Kwanini CHADEMA inachangisha hela ya matibabu ya Lissu?

Ni kwamba hata kama kuna pesa haipo kwa ajili ya kupambana na wauaji maana kazi zinazofanyika haziusiani na uhasama.
Hata hivyo watu wamechanga hadi simu ya Ester Matiko ikajaa hela na ikawa haipokei mkwanja zaidi. Imefunguluwa akaunti ya M4C CRDB Bank.
Kutoa ni moyo
 
Jaman asikuambien mtu hospital aliyo lisu Ni ya kwanza africa mashariki Na Kati Kwa hudum nzuri Na Za uhakika, Ila pia Ni hospital ghali kuliko hospital zote unazizijua wew hap east africa hiy operation tu sio Chini ya milion 50.
...Uko sahihi jamaa yangu alilazwa Agakhan Mombasa kwa wiki tuu aisee hiyo bili hatari. But the services were first class.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana jamvii.

Kwanza nampa pole ndugu Tundu Lissu kwa majanga yaliyotokea kwake!.kitendo kilochofanyika kwake sio sawa na haikubaliki kwenye jamii ya kidemocrasia na jamii ya kistaarabu. Pia ni kuharibu image ya taifa.Tunapishana kwa hoja.lazima tujenge jamii inayosema na isiyo na uoga!.lazima viongozi wakubali kukosolewa.lazima kuwepo na uvumilivu wa kisiasa..

Chadema ni chama kikubwa na pia chama kinapata ruzuku toka serikalini zaid ya 500M kwa mwezi> nikikosea naomba kusahihishwa.
Kutokana na tukio la Lissu naona wanatembeza bakuli la kuchangiwa kwa matibabu ya Lissu.
Chadema wakati wa vugu vugu la njaa nchini mlisema kama serikali haitatoa chakula kwa wananchi mlisema mtawapatia chakula cha msaada wahitaji wote nchi nzima, leo wananchi wale wale mnawaomba mchango wa matibabu,hapo bado sijaona logic!.
Kwa nini msingefanya fundrising na kuweka target ya hela mnayotaka kwa ajili ya matibabu ya mh Lissu.kwenye chama kuna watu wakubwa km Lowasa,Sumaye ambao wangealika marafiki wachache mngepata michango mizuri!

Leo bunge limetoa nusu ya bosho kwa kila mbunge jumla imepatikana 45M.
Je hizi mmezihesabu kwenu au kwnye matibabu ya Lissu!... je hela ya matibabu ya matibabu ikizidi na ghalama ikawa ndogo kuliko mlichokusanya,je hela itaingia kwenye mifuko ya chama??,atapewa mhanga(Lissu) au ndo itakuwa imetoka.je mtakuwa tofauti na serikali kwa ilochofanya Bukoba??

Je kweli Chadema ni chama cha matukio??.sasa mnaamua kutembelea tukio la mh Lissu kupata huruma ya jamii???...je policy yenu ni Chadema mtafanyia nini jamii au ni jamii itawafanyia nini Chadema??. Pamoja kuwa hamna dola je mnafanya nini kuinua afya,elimu,maji,chakula kwa kaya,kuitangaza nchi kimataifa! Zaid ya kulalamika???.

Zaid ya yoyote sikubaliani na ombi lenu la kuchangiwa kwa matibabu ya mh Lissu unless mnataka kuanzisha mfuko kwa ajili ya kuhudumia wananchi maskini wasio weza kujihudumia kwa afya!

Tunajenga nchi moja tukubaliane na kupingana kwa hoja!.

Neo
Kwahiyo unataka kuamua nini? Hela imechangwa na watu kwa moyo mmoja hakuna aliyekuja kukugongea mlango uchangie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mm niliomba kuchanga hata kabla Chadema hawajafikiria kuchangisha. Hatutaki tabu na serikali. Tutamtibia wemyewe Tundu Lissu maana kumpoteza kwa kipndi hiki hata pale Magogoni mnaweza kufanya sherehe.

Hela zenu acha zwatume Kinana et al India wakatibiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una roho mbaya sana mtoa mada.Kuchangisha michango si kana kwamb chama hakina pesa, bali ni kuonyesha mapenzi kwa mwenzetu. .kama huna pesa kaa kimya acha wengine tuchangie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukute mleta thread ni mwanaume sasa, loooooh!

time will tell
 
Mwenye kujua hiyo namba ya kuchangia aiweke nitume mchango wangu wa matibabu
 
Habari wana jamvii.

Kwanza nampa pole ndugu Tundu Lissu kwa majanga yaliyotokea kwake!.kitendo kilochofanyika kwake sio sawa na haikubaliki kwenye jamii ya kidemocrasia na jamii ya kistaarabu. Pia ni kuharibu image ya taifa.Tunapishana kwa hoja.lazima tujenge jamii inayosema na isiyo na uoga!.lazima viongozi wakubali kukosolewa.lazima kuwepo na uvumilivu wa kisiasa..

Chadema ni chama kikubwa na pia chama kinapata ruzuku toka serikalini zaid ya 500M kwa mwezi> nikikosea naomba kusahihishwa.
Kutokana na tukio la Lissu naona wanatembeza bakuli la kuchangiwa kwa matibabu ya Lissu.
Chadema wakati wa vugu vugu la njaa nchini mlisema kama serikali haitatoa chakula kwa wananchi mlisema mtawapatia chakula cha msaada wahitaji wote nchi nzima, leo wananchi wale wale mnawaomba mchango wa matibabu,hapo bado sijaona logic!.
Kwa nini msingefanya fundrising na kuweka target ya hela mnayotaka kwa ajili ya matibabu ya mh Lissu.kwenye chama kuna watu wakubwa km Lowasa,Sumaye ambao wangealika marafiki wachache mngepata michango mizuri!

Leo bunge limetoa nusu ya bosho kwa kila mbunge jumla imepatikana 45M.
Je hizi mmezihesabu kwenu au kwnye matibabu ya Lissu!... je hela ya matibabu ya matibabu ikizidi na ghalama ikawa ndogo kuliko mlichokusanya,je hela itaingia kwenye mifuko ya chama??,atapewa mhanga(Lissu) au ndo itakuwa imetoka.je mtakuwa tofauti na serikali kwa ilochofanya Bukoba??

Je kweli Chadema ni chama cha matukio??.sasa mnaamua kutembelea tukio la mh Lissu kupata huruma ya jamii???...je policy yenu ni Chadema mtafanyia nini jamii au ni jamii itawafanyia nini Chadema??. Pamoja kuwa hamna dola je mnafanya nini kuinua afya,elimu,maji,chakula kwa kaya,kuitangaza nchi kimataifa! Zaid ya kulalamika???.

Zaid ya yoyote sikubaliani na ombi lenu la kuchangiwa kwa matibabu ya mh Lissu unless mnataka kuanzisha mfuko kwa ajili ya kuhudumia wananchi maskini wasio weza kujihudumia kwa afya!

Tunajenga nchi moja tukubaliane na kupingana kwa hoja!.

Neo

Kwanini serikali ilikula pesa za rambirambi za kagera? Zile za Arusha mpaka leo hii ajatoa zote.
 
bora unyamaze tu aina haja ya kutafuta habar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom