Kwanini CHADEMA inachangisha hela ya matibabu ya Lissu?

Kulipia ndege ni expensive sana
Ila nalishukuru sana Bunge kwa kile ilichofanya
 
Habari wana jamvii.

Chadema ni chama kikubwa na pia chama kinapata ruzuku toka serikalini zaid ya 500M kwa mwezi> nikikosea naomba kusahihishwa.
Kutokana na tukio la Lissu naona wanatembeza bakuli la kuchangiwa kwa matibabu ya Lissu.
Chadema wakati wa vugu vugu la njaa nchini mlisema kama serikali haitatoa chakula kwa wananchi mlisema mtawapatia chakula cha msaada wahitaji wote nchi nzima, leo wananchi wale wale mnawaomba mchango wa matibabu,hapo bado sijaona logic!.
Kwa nini msingefanya fundrising na kuweka target ya hela mnayotaka kwa ajili ya matibabu ya mh Lissu.kwenye chama kuna watu wakubwa km Lowasa,Sumaye ambao wangealika marafiki wachache mngepata michango mizuri!

Leo bunge limetoa nusu ya bosho kwa kila mbunge jumla imepatikana 45M.
Je hizi mmezihesabu kwenu au kwnye matibabu ya Lissu!... je hela ya matibabu ya matibabu ikizidi na ghalama ikawa ndogo kuliko mlichokusanya,je hela itaingia kwenye mifuko ya chama??,atapewa mhanga(Lissu) au ndo itakuwa imetoka.je mtakuwa tofauti na serikali kwa ilochofanya Bukoba??

Neo
Unadhani ni kwa nini???....Hapo nilipo Bold....
 
Habari wana jamvii.

Kwanza nampa pole ndugu Tundu Lissu kwa majanga yaliyotokea kwake!.kitendo kilochofanyika kwake sio sawa na haikubaliki kwenye jamii ya kidemocrasia na jamii ya kistaarabu. Pia ni kuharibu image ya taifa.Tunapishana kwa hoja.lazima tujenge jamii inayosema na isiyo na uoga!.lazima viongozi wakubali kukosolewa.lazima kuwepo na uvumilivu wa kisiasa..

Je kweli Chadema ni chama cha matukio??.sasa mnaamua kutembelea tukio la mh Lissu kupata huruma ya jamii???...je policy yenu ni Chadema mtafanyia nini jamii au ni jamii itawafanyia nini Chadema??. Pamoja kuwa hamna dola je mnafanya nini kuinua afya,elimu,maji,chakula kwa kaya,kuitangaza nchi kimataifa! Zaid ya kulalamika???.

Zaid ya yoyote sikubaliani na ombi lenu la kuchangiwa kwa matibabu ya mh Lissu unless mnataka kuanzisha mfuko kwa ajili ya kuhudumia wananchi maskini wasio weza kujihudumia kwa afya!

Tunajenga nchi moja tukubaliane na kupingana kwa hoja!.

Neo
Imewauma Sana, yani mlitaka hii michango isimamiwe na mkuu wa mkoa wa Dodoma ili mhamishie kwenye miradi yenu,

Mbona huku mtaani wakuu wa mikoa na wilaya wanatusumbua wanataka michango, Mara ujenzi wa choo cha shule, ofisi za walimu, zahanati, Mara madawati, ukigeuka huku mwenge kwani hamna bajeti ya serekasi?
 
Sababu ni wapiga dili wazoefu, mtu kashatibiwa vizuri na madaktari bingwa wanampeleka Kenya ili kujustify michango yao.
Wapiga deal wote wako ccm na wengine wamejiuzulu jana na wengine mamepewa zawadi ya almasi ths450billion wewe unasotea matako endelea kubembeleza book saba lumumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unaongea ujinga ujinga tu.

Tunapigania afya ya mpendwa wetu na mpambanaji mkuu wa Taifa.
Huko Lumumba mmejazana mashetani watupu.
 
Kinachowauma nyie maccm ni kitu gani?
Sisi tunachanga siyo kwa sababu cdm wameshindwa kumlipia, bali ni kwa mahaba yetu sisi wanachama wenyewe kwa kuthamini mchango wa Lissu, sauti yake na damu yake iliyomwagika bila hatia!
Sisi wananchi na wapinga ukatili wa aina aliyofanyiwa Lissu tutamchangia kwa hali na mali, accnt ya cdm isiguswe kwenye hili!
Sawa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana jamvii.

Kwanza nampa pole ndugu Tundu Lissu kwa majanga yaliyotokea kwake!.kitendo kilochofanyika kwake sio sawa na haikubaliki kwenye jamii ya kidemocrasia na jamii ya kistaarabu. Pia ni kuharibu image ya taifa.Tunapishana kwa hoja.lazima tujenge jamii inayosema na isiyo na uoga!.lazima viongozi wakubali kukosolewa.lazima kuwepo na uvumilivu wa kisiasa..

Chadema ni chama kikubwa na pia chama kinapata ruzuku toka serikalini zaid ya 500M kwa mwezi> nikikosea naomba kusahihishwa.
Kutokana na tukio la Lissu naona wanatembeza bakuli la kuchangiwa kwa matibabu ya Lissu.
Chadema wakati wa vugu vugu la njaa nchini mlisema kama serikali haitatoa chakula kwa wananchi mlisema mtawapatia chakula cha msaada wahitaji wote nchi nzima, leo wananchi wale wale mnawaomba mchango wa matibabu,hapo bado sijaona logic!.
Kwa nini msingefanya fundrising na kuweka target ya hela mnayotaka kwa ajili ya matibabu ya mh Lissu.kwenye chama kuna watu wakubwa km Lowasa,Sumaye ambao wangealika marafiki wachache mngepata michango mizuri!

Leo bunge limetoa nusu ya bosho kwa kila mbunge jumla imepatikana 45M.
Je hizi mmezihesabu kwenu au kwnye matibabu ya Lissu!... je hela ya matibabu ya matibabu ikizidi na ghalama ikawa ndogo kuliko mlichokusanya,je hela itaingia kwenye mifuko ya chama??,atapewa mhanga(Lissu) au ndo itakuwa imetoka.je mtakuwa tofauti na serikali kwa ilochofanya Bukoba??

Je kweli Chadema ni chama cha matukio??.sasa mnaamua kutembelea tukio la mh Lissu kupata huruma ya jamii???...je policy yenu ni Chadema mtafanyia nini jamii au ni jamii itawafanyia nini Chadema??. Pamoja kuwa hamna dola je mnafanya nini kuinua afya,elimu,maji,chakula kwa kaya,kuitangaza nchi kimataifa! Zaid ya kulalamika???.

Zaid ya yoyote sikubaliani na ombi lenu la kuchangiwa kwa matibabu ya mh Lissu unless mnataka kuanzisha mfuko kwa ajili ya kuhudumia wananchi maskini wasio weza kujihudumia kwa afya!

Tunajenga nchi moja tukubaliane na kupingana kwa hoja!.

Neo
Niko p1 naww mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman wana ccm wenzangu huu sio mda wa kulumbana kisiasa wakati binadam mwenzetu yupo mahututi hospitalini. Toka nimepata taarifa za kushambuliwa mh. Lisu mm siasa siziogelei mpaka hapo atakapopona. Maana pamoja na kuwa na mapungufubmengi sana, bado jaamini ana umhimu kuliko kama hayupo. Hivyo tumwombeeni apone mapema aje kujenga nchi yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom