mikubwa ya miradi. Wanaishi kama wako Paradiso ingali wapo duniani.
 
Huna data hata kidogo. Misaada ndiyo ilifanikisha kupatikana dawa za ukimwi, chanjo, reli, baadhi ya vifaa tiba, majengo ya shule, zahanati, mafunzo ya wataalam mbalimbali na hata vifaa yva ulinzi. Wewe unaposhadidia nchi kunyimwa misaada maana yake hupaswi kuwa miongoni mwetu hata kidogo. Misaada hii mingi inatokana na rasilimali zetu walizotuibia na wanazotuibia na wanazotudhulumu hata sasa, kupiga debe isiletwe ni kutokosea watanzania wote.
Wase@nge watupu,raslimali kibao kisha mnalilia misaada kwa watu mnaosema hawatutakii mema. Hapo ndio huwa naona wazungu wakituota manyani.
wacha waendelee kupora uchaguzi kwasasa, wapinzani nao bado hawana sera na mbinu mbadala za kutukwamua hapa tulipo. Unategemea nini kama wanaofadhili upinzani kushika dola ni walewale wakoloni tuliowafukuza. Wakoloni hawa walituweka daraja la tatu kwa ubora wakati wanatutawala na wanafanya hivyo hata sasa, hivyo ukiona sasa hivi wanakupenda ujue wanakutumia tu kama zuzu kwa maslahi yao.
Huu upuuzi Bado kuna watu mnawaambia na wanawaelewa? Unajiganya hutaki kutawaliwa na mzungu, wakati huo huo unalazimisha kutawala wananchi wasiokutaka. Halafu hutaki kutawaliwa lakini miradi yote ya nguvu unawapa hao hao wageni, si upuuzi ni nini?
 
Inatumika kuua n kuteka watanganyika zaidi kuliko wazenji.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom