Kwanini CHADEMA inachangisha hela ya matibabu ya Lissu?

Kuchangia kwa matibabu ya mtu yeyote ni jambo linalokubalika. Ili kuondoa shaka yoyote ni kwamba yule katibu mkuu wa CDM alitakiwa aseme gharama zinakisiwa ni kiasi kadhaa halafu kati ya hizo Bunge au serikali itatoa kiasi kadhaa na NHIF kiasi kadhaa na kilichobaki kitatoka CDM hivyo wenye mapenzi mema waichangie CDM. WanaCDM wasisahau kuwa kuna tuhuma za ufisadi kuhisiana na michango ya rambirambi kuhusiana na kifo cha mzee Ndesamburo. Kwa nini wanaweka mazingira ya kuongeza tuhuma badala ya kuzipunguza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana jamvii.

Kwanza nampa pole ndugu Tundu Lissu kwa majanga yaliyotokea kwake!.kitendo kilochofanyika kwake sio sawa na haikubaliki kwenye jamii ya kidemocrasia na jamii ya kistaarabu. Pia ni kuharibu image ya taifa.Tunapishana kwa hoja.lazima tujenge jamii inayosema na isiyo na uoga!.lazima viongozi wakubali kukosolewa.lazima kuwepo na uvumilivu wa kisiasa..

Chadema ni chama kikubwa na pia chama kinapata ruzuku toka serikalini zaid ya 500M kwa mwezi> nikikosea naomba kusahihishwa.
Kutokana na tukio la Lissu naona wanatembeza bakuli la kuchangiwa kwa matibabu ya Lissu.
Chadema wakati wa vugu vugu la njaa nchini mlisema kama serikali haitatoa chakula kwa wananchi mlisema mtawapatia chakula cha msaada wahitaji wote nchi nzima, leo wananchi wale wale mnawaomba mchango wa matibabu,hapo bado sijaona logic!.
Kwa nini msingefanya fundrising na kuweka target ya hela mnayotaka kwa ajili ya matibabu ya mh Lissu.kwenye chama kuna watu wakubwa km Lowasa,Sumaye ambao wangealika marafiki wachache mngepata michango mizuri!

Leo bunge limetoa nusu ya bosho kwa kila mbunge jumla imepatikana 45M.
Je hizi mmezihesabu kwenu au kwnye matibabu ya Lissu!... je hela ya matibabu ya matibabu ikizidi na ghalama ikawa ndogo kuliko mlichokusanya,je hela itaingia kwenye mifuko ya chama??,atapewa mhanga(Lissu) au ndo itakuwa imetoka.je mtakuwa tofauti na serikali kwa ilochofanya Bukoba??

Je kweli Chadema ni chama cha matukio??.sasa mnaamua kutembelea tukio la mh Lissu kupata huruma ya jamii???...je policy yenu ni Chadema mtafanyia nini jamii au ni jamii itawafanyia nini Chadema??. Pamoja kuwa hamna dola je mnafanya nini kuinua afya,elimu,maji,chakula kwa kaya,kuitangaza nchi kimataifa! Zaid ya kulalamika???.

Zaid ya yoyote sikubaliani na ombi lenu la kuchangiwa kwa matibabu ya mh Lissu unless mnataka kuanzisha mfuko kwa ajili ya kuhudumia wananchi maskini wasio weza kujihudumia kwa afya!

Tunajenga nchi moja tukubaliane na kupingana kwa hoja!.

Neo
naomba nikukumbushe jamii zetu tunaishi kwa mazoea mf mtu akifa huwa tunatoa mchango mtu akiumwa tumekua wagumu kutoa pesa bila shaka bado fikra zetu ni ndogo nadhan tungebadilika ss tutoe mchango kwenye maradhi mtu akatibiwe kama tutafanya hivo hakika tutafika mbali san

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana jamvii.

Kwanza nampa pole ndugu Tundu Lissu kwa majanga yaliyotokea kwake!.kitendo kilochofanyika kwake sio sawa na haikubaliki kwenye jamii ya kidemocrasia na jamii ya kistaarabu. Pia ni kuharibu image ya taifa.Tunapishana kwa hoja.lazima tujenge jamii inayosema na isiyo na uoga!.lazima viongozi wakubali kukosolewa.lazima kuwepo na uvumilivu wa kisiasa..

Chadema ni chama kikubwa na pia chama kinapata ruzuku toka serikalini zaid ya 500M kwa mwezi> nikikosea naomba kusahihishwa.
Kutokana na tukio la Lissu naona wanatembeza bakuli la kuchangiwa kwa matibabu ya Lissu.
Chadema wakati wa vugu vugu la njaa nchini mlisema kama serikali haitatoa chakula kwa wananchi mlisema mtawapatia chakula cha msaada wahitaji wote nchi nzima, leo wananchi wale wale mnawaomba mchango wa matibabu,hapo bado sijaona logic!.
Kwa nini msingefanya fundrising na kuweka target ya hela mnayotaka kwa ajili ya matibabu ya mh Lissu.kwenye chama kuna watu wakubwa km Lowasa,Sumaye ambao wangealika marafiki wachache mngepata michango mizuri!

Leo bunge limetoa nusu ya bosho kwa kila mbunge jumla imepatikana 45M.
Je hizi mmezihesabu kwenu au kwnye matibabu ya Lissu!... je hela ya matibabu ya matibabu ikizidi na ghalama ikawa ndogo kuliko mlichokusanya,je hela itaingia kwenye mifuko ya chama??,atapewa mhanga(Lissu) au ndo itakuwa imetoka.je mtakuwa tofauti na serikali kwa ilochofanya Bukoba??

Je kweli Chadema ni chama cha matukio??.sasa mnaamua kutembelea tukio la mh Lissu kupata huruma ya jamii???...je policy yenu ni Chadema mtafanyia nini jamii au ni jamii itawafanyia nini Chadema??. Pamoja kuwa hamna dola je mnafanya nini kuinua afya,elimu,maji,chakula kwa kaya,kuitangaza nchi kimataifa! Zaid ya kulalamika???.

Zaid ya yoyote sikubaliani na ombi lenu la kuchangiwa kwa matibabu ya mh Lissu unless mnataka kuanzisha mfuko kwa ajili ya kuhudumia wananchi maskini wasio weza kujihudumia kwa afya!

Tunajenga nchi moja tukubaliane na kupingana kwa hoja!.

Neo
Mwamba mbona unawaza kama ng'ombe mzee....
Inatakiwa iwe hvo ili kuwaleta karbu raia na sisi tushiriki tukio la kuokoa maisha ya kiongoz wa nchi .... unafikir kwann watu huwa wanachangisha harus? Sio wote kwamb huwa hawawez kugharamia harus zao(za watoto wao) .. ila ushirikiano ndio kitu cha kwanz kuangaliwa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchango huu babu ni hiyari sio lazma anayetaka atachangia hutaki basi au kama hunauwezo usichangie unatokwa povu na kipesa kinachotumwa kwenye M-pesa zile mnazopiga za migodini unajifanya huzioni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikuwa huelewi kuwa chadema kinaendeshwa na wachagga?
 
Kwanini ndugai alichangisha leo bungeni na yy ni ccm, Si unafiki wake huo ? Chadema wamemuomba ? Na wewe yanakuhusu nini ?unaona wivu kwakua hata ccm watachanga kuonyeha wanavyomkubali Lisu,kama alivyofanya ndugai baada ya jaribio kushindikana ? Hii ni aibu tu kwa wewe na ccm yako ndo maana kila neno linawatoka juu ya Lisu ? ama kweli mmeaibishwa na mmeumia sana.na bado mtajibebs kama bashite.laana kuhm nyie ccm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom